ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Huwezi kuelewa account yang hata moja nje ya hii ya jamiiforum. Kumbe unajipa kazi ya kunitafuta? basi ukisikia ujinga ndio huwo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Huwezi kuelewa account yang hata moja nje ya hii ya jamiiforum. Kumbe unajipa kazi ya kunitafuta? basi ukisikia ujinga ndio huwo.
Utamaliza mtama kunguru hawi njiwa.Huwezi kuelewa account yang hata moja nje ya hii ya jamiiforum. Kumbe unajipa kazi ya kunitafuta? basi ukisikia ujinga ndio huwo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hapo Zanzibar inaishi Dunga au Mchambawima?
URUSI NI WAJUMBE WA MUNGU
[emoji95][emoji95][emoji95]The State Duma adopted a law banning LGBT propaganda, pedophilia and gender reassignment in advertising, books, movies and the media[emoji95][emoji95][emoji95]
Naomba mifano mitano ya Madudu ya Urusi kuhusu Kumcha Bwana.Sorry nafikiri kuna morality difference between hizo sides.
As concerned third party sipo upande wowote, russia si msafi, us sio msafi. Kuzuia jambo moja hali justify kuwa mjumbe wa Mungu, Bado wana madudu kibao wanafanya behind the scenes
Bila Urusi kuvamia Ukraine , West wangepata wap sabab ya kutoa msaada kwa Ukraine ?Kwani marekani haingii gharama ktk hii vita ?
EU hawapati hasara na shida ktk hii vita??
We unaongea na kujipinga mwenyewSiyo kweli
Yale ni maeneo ya kirusi Kwa hiyo anahaki hiyo.Vladimir Kalashnikov Putin anaakili ya mwaka 1962 ya kuvamia na kuiba maeneo na wakati Karne hiii watu wanaangàlia demokrasia ya kuamua kuishi kwa usalama na Uhuru. Maaskari wake wengi wamejeruiwa sana uko Ukraine. Wamekausha tuuu kumuogopa mpuuzi huyu
Tena wanang'ang'ania wakafi@@rwehe huko Qatar,ila mwarabu kachomoa fuseURUSI NI WAJUMBE WA MUNGU
💥💥💥The State Duma adopted a law banning LGBT propaganda, pedophilia and gender reassignment in advertising, books, movies and the media💥💥💥
Hapo ndio mwisho, sehemu kubwa ya Kherson ipo mashariki mwa Mto kama 70% hio 30%ipo magharibi mwa mto ndio iliyikombolewa
Kwenye nchi gani alishachukua majimbo?Dikteta alizoea kuchukua majimbo kihulaini katika nchi nyingine, lakini safari hii naona hayo majimbo yamekuwa ya moto kwelikweli..,yaani yanaunguza balaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuwa Nikiuliza sana juu ya competence ya hizi air defence systems na pale zinapofail kupiga incoming missiles!WAYUKIRENI na WANATO WANATWANGANA WAO KWA WAO
💥💥💥 The Russian Defence Ministry: 23 November massive strike on Ukraine's military control system and related energy facilities, target achieved.
💥 The Russian military did not carry out a single strike against targets within Kiev on 23 November.
💥 All the destruction in Kyiv announced by Ukraine was the result of foreign and Ukrainian air defence missiles falling in residential areas.
💥💥💥