kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Urusi afanye carpet bombing kwa teknolojia ipi aliyo nayo, ndege zake zikinusa tu anga ya ukraine zinabutuliwa bila kurusha hata jiwe [emoji12][emoji2]Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app