Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Nimeingia kwenye hilo group aiseeee kunatishaaaa. Acheni warusi wakimbie hiyo mobilization ya bwana Putin.

Watu wanakufa kama panya mpk wengine wanaoza Kwa road.

[emoji120] Tafadhali Mkuu usilete humu zile picha
 
Kherson Russia aliondoka kwa kutaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

For weeks, Ukrainian forces have been advancing on Kherson — the only Ukrainian regional capital that Russia managed to take over since its invasion in February.

Hii ndio sababu kuu iliyowafanya wakimbie Kherson[emoji116]waliogopa kufa kama kuku hizo nyingine ni hadithi tu za kufurahisha genge.

Russian defense chiefs said Wednesday they were pulling back their troops to the east bank of the Dnipro River, to save the lives of soldiers and civilians.

Watu wanaamini urusi hawezi kupokea kichapo.., kila akirudi nyuma wanasema mtego [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nikwambie kitu mkuu, nisikilize kwa umakini: kama Putin angehamua kutumia mbinu za kivita za Wamerikani ie "shock and awe"miji ya Ukraine na critical infrastructures zote zingekuwa bombed back to stone age ERA, na Senselessky angekimbilia uhamishoni US ilishayalishia helicopter ya kumuhamisha/torosha kwenda uhamishoni - mwanzo Putin alitumia ustaarabu sana hakutana kuiharibu Ukraine na hasa kuwapa shida/taabu raia wa Ukraine kumbuka Ukraine na Urusi ni kama ndugu wanagombamishwa tu naataifa ya magharibi yenye agenda zao za siriza kuitumia Ukraine kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi - hilo ndilo lengo lao kuu, hawajali cha Ukraine wala raia wake.

Tukija kwenye kutambua kimataifa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine,je,umewahi kupitia hata siku moja kwenye makubaliano 12 ya Minsk2 yanayo husu Urusi na Ukraine ukaona yalikuwa yanagusia vitu gani muhimu kuhusu malidhiano ambayo yalisomamiwa na Angela Merkel na Rais wa Ufaransa - who can blame Putin kwa kuchukua hatua za haraka ku-pre empty njama zilizo kuwa zinasukwa na NATO/US kuhusu Urusi kwa kupitia jeshi la Ukraine na baadhi ya troops za NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine ili wasitambulike kirahisi - bottom line, is: Sio kwamba Putin alihamka asubui moja na kuhamua kuivamia Ukraine hiyo si kweli - alitaka kuondoa tishio lilokuwa dhahili dhidi ya Taifa lake,je,,wewe ungefanya nini - NATO/US walikuwa wanapuuzia Russian security concerns za Taifa lake licha ya Putin kuwakumbusha NATO/US mara kwa mara, walikuwa wanamcheka tu na kuzidi kuvimbisha kichwa Senselessky - kumbe mlitaka Putin afanye nini?? Mambo ya Putin kupitisha referamdum kwenye majimbo ya kusini mashariki hapo alitaka kutumia ustaarabu angeweza kabisa kuyachukua bila ya kujali NATO/US wanasema nini, Ukraine kuwndelea kurusha makombora wala hayatamsaidia chochote cha umujimu mi kwamba majimbo hayo hayatarudi tena Ukraine wanao amini tofauti wanajisumbua makimbo hayo yataendelea kuwa sehemu ya Urusi west watake wasitake - ukweli ndio huo.

Mani kawambia Putin kashindwa KHERSON wakati asili mia 70% bado hipo chini ya jeshi la Urusi - hata mtu ambaye hajui mbinu za kijeshi hawezi kushindwa kugundua kinacho endelea mjini KHERSON sikilizeni kauli za wateule wa Senselessky mjini KHERSON wanasema nini, mbona wote wanaonekana ni woga na hawaji amini Urusi inapanga nini kuhusu hatima ya mjini huo kiujumla hata Jenerali wao niliwahi kumsikia akitilia shaka uondokaji ghafla wa jeshi la Urusi mashariki mwa mji wa KHERSON -sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better than five star Generals!!

Nimalizie kwa kusema kwamba aslimia kubwa ya precision missiles zinazo rushwa kwenda kupiga designated targets inside Ukraine zinarushwa na Russian black sea fleet, unaposema kwamba fleet hizo ni mapambio sijui una maana gani mkuu, mwenye macho aliona jinsi meli hizo zinavyo tumika kikamilifu kutekeleza majukumu taka husitake ukweli ndio huo, zimesaidia sana kuharibu zaidi ya asilimia 40+ ya vyanzo na usambazaji wa umeme nchini Ukraine na tukiongrzea mashabulizi ya jana na leo sina shaka asili mia 50% za vyanzo vya umeme na usambazaji zinakuwa zimeharibiwa raia zaidi ya millioni 14 hawana umeme nisijue usamazaji wa maji huko hali gani hali ni tete sana we sema jamaa wanajikaza kisabuni tu-lakini kama Senselessky angekubaliana na masharti ya Minsk2 bila ya kuwasikiliza akina Biden na Boris Johnson walio mpoteza wala Ukraine hisingefikia hatua hii mbaya ya vita, vita ingesitishwa mwezi wa nne mwaka jana.
Halafu baadae Kazakhstan ikivamiwa Putin akiwaambia ilikua inatishia usalama wa Russia mtayabeba kama yaliyo mtatuletea humu.
Putin anashindwa kukubali ukweli mchungu kwamba USSR imeshakufa na haitorudi milele na milele AMINA.

President Vladimir Putin has said Kazakhstan's history of independent statehood is scant and its people's desire for closer ties with Russia is profound — a rhetoric reminiscent of Moscow's stance on Ukraine — and inhabitants of Kazakhstan are worried.

Kazakhs have taken to social networks to call for supporters to "send a history textbook to Putin" in response to the Russian leader's remarks last week that the Central Asian nation had never held any independence worth speaking of until very recently.
Kazakhs Worried After Putin Questions History of Country's Independence

Putin Downplays Kazakh Independence, Sparks Angry Reaction
Russian President Vladimir Putin has sparked furious reactions among Kazakhs by belittling the history of their state.

"The Kazakhs never had any statehood," Putin said during a meeting on August 29.

He credited Kazakh President Nursultan Nazarbaev with creating "a state in a territory that had never had a state before."

Putin suggested it was to the Kazakh people's advantage to "remain in the greater Russian world," which has developed industry and advanced technology.

Former Russian President Questions Kazakhstan’s Sovereignty
Medvedev has since deleted the social media post and blamed hackers.
Dmitry Medvedev, who served as Russia’s president in 2008-2012 and was prime minister in the following eight years, wrote a long Vkontakte post at 4 a.m. on August 2. The post was later deleted and hackers were accused of having infiltrated his account.

According to the post, it was the Russians who “established the first settlements on the wild lands of northern Kazakhstan” at the beginning of the 17th century. These “wild lands” were colonized by Russia “for three centuries” and “before the collapse of the Soviet Union, 62.5 percent of the population of northern Kazakhstan were Slavs.”
Former Russian President Questions Kazakhstan’s Sovereignty
 
kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Imeandikwa katika kitabu cha mithali
,"Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua."Mithali 29:2
RUSSIA imetawaliwa na muovu🤔
 
Kaka kwani wewe huwa unaangalia wapi habari,Urusi aliondoka mwenyewe na sio kwamba Ukraine alikomboa
Kwahiyo unambishia mpaka kamanda wenu mpya[emoji16]

Kherson cannot be fully supplied and function. Russia did everything possible to ensure the evacuation of the inhabitants of Kherson,” Surovikin told Shoigu. “We will save the lives of our soldiers and fighting capacity of our units. Keeping them on the right [western] bank is futile.9 Nov 2022

Warusi walikimbia Kwa kuogopa kuuawa kama kuku baada ya Ukraine kuwazunguka halafu unakuja kutuambia eti aliondoka mwenyewe kwa kupenda[emoji23]

Defending Surovikin’s decision to withdraw, the head of the Wagner private military corporation and Ukraine war hawk, Yevgeny Prigozhin, said: “Of course, this is not a victorious step in this war, but it is important not to agonise, not succumb to paranoia, but to draw conclusions and work on our mistakes.

“Surovikin had to withdraw troops and save a thousand soldiers who are actually surrounded on enemy territory, which is completely cut off from supply routes. Who gave instructions to take this position and why is another question.

The decision taken by Surovikin is not easy, but he acted like a man who is not afraid of responsibility. He did it in an organised manner, without fear, taking upon himself the full responsibility of decision-making.”

Russian troops ordered to retreat from Kherson in face of Ukrainian advance
 
Daaah kweli ujerumani masnich walitaka nchi ya wenzao ikawe wilaya mpya ndani ya urusi. Bora wamekaza Ukraine
Siyo kuwa wilaya, ni kwamba urusi kulingana na memorandum of understanding kati ya NATO na Russia, Ukraine ilitakiwa kuwa neutral. Hakuna cha NATO wala Russia pale Ukraine, lakini America na mbwa Koko wa EU especially UK, walitaka kumuzunguka Russia, Ukraine wajiunge na NATO, na toka 2014 kuna maandalizi yalikuwa yanaendelea pale Ukraine ya kijeshi na siraha nzito nzito za kuvamia Russia, huo ulikuw mpango wa USA, na mabepari w USA kutaka rasilimali za Russia, KGB waliliona hilo ndo maana wakaita special operation kuwanyang'anya silaha wanajeshi wa Ukraine, USA alikuwa ameshaweka silaha za kutosha. Na isingekuwa hivyo dunia ingegeuka majivu maana Russia ansingekubali kushindwa hata kama NATO wangeleta vifaa vyao vyote. Nuclear ingetumika, China, Russia, Iran, against NATO dunia ingeenda mrama.
 
kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Sababu Ukraine mashoga wamefika Moscow
 
Siyo kuwa wilaya, ni kwamba urusi kulingana na memorandum of understanding kati ya NATO na Russia, Ukraine ilitakiwa kuwa neutral. Hakuna cha NATO wala Russia pale Ukraine, lakini America na mbwa Koko wa EU especially UK, walitaka kumuzunguka Russia, Ukraine wajiunge na NATO, na toka 2014 kuna maandalizi yalikuwa yanaendelea pale Ukraine ya kijeshi na siraha nzito nzito za kuvamia Russia, huo ulikuw mpango wa USA, na mabepari w USA kutaka rasilimali za Russia, KGB waliliona hilo ndo maana wakaita special operation kuwanyang'anya silaha wanajeshi wa Ukraine, USA alikuwa ameshaweka silaha za kutosha. Na isingekuwa hivyo dunia ingegeuka majivu maana Russia ansingekubali kushindwa hata kama NATO wangeleta vifaa vyao vyote. Nuclear ingetumika, China, Russia, Iran, against NATO dunia ingeenda mrama.
Urusi kaivamia Ukraine 1940 kipind NATO haipo dunian , pia Kaja Kuivamia Ukraine mwaka 2014 na kumega Crimea kipind Ukraine hana mpango wa kujiunga na NATO , kisa ni wananchi kuandaman kumtoa yule kibaraka wa Urusi aliyekuwa rais wa Ukraine , alipotolewa kwa nguvu ya Raia toka hapo Urusi alianza ifanyia vituko Ukraine , Mpk 2015 Ukraine ndo wakaanza kufikiria kujiunga na NATO , kipindi chote hiki Urusi alipandikiza waasi kweny majimbo ya mashariki ya Ukraine , alipoingia Zele 2019 , Zele aliwapelekea moto hao waasi wakaanza kusalimu amri , Urusi akaamua ajitokeze hadharan baada ya kuona vita ya waasi ashashindwa , Feb 2022 akaivamia kiev akidai anayalinda majimbo yanayotaka kujitenga ila kama upo timamu hujiulize alifiata nini Kiev kama mission ni kulinda majimbo yanayotaka kujitenga ? au kiev ilitaka kujitenga ? , HAYA MENGINE MNALISHANA MATANGO PORI KUSAPOTI UGAIDI WA URUSI , URUSI ASHAVAMIA NCHI NYING JIRANI YAKE , KIUFUP URUSI ANAWAONA MAJIRAN ZAKE KAMA MAKOLON YAKE NA ANATAKA HADI UONGOZ WA NCHI JIRAN YAKE UWE UNAPANGWA MOSCOW , KITU AMBACHO MAJIRAN HAWATAKI KUSIKIA MF GEORGIA WALIZIPIGA na URUSI 2008 KISA UJINGA KAMA HUU WA URUSI KUTOHESHIMU MAJIRAN ZAKE
 
Cheki Warusi wanavyochimba mifereji kujaribu kuzuia vikosi vya Ukraine.Mbinu za kizamani kama vile wapo WW2 enzi hizo🤔
......
'World's second army' in the trenches in Donbas oblast.
FB_IMG_1669366409151.jpg
 
Sasa ni Rasmi, Umoja wa ulaya EU waitambua Urusi kama nchi inayofadhili ugaidi duniani.

Brussels, Belgium –
The European Parliament has declared Russia as a “state sponsor of terrorism”, saying Russian atrocities against Ukrainians and the destruction of civilian infrastructure violate international and humanitarian laws.

The Parliament’s move on Wednesday was welcomed by Ukrainian officials, who have been pushing the European Union and NATO countries to label Russia a terrorist state.

“Russia is a terrorist state: confirmed by the European Parliament. Russia has a history of acts of terror against sovereign states, support for terrorist regimes and organisations including Wagner, war of terror on Ukraine,” Ukraine’s foreign minister Dmytro Kuleba tweeted as he thanked the European Parliament for its “clear stance” towards Russia.
 
Hapo shoga analazimishwa kuingia Kwa mtu Russia
 
kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Aisee.. Hao wanajeshi wanauawa kinyama..
.
Alafu askari wa ukrain inaonekana wanawafanyaia ukatili wa kutisha sana wanajeshi wa kirusi wakiingia kwenye anga zao
 
kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Wacha wachakazwe tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom