Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aliingia Ukraine kichwakichwa akidhani Ukraine ni Georgia kumbe Ile ni namba nyingine,huko kwa battlefield anachapika kisawasawa na tutegemee kabla ya winter kuisha Babu lazima afanye tena mobilization
Supa-pawa wa mchongo yupo kwenye defensive.
 
Bado Tu Una ndoto za Ukraine kuja kuongea na Putin!!!! Ukraine Kwa sasa imefikia sehemu tunaita Point of no return maana watu wamekufa,wanajeshi wamekufa,nchi imeharibiwa na kibaya zaidi Raia bado wanaisapoti serikali Yao iendelee kupambana na Russia hivyo kwa kiongozi wa Ukraine kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwasasa ni ndoto za abuu nuasi.

Russia kwasasa Yuko kwenye defense ndio maana juzi alikua anataka short truce ili ajipange kipindi hiki cha winter halafu aanzishe tena mashambulizi kipindi cha spring lakini Ukraine haitaki kumpa nafasi ya kupumua ndio maana bado inaendelea na mapambano. Kabla winter haijaisha huo upande wa pili wa MTO Nusu utakua umerudi Ukraine.
Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyewe

Hata FINLAND watu walikufa nawakaeka chini silaha nawakagawa sehem ya ardhi

Hata GERMAN watu walikufa na wakaeka chini silaha nawakaongea na sehem yao yaardhi baadhi ikaondoka

UKRAINE hajafikia point yeyote MKUU mupende musipende mutake musitake muchukie musichukie

Jamaa lazma atakuja mezani na lazma ataongea na lazma ataachia sehem za ardhi yake kua mali ya RUSSIA tena kwakutia saini mwenyewe kua karidhia

Halaf unasema RUSSIA analinda analinda nn wakat anatoa dozi kila leo huoni ELENSKY analialia shida unataka RUSSIA ashambulie unavyotaka wewe wakat yeye anaplan zake

Tuupe muda nafas yake MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndio hapo mkuu, hata zile nderemo na vifijo vya eti "kuukomboa mji wa KHERSON" sijui kuna mantiki gani kwa jeshi la Senselessky??
Hivi unakumbuka miezi miwili iliyopita ulisema ni ndoto kwa Ukraine kuikomboa Kherson, unakumbuka?!

Kama ameweza kukomboa 30% tena ndani ya kipindi kifupi Tu maana counter offensive imeanza late August ,kwann ashindwe hizo 70%!!!!!
 
Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyewe

Hata FINLAND watu walikufa nawakaeka chini silaha nawakagawa sehem ya ardhi

Hata GERMAN watu walikufa na wakaeka chini silaha nawakaongea na sehem yao yaardhi baadhi ikaondoka

UKRAINE hajafikia point yeyote MKUU mupende musipende mutake musitake muchukie musichukie

Jamaa lazma atakuja mezani na lazma ataongea na lazma ataachia sehem za ardhi yake kua mali ya RUSSIA tena kwakutia saini mwenyewe kua karidhia

Halaf unasema RUSSIA analinda analinda nn wakat anatoa dozi kila leo huoni ELENSKY analialia shida unataka RUSSIA ashambulie unavyotaka wewe wakat yeye anaplan zake

Tuupe muda nafas yake MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Sawa. Ila unakumbuka Putin alisema "Kherson will be Russian forever" hlf baadae wakakimbia?!
 
Russia imeweka kambi kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,wanarusha Makombora toka kwenye ZNPP wakijua kwamba Ukraine haiwezi kujibu kwa ufasaha sababu italeta masafa,then baadae wanakuja kwenye media kulalama.

Sasa mbona huko biibisii na dw wanasema kama RUSSIA ndio anashambulia huko ZNPP

Yaani RUSSIA anajishambulia mwenyewe huu mwaka huuu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vyanzo vya magharibi ndo vilikua vikiiogopa Moskva ambayo ilizamishwa kwa kombora mbili tu za Ukraine.

Sasa tusipoona huo ubora WA hizo air defenses za Russia kwenye hii vita mnataka tuuone wapi?! Au hujaona Pantsir na BUK air defenses za Russia zikiwa zimeharibiwa kabisa na Ukraine?!

Zile mbwembwe za S400 na S300 hatuzioni tena maana Range ya S400 ni zaidi ya 400km kwahiyo ikiwekwa mpakani mwa Russia-Ukraine inaona mpaka Kiev,lakini cha ajabu ndege na Helicopter za Ukraine zinaendelea kuruka na kufanya mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia mpaka Leo. Lakini cha ajabu ndege za Russia kila zikijaribu kunusa anga la Ukraine hazirudi Moscow zinaishia ardhini.
Kama vilikua vikiiogopa moskva yatoka enzi za miaka 80 huko

Inamaanisha kwamba RUSSIA wanatisha kwel kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyewe

Hata FINLAND watu walikufa nawakaeka chini silaha nawakagawa sehem ya ardhi

Hata GERMAN watu walikufa na wakaeka chini silaha nawakaongea na sehem yao yaardhi baadhi ikaondoka

UKRAINE hajafikia point yeyote MKUU mupende musipende mutake musitake muchukie musichukie

Jamaa lazma atakuja mezani na lazma ataongea na lazma ataachia sehem za ardhi yake kua mali ya RUSSIA tena kwakutia saini mwenyewe kua karidhia

Halaf unasema RUSSIA analinda analinda nn wakat anatoa dozi kila leo huoni ELENSKY analialia shida unataka RUSSIA ashambulie unavyotaka wewe wakat yeye anaplan zake

Tuupe muda nafas yake MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku hiyo inakuja - na ikiwa Senselessky atajikitia ujuaji mwingi basi na mji wa Odesa nao itajumuhishwa kwenye orodha ya miji itakayo jiunga na Russian Federation na wala NATO/US hawatafanya lolote zaidi ya kuongeza vikwazo ya kiuchumi kwa Russia ambavyo havijaweza kuihadhili chochote Urusi mpaka sasa.
 
Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!
Carpet bombings atafanya Kwa kutumia nini,parashuti au nini?!
Carpet bombing unafanya baada ya kukamata anga la adui na kuruka Kwa uhuru(air superiority) bila tishio la air defense systems,unaingiza bombers zikiwa zimejaa unguided bombs unafanya kuangusha tu. Russia mpaka sasa hajaweza kukamata anga la Ukraine na hana stealth bombers sasa hiyo carpet bombing ataifanya kwa kutumia nini,Labda atumie drone za muajemi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi ile referendum ilifanikiwa jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na walifanya mpaka sherehe pale Moscow,wasanii wakatumbuiza Ila mwezi mmoja baadae wakakimbia na kusahau kwamba walisema Kherson itakua ni ya Urusi milele na milele.
 
Mbona majibu west walikwisha toa labda kama hukusikia, Ila mfano halisi ni makombola ya air defence ya Ukraine ilipofeli kuiangusha kombola la urusi likaenda Poland na kuua raia wawili
Kombora lililofeli ni Russian made ambalo ni la S300 defense system.
 
Siku hiyo inakuja - na ikiwa Senselessky atajikitia ujuaji mwingi basi na mji wa Odesa nao itajumuhishwa kwenye orodha ya miji itakayo jiunga na Russian Federation na wala NATO/US hawatafanya lolote zaidi ya kuongeza vikwazo ya kiuchumi kwa Russia ambavyo havijaweza kuihadhili chochote Urusi mpaka sasa.

Ilijiunga kwenye makaratasi ambayo Ukraine hawayatambui na ndio maana mpaka Leo miji yote iliyofanya ule uchafuzi kama wa CCM bado inabondwa Makombora na Ukraine na hakuna kitu Russia anafanya/ atafanya.

Kama kashindwa kule Kherson makao makuu ndo aweze kuchukua Odessa?! Black sea fleet imebaki tu kama pambo,siku hizi wana kazi ya kuhamisha tu submarines baada ya Ukraine kutengeneza suicide drone za kwenye maji
 
Back
Top Bottom