Hakuna ulazima wa Mimi kuipinga kwa hoja kauli au comment ya mtu wa Aina hiyo...mtu anaamini kuwa Russia inabondwa bondwa wakati kwa zaidi ya miezi 8 misaada ya Kila Aina kutoka nchi 30 imeshindwa mpaka Sasa kuiokoa Ukraine...yaani Ukraine inateketezwa na karibu inafutwa eti mtu na akili yake anasema Russia inapigwa..Ila ww unaejua umekosa hoja ya kuipinga hoja ya asiyejua!!!! AJABU!
Warusi wanaliwa vichwa sana,Nimeona sehemu Second Mobilization inatangazwa siku yoyote kuanzia leo
Nimeingia kwenye hilo group aiseeee kunatishaaaa. Acheni warusi wakimbie hiyo mobilization ya bwana Putin.
Watu wanakufa kama panya mpk wengine wanaoza Kwa road.
[emoji120] Tafadhali Mkuu usilete humu zile picha
Sijawahi kutumia pesa za mashoga hata mishahara ya mshoga sigusi ndio maana sijawa mtumwa kama weweNasika mashoga wanakugawiaga hela kila kukicha, sasa ukishazi-swallow ukashiba ukaenda toilet fresh unarudi mitandaoni kuwakandia.. 😛
Kunguru kweli, nchi yako kila kukicha kaguu na njia kwenda EU na US huwa wanakwenda kulima mashamba huko au ?Sijawahi kutumia pesa za mashoga hata mishahara ya mshoga sigusi ndio maana sijawa mtumwa kama wewe
Kunguru kweli, nchi yako kila kukicha kaguu na njia kwenda EU na US huwa wanakwenda kulima mashamba huko au ?
Hakuna ulazima wa Mimi kuipinga kwa hoja kauli au comment ya mtu wa Aina hiyo...mtu anaamini kuwa Russia inabondwa bondwa wakati kwa zaidi ya miezi 8 misaada ya Kila Aina kutoka nchi 30 imeshindwa mpaka Sasa kuiokoa Ukraine...yaani Ukraine inateketezwa na karibu inafutwa eti mtu na akili yake anasema Russia inapigwa..
Hahahaha kwani wale laki tatu si wamepelekwa juzi tu hapaNimeona sehemu Second Mobilization inatangazwa siku yoyote kuanzia leo
West wenzao kila siku wanashusha winter gear tu Kwa wanajeshi wa UkraineHypothemia inawaua warusi wengi
Ukiripoti kufoka wapi mkuu??Duh! Kweli jamaa wanachapika vibaya aisee..,na sio tu huko ngambo ya mto pekee.., kiukweli fashisti anatembezewa mkong'oto potepote,sio luhansik zapozhia, Donetsk..,kote anapokea za uso [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Off topic mzeeUrusi kaivamia Ukraine 1940 kipind NATO haipo dunian , pia Kaja Kuivamia Ukraine mwaka 2014 na kumega Crimea kipind Ukraine hana mpango wa kujiunga na NATO , kisa ni wananchi kuandaman kumtoa yule kibaraka wa Urusi aliyekuwa rais wa Ukraine , alipotolewa kwa nguvu ya Raia toka hapo Urusi alianza ifanyia vituko Ukraine , Mpk 2015 Ukraine ndo wakaanza kufikiria kujiunga na NATO , kipindi chote hiki Urusi alipandikiza waasi kweny majimbo ya mashariki ya Ukraine , alipoingia Zele 2019 , Zele aliwapelekea moto hao waasi wakaanza kusalimu amri , Urusi akaamua ajitokeze hadharan baada ya kuona vita ya waasi ashashindwa , Feb 2022 akaivamia kiev akidai anayalinda majimbo yanayotaka kujitenga ila kama upo timamu hujiulize alifiata nini Kiev kama mission ni kulinda majimbo yanayotaka kujitenga ? au kiev ilitaka kujitenga ? , HAYA MENGINE MNALISHANA MATANGO PORI KUSAPOTI UGAIDI WA URUSI , URUSI ASHAVAMIA NCHI NYING JIRANI YAKE , KIUFUP URUSI ANAWAONA MAJIRAN ZAKE KAMA MAKOLON YAKE NA ANATAKA HADI UONGOZ WA NCHI JIRAN YAKE UWE UNAPANGWA MOSCOW , KITU AMBACHO MAJIRAN HAWATAKI KUSIKIA MF GEORGIA WALIZIPIGA na URUSI 2008 KISA UJINGA KAMA HUU WA URUSI KUTOHESHIMU MAJIRAN ZAKE
| MIM-104 Patriot Mobile surface-to-air missile/anti-ballistic missile system |
umewai wafir@ ? au walikufir@?Ni jimbo la Duma au bunge la Duma?
Anyways, Russia nimewaelewa sana hapa.
Jeshi la NATO limejaa mapunga!!
Never ask, never tell crap.