Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

USA [emoji1258][emoji1258][emoji1258]

[emoji298]️ Extended list of $400 million new US aid package:

  • ammunition for NASAMS and HIMARS;
  • 150 large-calibre machine guns with thermal sight to combat UAVs (UAS);
  • 200 high-precision 155 mm artillery shells;
  • 10,000 of 120 mm mortar shells;
  • high-speed antiradiation missile (HARM);
  • 150 HMMWV vehicles;
  • more than 100 light tactical vehicles;
  • more than 20,000,000 small arms ammunition;
  • more than 200 generators;
  • parts up to 105 mm howitzers and other equipment.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
Hahahaha imeisha hiyoooo[emoji38]

Hungary’s parliament will approve Finland’s and Sweden’s bids to join NATO at the legislature’s first session next year, Prime Minister Viktor Orban says.
 
Huo ndio ukweli.., super pawer anashambulia miundombinu ya kijamii Ili kumforce zelensiky kuja kwenye meza ya mazungumzo, lakini njia hiyo haitamsaidia maana Jamaa wako tayari kupigana kwa namna yoyote ile

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pamoja na Supa pawa wenu wa mchongo kushirikiana na wenzake lakini wapi. Urusi anadunga tu

💥💥💥Mercenaries from 54 countries are fighting on the side of Kiev, the Investigative Committee of Russia said. The most active are England, USA, Canada, Israel, France, Sweden, Georgia, Finland, Poland and Lithuania.💥💥💥
 
Hatimae Supapawa ameweka wazi kwamba anawasurubu Raia ili kuishinikiza Ukraine ikubali matakwa yake.

Ukraine news – live: Russia tells Kyiv to ‘end its suffering’ and meet Moscow demands
Zelensky has ‘every opportunity to resolve situation’

Arpan Rai
,
Maryam Zakir-Hussain
16 minutes ago
Comments

Moscow has said that Kyiv could “end suffering” in Ukraine by meeting Russia‘s demands to resolve the conflict.

Kremlin spokesman Dmitry Peskov was asked how the suffering of Ukraine‘s civilian population could be reconciled with president Vladimir Putin’s positions.

Peskov said: “The leadership of Ukraine has every opportunity to bring the situation back to normal, has every opportunity to resolve the situation in such a way as to fulfil the requirements of the Russian side and, accordingly, end all possible suffering among the population.”

It comes as repeated missile barrages against power infrastructure across Ukraine over the last few weeks have forced millions of people to go without light, water or heating for hours or days at a time, just as outdoor temperatures fall below freezing.

Russia tells Kyiv to ‘end its suffering’ and meet Moscow demands - live
 
Vinu vyote vitatu vya nishati ya nyuklia vinavyofanya kazi nchini Ukraini vimetenganishwa na gridi ya umeme ya nchi hiyo. Viwili kati ya hivyo, Ukraine Kusini na Rovne NPPs, viko katika hali ya kuzima kwa dharura.

Mkuu wa utawala wa kijeshi wa mkoa wa Khmelnitsky, Sergey Gamaliy, aliripoti juu ya kuzimwa kwa mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky.

Vyombo vya habari vya ndani vilikuwa vya kwanza kuripoti juu ya kuzima kwa dharura kwa mifumo ya nishati katika kinu cha nyuklia cha Ukraine Kusini katika Mkoa wa Nikolayev. Habari hii ilithibitishwa na Energoatom. Kulingana na opereta huyo, ni kutokana na uharibifu wa gridi ya umeme, matokeo yake mtambo huo haukuwa na mahali pa kufikisha umeme unaozalishwa. Wakati huo huo, kampuni hiyo inasema kwamba kinu chenyewe kipo sawa.

Chombo cha habari cha Strana kiliripoti kwamba kinu cha nyuklia cha Rovne kilikuwa kimebadilisha hali ya dharura. Kulingana na gazeti hilo, sababu inayowezekana zaidi ilikuwa kushuka kwa kasi kwa matumizi ya umeme. Baadaye Gamaliy aliripoti kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba mifumo ya mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky ilikatwa kutoka kwa mfumo wa kusabaza umeme.

Siku ya Jumatano alasiri, tahadhari ya anga ilitangazwa kote Ukrainia. Ilichukua zaidi ya masaa mawili, baada ya hapo tu mikoa ya kaskazini mashariki ya nchi ilibaki katika hali ya tahadhari. Kulikuwa na taarifa za milipuko na uharibifu wa miundombinu kutoka miji mbalimbali. Ukrenergo iliripoti kuwa kukatika kwa umeme kwa dharura kutaendelea kote Ukraine wakati wa mchana.

Kufikia mwanzoni mwa 2022, kulikuwa na vinu vinne vya nguvu za nyuklia vilivyo na vitengo 15 vya nguvu nchini Ukraine na uwezo wa jumla wa 13.88 GW. Kiwanda kingine, Kinu cha Chernobyl, kiliondolewa mwaka 2000. Tangu Machi 2022, kituo cha nyuklia cha Zaporozhye kimekuwa chini ya ulinzi wa jeshi la Kirusi.

My Take:
Nimeshangaa umeme uliokuwa Ukraine mwanzo ni 13.88GW , huku kwa Bi Hangaya tunaongelea 350MW, tuna Maji, Tuna uoepo, Tuna Gesi na nasikia tuna Uranium!!!

Anyway tuendelee:
Inshort Ukraine imerudi Zama za mawe za mwisho licha ya Antimissiles za EU kuletwa lakin zimeahindwa kuzuia uharibifu mkubwa wa airstrikes za Mrusi. Je in "full scale war zinaweza kuizuia Ukrainia administration isifutwe "????
Kuna miundo mbinu mpya ya umeme Ukraine analetewa NA US
 
Ukrein sasa ibebaki kuwa kama somalia .ukrein itabaki kwenye historia kama inchi iliyosambaratishwa na urusi.silaha nyingi zimeshuka ukrein kutoka magharibi lakini bado hatujaona zimefanya nini. Mrusi anazidi kusonga mbele.mungu ibariki urusi na viongozi wake.
baada ya vita utaona utofaut wa Somalia na Ukraine na huo ndo utofauti wa wazung na sisi , ila tumekaza fuvu kulalamikia ukolon km vile ni sis tu ndo tulitawaliwa
 
Kiukweli wala hiyo asili mia 30% ya mji wa KHERSON wala haikukombolewa par se-kilicho tokea ni kwamba jeshi la Urusi lilihamua kuondoka lenyewe - kijeshi kilicho fanyika pale ni tactical withdraw na sio kushindwa vita na jeshi la Ukraine - propaganda zinazo endelea hapa watu wanazungumza vitu tofauti kabisa, yaani hawana habari kwamba jeshi la Urusi litawageuzia kibao wanajeshi wa Ukraine waliopo KHERSON mpaka washindwe wapi pa kuki mbilia na kupona - mwisho wa siku utasikia members wa NATO ma wapambe wao wakilalamika kwamba jeshi la Urusi ni wakatiri sana wametumia nguvu nyingi kupita kiasi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine mjini KHERSON hivyo majenerali husika wa Urusi watafutwe ili waburuzwe the Hague kujibu war crimes - nyie subirini hayo ndio yatapendekezwa iwapo jeshi la Ukraine litaondolewa kwa nguvu sehemu ndogo wanayo ikalia huko KHERSON hivi sasa.
nkikuita kichaa usilalamike , mahaba yanakutia uchiz , hujui maana ya kushindwa na kushinda , kuachia eneo ulilotekwa awali na kulipigisha kura kuwa limejiunga na nchi yako , ukiliacha unasemaj hajashindwa vita ? wangewezana si wangepigana kama walipoivamia ukraine feb 2022 , sio kila kitu cha kuweka ushabiki , vingine vinashusha heshima yako
 
Four dead as gunman opens fire in Russian shopping centre
By Christian Oliver For Mailonline
15:19 GMT 24 Nov 2022 , updated 15:23 GMT 24 Nov 2022


A man opened fire in a shopping centre in the southern Russian city of Krymsk, Russian state news agencies have reported, citing local law enforcement agencies and the prosecutor's office.
 
Ukraine imeponzwa na USA.
Viongozi wa ukra walikua wanaibishia Urusi Kila Urusi ikitoa madai yake,walikua wakaidi wakijua Urusi haitawafanya kitu walidhani Urusi inaiogopa NATO.
Sasa Ukraine anachezea mbele ya macho ya NATO.
Kisago anachopewa Ukraine kimezidi mara 10,000 ya kisago alichopewa Kuwait na Iraq,lakini USA na washirika wake waliingiza majeshi kumpiga Iraq.
Sasa sijui wanakwama wapi Hawa nato kwenda kumpiga Urusi.
 
Kwishnehi ;Ushoga Russia ni jinai!

Soma: Sheria hiyo mpya imeungwa mkono kwa kauli moja na wajumbe wa Duma, nyumba ya chini ya bunge la nchi hiyo.

Bunge la Urusi(Duma state) limepiga kura kupiga marufuku kabisa propaganda za LGBTQ, pedophilia na mabadiliko ya matendo ngono(Mapenzi ya jinsia moja) nchini humo kufuatia kusomwa kwa mara ya mwisho kwa mswada huo siku ya Alhamisi.

Sheria ya "ulinzi wa maadili ya jadi" iliungwa mkono na wabunge wote 397 katika bunge la chini la nchi, na kupita bila upinzani wowote au kutokuwepo kwa watoro.

Mswada huo ungeharamisha propaganda kama hizo katika utangazaji, vitabu, sinema na vyombo vya habari. inaonekana sana kama uongezaji mkazo wa sheria ya 2013, ambayo ilipiga marufuku usambazaji wa nyenzo za LGBTQ kati ya wale walio chini ya miaka 18 nchini Urusi. Walakini, sheria mpya inatumika kwa watoto na watu wazima.

Sheria ikianza kutumika, itakuwa vigumu kwa filamu zinazoendeleza mahusiano yasiyo ya kitamaduni au mabadiliko ya ngono kupata leseni za usambazaji nchini. Bidhaa zilizo na maudhui sawa, ikiwa ni pamoja na nyenzo za kigeni, pia zitapigwa marufuku kuuzwa.

Faini kubwa zinatarajiwa kwa ukiukaji wa sheria mpya, huku watu binafsi wakikabiliwa na adhabu ya rubles 400,000 ($ 6,600) na kwa mashirika/taasisi ni faini ya hadi rubles milioni tano (karibu $83,000) kwa propaganda za LGBTQ. Faini za kukuza pedophilia ni mara mbili ya kiasi hiki, kulingana na mswada huo. Kwa raia/taasisi za kigeni zinazokiuka sheria pia zitakabiliwa na kufukuzwa kutoka Urusi.
 
Pamoja na Supa pawa wenu wa mchongo kushirikiana na wenzake lakini wapi. Urusi anadunga tu

[emoji95][emoji95][emoji95]Mercenaries from 54 countries are fighting on the side of Kiev, the Investigative Committee of Russia said. The most active are England, USA, Canada, Israel, France, Sweden, Georgia, Finland, Poland and Lithuania.[emoji95][emoji95][emoji95]
SI tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakipata Cha mtema Kuni?[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Four dead as gunman opens fire in Russian shopping centre
By Christian Oliver For Mailonline
15:19 GMT 24 Nov 2022 , updated 15:23 GMT 24 Nov 2022


A man opened fire in a shopping centre in the southern Russian city of Krymsk, Russian state news agencies have reported, citing local law enforcement agencies and the prosecutor's office.
Warusi wanaanza kugeukana na kuchapana lisasi.., hakika tutaona mengi kwenye hii inayoitwa special military operation [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
1669305080679.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin ana safari ndefu sana kwenye hii anayoiita special epereshen.., kitendo Cha rais zelensiky kuwasihi raia waondoke nchini kama ikiwezekana, kunadhihirisha wazi kwamba jamaa wako tayari kumpigisha mtu danadana kwa Hali yoyote ile,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!
 
Back
Top Bottom