President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hilo jina FUSO nani alikupatia? Maana jina huendana na tabia ya mtu. FUSO kazi yake ni kubeba mbolea, Mchanga, Maparachichi nk.Ndiyo tunawaambia kwamba Putin hana maana, Taifa kubwa kama Urusi haliwezi kutumia njia za kichenzi kama hizo - huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu, ni suala la muda tu atafika sehemu anapostahili.