Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 455
- 681
Tehe! Tehe! Tehe!Wwmechelewa maana warusi wengi wanapigwa miti

Ilijiunga kwenye makaratasi ambayo Ukraine hawayatambui na ndio maana mpaka Leo miji yote iliyofanya ule uchafuzi kama wa CCM bado inabondwa Makombora na Ukraine na hakuna kitu Russia anafanya/ atafanya.
Kama kashindwa kule Kherson makao makuu ndo aweze kuchukua Odessa?! Black sea fleet imebaki tu kama pambio,siku hizi wana kazi ya kuhamisha tu submarines baada ya Ukraine kutengeneza suicide drone za kwenye maji
We kaa hapo zanzibar ule urojo kanchi kadonyo kama mburahati!Halafu mwisho wa siku askari wa Russia wanakimbizwa na kuyaacha maeneo waliyokuwa wanayashikilia, wanajeshi wa Ukraine wanasonga mbele na kutwaa miji mingi zaidi.
Mantiki ni nini?
Itake basi hiyo miji?Halafu mwisho wa siku askari wa Russia wanakimbizwa na kuyaacha maeneo waliyokuwa wanayashikilia, wanajeshi wa Ukraine wanasonga mbele na kutwaa miji mingi zaidi.
Mantiki ni nini?
Putin hana sababu za msingi za kuanzisha hii vita. Mwisho wa ubaya aibuNikwambie kitu mkuu, nisikilize kwa umakini: kama Putin angehamua kutumia mbinu za kivita za Wamerikani ie "shock and awe"miji ya Ukraine na critical infrastructures zote zingekuwa bombed back to stone age ERA, na Senselessky angekimbilia uhamishoni US ilishayalishia helicopter ya kumuhamisha/torosha kwenda uhamishoni - mwanzo Putin alitumia ustaarabu sana hakutana kuiharibu Ukraine na hasa kuwapa shida/taabu raia wa Ukraine kumbuka Ukraine na Urusi ni kama ndugu wanagombamishwa tu naataifa ya magharibi yenye agenda zao za siriza kuitumia Ukraine kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi - hilo ndilo lengo lao kuu, hawajali cha Ukraine wala raia wake.
Tukija kwenye kutambua kimataifa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine,je,umewahi kupitia hata siku moja kwenye makubaliano 12 ya Minsk2 yanayo husu Urusi na Ukraine ukaona yalikuwa yanagusia vitu gani muhimu kuhusu malidhiano ambayo yalisomamiwa na Angela Merkel na Rais wa Ufaransa - who can blame Putin kwa kuchukua hatua za haraka ku-pre empty njama zilizo kuwa zinasukwa na NATO/US kuhusu Urusi kwa kupitia jeshi la Ukraine na baadhi ya troops za NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine ili wasitambulike kirahisi - bottom line, is: Sio kwamba Putin alihamka asubui moja na kuhamua kuivamia Ukraine hiyo si kweli - alitaka kuondoa tishio lilokuwa dhahili dhidi ya Taifa lake,je,,wewe ungefanya nini - NATO/US walikuwa wanapuuzia Russian security concerns za Taifa lake licha ya Putin kuwakumbusha NATO/US mara kwa mara, walikuwa wanamcheka tu na kuzidi kuvimbisha kichwa Senselessky - kumbe mlitaka Putin afanye nini?? Mambo ya Putin kupitisha referamdum kwenye majimbo ya kusini mashariki hapo alitaka kutumia ustaarabu angeweza kabisa kuyachukua bila ya kujali NATO/US wanasema nini, Ukraine kuwndelea kurusha makombora wala hayatamsaidia chochote cha umujimu mi kwamba majimbo hayo hayatarudi tena Ukraine wanao amini tofauti wanajisumbua makimbo hayo yataendelea kuwa sehemu ya Urusi west watake wasitake - ukweli ndio huo.
Mani kawambia Putin kashindwa KHERSON wakati asili mia 70% bado hipo chini ya jeshi la Urusi - hata mtu ambaye hajui mbinu za kijeshi hawezi kushindwa kugundua kinacho endelea mjini KHERSON sikilizeni kauli za wateule wa Senselessky mjini KHERSON wanasema nini, mbona wote wanaonekana ni woga na hawaji amini Urusi inapanga nini kuhusu hatima ya mjini huo kiujumla hata Jenerali wao niliwahi kumsikia akitilia shaka uondokaji ghafla wa jeshi la Urusi mashariki mwa mji wa KHERSON -sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better than five star Generals!!
Nimalizie kwa kusema kwamba aslimia kubwa ya precision missiles zinazo rushwa kwenda kupiga designated targets inside Ukraine zinarushwa na Russian black sea fleet, unaposema kwamba fleet hizo ni mapambio sijui una maana gani mkuu, mwenye macho aliona jinsi meli hizo zinavyo tumika kikamilifu kutekeleza majukumu taka husitake ukweli ndio huo, zimesaidia sana kuharibu zaidi ya asilimia 40+ ya vyanzo na usambazaji wa umeme nchini Ukraine na tukiongrzea mashabulizi ya jana na leo sina shaka asili mia 50% za vyanzo vya umeme na usambazaji zinakuwa zimeharibiwa raia zaidi ya millioni 14 hawana umeme nisijue usamazaji wa maji huko hali gani hali ni tete sana we sema jamaa wanajikaza kisabuni tu-lakini kama Senselessky angekubaliana na masharti ya Minsk2 bila ya kuwasikiliza akina Biden na Boris Johnson walio mpoteza wala Ukraine hisingefikia hatua hii mbaya ya vita, vita ingesitishwa mwezi wa nne mwaka jana.
Lakini kanatutawala,kanapewa keki ya taifa,kanatengewa ajira huku bara.W
We kaa hapo zanzibar ule urojo kanchi kadonyo kama mburahati!
Ukweli ni kwamba Putin hakutumia njia hizo mwanzoni sababu aliidharau Ukraine akijua yatajirudia yaleyale kama alivyoichukua Crimea kiulaini,alivyokua akiunga mkono waasi kupigana na majeshi ya Ukraine kule Donbass,kama alivyoipiga Georgia kwa siku kumi. Hata mwanzoni CIA walitabiri Ukraine ingeanguka ndani ya wiki tu,wanajeshi wa Urusi wangekua Kiev lakini kilichowakuta Urusi hawatokuja kusahau.Nikwambie kitu mkuu, nisikilize kwa umakini: kama Putin angehamua kutumia mbinu za kivita za Wamerikani ie "shock and awe"miji ya Ukraine na critical infrastructures zote zingekuwa bombed back to stone age ERA, na Senselessky angekimbilia uhamishoni US ilishayalishia helicopter ya kumuhamisha/torosha kwenda uhamishoni - mwanzo Putin alitumia ustaarabu sana hakutana kuiharibu Ukraine na hasa kuwapa shida/taabu raia wa Ukraine kumbuka Ukraine na Urusi ni kama ndugu wanagombamishwa tu naataifa ya magharibi yenye agenda zao za siriza kuitumia Ukraine kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi - hilo ndilo lengo lao kuu, hawajali cha Ukraine wala raia wake.
Tukija kwenye kutambua kimataifa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine,je,umewahi kupitia hata siku moja kwenye makubaliano 12 ya Minsk2 yanayo husu Urusi na Ukraine ukaona yalikuwa yanagusia vitu gani muhimu kuhusu malidhiano ambayo yalisomamiwa na Angela Merkel na Rais wa Ufaransa - who can blame Putin kwa kuchukua hatua za haraka ku-pre empty njama zilizo kuwa zinasukwa na NATO/US kuhusu Urusi kwa kupitia jeshi la Ukraine na baadhi ya troops za NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine ili wasitambulike kirahisi - bottom line, is: Sio kwamba Putin alihamka asubui moja na kuhamua kuivamia Ukraine hiyo si kweli - alitaka kuondoa tishio lilokuwa dhahili dhidi ya Taifa lake,je,,wewe ungefanya nini - NATO/US walikuwa wanapuuzia Russian security concerns za Taifa lake licha ya Putin kuwakumbusha NATO/US mara kwa mara, walikuwa wanamcheka tu na kuzidi kuvimbisha kichwa Senselessky - kumbe mlitaka Putin afanye nini?? Mambo ya Putin kupitisha referamdum kwenye majimbo ya kusini mashariki hapo alitaka kutumia ustaarabu angeweza kabisa kuyachukua bila ya kujali NATO/US wanasema nini, Ukraine kuwndelea kurusha makombora wala hayatamsaidia chochote cha umujimu mi kwamba majimbo hayo hayatarudi tena Ukraine wanao amini tofauti wanajisumbua makimbo hayo yataendelea kuwa sehemu ya Urusi west watake wasitake - ukweli ndio huo.
Mani kawambia Putin kashindwa KHERSON wakati asili mia 70% bado hipo chini ya jeshi la Urusi - hata mtu ambaye hajui mbinu za kijeshi hawezi kushindwa kugundua kinacho endelea mjini KHERSON sikilizeni kauli za wateule wa Senselessky mjini KHERSON wanasema nini, mbona wote wanaonekana ni woga na hawaji amini Urusi inapanga nini kuhusu hatima ya mjini huo kiujumla hata Jenerali wao niliwahi kumsikia akitilia shaka uondokaji ghafla wa jeshi la Urusi mashariki mwa mji wa KHERSON -sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better than five star Generals!!
Nimalizie kwa kusema kwamba aslimia kubwa ya precision missiles zinazo rushwa kwenda kupiga designated targets inside Ukraine zinarushwa na Russian black sea fleet, unaposema kwamba fleet hizo ni mapambio sijui una maana gani mkuu, mwenye macho aliona jinsi meli hizo zinavyo tumika kikamilifu kutekeleza majukumu taka husitake ukweli ndio huo, zimesaidia sana kuharibu zaidi ya asilimia 40+ ya vyanzo na usambazaji wa umeme nchini Ukraine na tukiongrzea mashabulizi ya jana na leo sina shaka asili mia 50% za vyanzo vya umeme na usambazaji zinakuwa zimeharibiwa raia zaidi ya millioni 14 hawana umeme nisijue usamazaji wa maji huko hali gani hali ni tete sana we sema jamaa wanajikaza kisabuni tu-lakini kama Senselessky angekubaliana na masharti ya Minsk2 bila ya kuwasikiliza akina Biden na Boris Johnson walio mpoteza wala Ukraine hisingefikia hatua hii mbaya ya vita, vita ingesitishwa mwezi wa nne mwaka jana.
Unasema majimbo hayarudi tena Ukraine wakati theluthi ya Kherson imesharejea na bado Ukraine inaendelea na counteroffensive kuchukua sehemu iliyobaki!!!!!! Na tukiangalia trend ya Vita hii Urusi akipoteza eneo kulichukua tena inakua mtihani wakati Ukraine hali ni tofauti ikichukua eneo inahakikisha Urusi hawezi kulichukua tena.Nikwambie kitu mkuu, nisikilize kwa umakini: kama Putin angehamua kutumia mbinu za kivita za Wamerikani ie "shock and awe"miji ya Ukraine na critical infrastructures zote zingekuwa bombed back to stone age ERA, na Senselessky angekimbilia uhamishoni US ilishayalishia helicopter ya kumuhamisha/torosha kwenda uhamishoni - mwanzo Putin alitumia ustaarabu sana hakutana kuiharibu Ukraine na hasa kuwapa shida/taabu raia wa Ukraine kumbuka Ukraine na Urusi ni kama ndugu wanagombamishwa tu naataifa ya magharibi yenye agenda zao za siriza kuitumia Ukraine kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi - hilo ndilo lengo lao kuu, hawajali cha Ukraine wala raia wake.
Tukija kwenye kutambua kimataifa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine,je,umewahi kupitia hata siku moja kwenye makubaliano 12 ya Minsk2 yanayo husu Urusi na Ukraine ukaona yalikuwa yanagusia vitu gani muhimu kuhusu malidhiano ambayo yalisomamiwa na Angela Merkel na Rais wa Ufaransa - who can blame Putin kwa kuchukua hatua za haraka ku-pre empty njama zilizo kuwa zinasukwa na NATO/US kuhusu Urusi kwa kupitia jeshi la Ukraine na baadhi ya troops za NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine ili wasitambulike kirahisi - bottom line, is: Sio kwamba Putin alihamka asubui moja na kuhamua kuivamia Ukraine hiyo si kweli - alitaka kuondoa tishio lilokuwa dhahili dhidi ya Taifa lake,je,,wewe ungefanya nini - NATO/US walikuwa wanapuuzia Russian security concerns za Taifa lake licha ya Putin kuwakumbusha NATO/US mara kwa mara, walikuwa wanamcheka tu na kuzidi kuvimbisha kichwa Senselessky - kumbe mlitaka Putin afanye nini?? Mambo ya Putin kupitisha referamdum kwenye majimbo ya kusini mashariki hapo alitaka kutumia ustaarabu angeweza kabisa kuyachukua bila ya kujali NATO/US wanasema nini, Ukraine kuwndelea kurusha makombora wala hayatamsaidia chochote cha umujimu mi kwamba majimbo hayo hayatarudi tena Ukraine wanao amini tofauti wanajisumbua makimbo hayo yataendelea kuwa sehemu ya Urusi west watake wasitake - ukweli ndio huo.
Mani kawambia Putin kashindwa KHERSON wakati asili mia 70% bado hipo chini ya jeshi la Urusi - hata mtu ambaye hajui mbinu za kijeshi hawezi kushindwa kugundua kinacho endelea mjini KHERSON sikilizeni kauli za wateule wa Senselessky mjini KHERSON wanasema nini, mbona wote wanaonekana ni woga na hawaji amini Urusi inapanga nini kuhusu hatima ya mjini huo kiujumla hata Jenerali wao niliwahi kumsikia akitilia shaka uondokaji ghafla wa jeshi la Urusi mashariki mwa mji wa KHERSON -sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better than five star Generals!!
Nimalizie kwa kusema kwamba aslimia kubwa ya precision missiles zinazo rushwa kwenda kupiga designated targets inside Ukraine zinarushwa na Russian black sea fleet, unaposema kwamba fleet hizo ni mapambio sijui una maana gani mkuu, mwenye macho aliona jinsi meli hizo zinavyo tumika kikamilifu kutekeleza majukumu taka husitake ukweli ndio huo, zimesaidia sana kuharibu zaidi ya asilimia 40+ ya vyanzo na usambazaji wa umeme nchini Ukraine na tukiongrzea mashabulizi ya jana na leo sina shaka asili mia 50% za vyanzo vya umeme na usambazaji zinakuwa zimeharibiwa raia zaidi ya millioni 14 hawana umeme nisijue usamazaji wa maji huko hali gani hali ni tete sana we sema jamaa wanajikaza kisabuni tu-lakini kama Senselessky angekubaliana na masharti ya Minsk2 bila ya kuwasikiliza akina Biden na Boris Johnson walio mpoteza wala Ukraine hisingefikia hatua hii mbaya ya vita, vita ingesitishwa mwezi wa nne mwaka jana.
mnhKimoja Jana kabla ya mechi kilitangaza kwa hereni mechi ilipoanza kikavua na penalty kikafunga licha ya kunduwazi yake.
Hukukiona mechi ya ureno mkuu?