NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Vinu vimesimama!Bila shaka bei itakuwa rahisi kama gesi.[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2425577View attachment 2425578View attachment 2425579
The former Peugeot factory in Moscow has restarted production once again, but now under the legendary Soviet legacy brand 'Moskvich'
Achana nao hao mkuu!.Watu wanaufinyu wa uelewa.Russia mikoa iliyochukua ni minne ,yaani Kherson,zaporizhia,luhasky na Donesky.kherson Tu karudisha 30%lakini 70% ipo bado russia.kwahiyo tunapozungumza asilimia 22% tunamaanisha hayo mikoa iliyochukuliwa na warusi.kama hujui kitu uliza.
Unadhani Ulaya ni bongo?Mkikarabati inasambaratishwa!Mwendo mdundo!Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Si zimepelekwa Ukraine zinasaidia nini?
Destroyed by whom?Kaburi la vifaa Imara vya jeshi la wavamizi wa Urusi [emoji848]
.....
A graveyard of various destroyed Russian heavy equipment in the village of Biryuch, Belgorod oblast.
Ni mwendawazimu pekee anaeweza kusema haya maneno!Urusi pigeni kazi
Nalog off Z
akili hizi! nahisi kuna watu mnaishi na kuvuta hii hewa safi ya Mola kwa bahati mbaya kabisa!Tusipangiane sehemu za kupiga basi [emoji1787][emoji1787]
Tuachanekidogo na Hili la kuwa warusi na waukraine wa Mtwara nanjilinji.View attachment 2425587View attachment 2425589
[emoji91][emoji1203][emoji1203][emoji629][emoji1087] White gentlemen don't care about native traditions: German Foreign Minister Nancy Feser and former Danish Prime Minister Helle Thorning-Schmitt with LGBT sash/bracelets in the stands at the World Cup in Qatar[emoji1782][emoji1782][emoji2][emoji2356]
Of course by Bravo Ukrainians forces
Hizo system ulizozitaja unazi program vp ili ziweze ku intercept maroketi?Kwani Ile s300 s400 s500 ya urusi Huwa inafanya kazi gani mpaka inashindwa na viloket vidogo vya HIMARS [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo gari juu Ina tackle zuri Sana asee.View attachment 2425577View attachment 2425578View attachment 2425579
The former Peugeot factory in Moscow has restarted production once again, but now under the legendary Soviet legacy brand 'Moskvich'
Nenda majukwaa ya dini kama yapo hapa utagombana na kila mchangiajiNi mwendawazimu pekee anaeweza kusema haya maneno!
Wanaongamizwa ni binadamu kama wewe!
Naomba link mkuu nicheki hii kituOf course by Bravo Ukrainians forces
PROPAGANDA ZA UKRAINE