Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kukimbilia kuharibu miundombuni ni mbinu dhaifu sana ya kivita kwa taifa kubwa kama Urusi.

View attachment 2426125
Dogo alipeperusha bendera ya nchi yake mjini Kherson huku mafundi wakireshea huduma ya umeme - Huu ni uzalendo wa ajabu kijana wa miaka 10 haogopi mabomu ya Putin.
Aliingia Ukraine kichwakichwa akidhani Ukraine ni Georgia kumbe Ile ni namba nyingine,huko kwa battlefield anachapika kisawasawa na tutegemee kabla ya winter kuisha Babu lazima afanye tena mobilization
 
20221124_065721.jpg
 
1669298967817.png

1669298982187.png

1669298998415.png

Belarus, China, Kazakhstan are the main buyers of Russian wines

This was told by Veronika Nikishina, CEO of the Russian Export Center JSC (REC (https://www.exportcenter.ru/en/)), at the First Russian Winemaking Forum.

According to the official, Russia takes only 48th place among world exporters of wine, but Russian winemakers have already ‘felt the taste’ of selling products abroad and will not stop.

The Russian state provides unprecedented support to the wine industry, including refundable excise tax and export-promoting subsidies.

By the date, REC has opened four pavilions in China, the United Arab Emirates, and Vietnam. Several more are waiting to be launched in Saudi Arabia, Turkey, and Singapore.

Also, foreigners are quite interested in buying Russian wines via internet, the REC CEO said. Now, 17 international platforms sell products under the umbrella brand Made in Russia. And today, REC and Roscongress Foundation have signed an agreement to promote the Made in Russia brand together.
 
Putin ana safari ndefu sana kwenye hii anayoiita special epereshen.., kitendo Cha rais zelensiky kuwasihi raia waondoke nchini kama ikiwezekana, kunadhihirisha wazi kwamba jamaa wako tayari kumpigisha mtu danadana kwa Hali yoyote ile,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Special operation halafu unafanya mobilization [emoji23][emoji23]. Si aseme tu ni vita kamili.
 
Putin ana safari ndefu sana kwenye hii anayoiita special epereshen.., kitendo Cha rais zelensiky kuwasihi raia waondoke nchini kama ikiwezekana, kunadhihirisha wazi kwamba jamaa wako tayari kumpigisha mtu danadana kwa Hali yoyote ile,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bado tu unahaha. Vipi Nyambizi yupo wapi? Nyamizi
 
Putin ana safari ndefu sana kwenye hii anayoiita special epereshen.., kitendo Cha rais zelensiky kuwasihi raia waondoke nchini kama ikiwezekana, kunadhihirisha wazi kwamba jamaa wako tayari kumpigisha mtu danadana kwa Hali yoyote ile,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia?anataka watu waondoke Kwa sababu Hali inaenda kuwa mbaya kwao.
 
Vinu vyote vitatu vya nishati ya nyuklia vinavyofanya kazi nchini Ukraini vimetenganishwa na gridi ya umeme ya nchi hiyo. Viwili kati ya hivyo, Ukraine Kusini na Rovne NPPs, viko katika hali ya kuzima kwa dharura.

Mkuu wa utawala wa kijeshi wa mkoa wa Khmelnitsky, Sergey Gamaliy, aliripoti juu ya kuzimwa kwa mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky.

Vyombo vya habari vya ndani vilikuwa vya kwanza kuripoti juu ya kuzima kwa dharura kwa mifumo ya nishati katika kinu cha nyuklia cha Ukraine Kusini katika Mkoa wa Nikolayev. Habari hii ilithibitishwa na Energoatom. Kulingana na opereta huyo, ni kutokana na uharibifu wa gridi ya umeme, matokeo yake mtambo huo haukuwa na mahali pa kufikisha umeme unaozalishwa. Wakati huo huo, kampuni hiyo inasema kwamba kinu chenyewe kipo sawa.

Chombo cha habari cha Strana kiliripoti kwamba kinu cha nyuklia cha Rovne kilikuwa kimebadilisha hali ya dharura. Kulingana na gazeti hilo, sababu inayowezekana zaidi ilikuwa kushuka kwa kasi kwa matumizi ya umeme. Baadaye Gamaliy aliripoti kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba mifumo ya mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky ilikatwa kutoka kwa mfumo wa kusabaza umeme.

Siku ya Jumatano alasiri, tahadhari ya anga ilitangazwa kote Ukrainia. Ilichukua zaidi ya masaa mawili, baada ya hapo tu mikoa ya kaskazini mashariki ya nchi ilibaki katika hali ya tahadhari. Kulikuwa na taarifa za milipuko na uharibifu wa miundombinu kutoka miji mbalimbali. Ukrenergo iliripoti kuwa kukatika kwa umeme kwa dharura kutaendelea kote Ukraine wakati wa mchana.

Kufikia mwanzoni mwa 2022, kulikuwa na vinu vinne vya nguvu za nyuklia vilivyo na vitengo 15 vya nguvu nchini Ukraine na uwezo wa jumla wa 13.88 GW. Kiwanda kingine, Kinu cha Chernobyl, kiliondolewa mwaka 2000. Tangu Machi 2022, kituo cha nyuklia cha Zaporozhye kimekuwa chini ya ulinzi wa jeshi la Kirusi.

My Take:
Nimeshangaa umeme uliokuwa Ukraine mwanzo ni 13.88GW , huku kwa Bi Hangaya tunaongelea 350MW, tuna Maji, Tuna uoepo, Tuna Gesi na nasikia tuna Uranium!!!

Anyway tuendelee:
Inshort Ukraine imerudi Zama za mawe za mwisho licha ya Antimissiles za EU kuletwa lakin zimeahindwa kuzuia uharibifu mkubwa wa airstrikes za Mrusi. Je in "full scale war zinaweza kuizuia Ukrainia administration isifutwe "????
 
Tom Worley
- - -
As always the Russians minimize civilian casualties while Ukraine seeks to strike fear in its former countrymen by attacking known residential, hospital and other civilian centers. I read but I no longer pay much heed to the regime media outlets of the West, they are entirely untrustworthy.¶If the New York Times said the sun rises in the east I would be up and watching with compass in hand to greet the dawn.¶God Bless Us All
====
Hii ni comment kutoka kwa msomaji wa RT Ndugu Tom akizungumzia upotoshaji unaofanywa na vyombo vya Magharibi kuhusu mzozo wa Ukraine.
 
[emoji298]️Germany initiates a meeting of the heads of foreign affairs of the G7 to support the energy system of Ukraine, — Minister of Foreign Affairs of Germany Annalena Berbok.

"Putin likes to plunge Ukrainians into cold and darkness with the help of missiles. But he will never break both your thirst for freedom and our support," — Berbok said.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
 
Wasaliti wote lazima washughulikiwe

[emoji298]️ The Security Service of Ukraine detained a man who helped the Russian Security Service (FSB) to escape on boats to the left bank of the Dnipro River in Kherson.

The man was the owner of a local boat station. He voluntarily gave Russians 6 boats, each of which is designed for 30 passenger seats.

The personnel of the FSB and several units of the Russian military were evacuated on these boats.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua

Ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia?anataka watu waondoke Kwa sababu Hali inaenda kuwa mbaya kwao.
Huo ndio ukweli.., super pawer anashambulia miundombinu ya kijamii Ili kumforce zelensiky kuja kwenye meza ya mazungumzo, lakini njia hiyo haitamsaidia maana Jamaa wako tayari kupigana kwa namna yoyote ile

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Supapawa bado anafumuliwa

[emoji298]️Explosions are heard in temporarily occupied Donetsk. The video was published on local social networks.

[emoji117] @Flash_news_ua

Back
Top Bottom