Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi unakumbuka miezi miwili iliyopita ulisema ni ndoto kwa Ukraine kuikomboa Kherson, unakumbuka?!

Kama ameweza kukomboa 30% tena ndani ya kipindi kifupi Tu maana counter offensive imeanza late August ,kwann ashindwe hizo 70%!!!!!
Kaka kwani wewe huwa unaangalia wapi habari,Urusi aliondoka mwenyewe na sio kwamba Ukraine alikomboa
 
Superpower anadhalilika mpaka anaomba ushauri wa kivita kwa Ayatollahs. Na sasa huyo mshauri mwenyewe ameuwawa🤔
....
The Secretary of Ukraine's National Security and Defense Council Danilov said that Iranian military advisers have been killed in Crimea
Screenshot_20221125-091119.png
 
Ilijiunga kwenye makaratasi ambayo Ukraine hawayatambui na ndio maana mpaka Leo miji yote iliyofanya ule uchafuzi kama wa CCM bado inabondwa Makombora na Ukraine na hakuna kitu Russia anafanya/ atafanya.

Kama kashindwa kule Kherson makao makuu ndo aweze kuchukua Odessa?! Black sea fleet imebaki tu kama pambo,siku hizi wana kazi ya kuhamisha tu submarines baada ya Ukraine kutengeneza suicide drone za kwenye maji
With due respect I think you don't know anything what is going on in Ukraine ...
 
Superpower anadhalilika mpaka anaomba ushauri wa kivita kwa Ayatollahs. Na sasa huyo mshauri mwenyewe ameuwawa[emoji848]
....
The Secretary of Ukraine's National Security and Defense Council Danilov said that Iranian military advisers have been killed in CrimeaView attachment 2426946
Urusi Kwa Sasa anahangaika kila mahali kutafta msaada..,halafu Kuna mahaba Niue wanakwambia operation maalum ya kijeshi Inakwenda kama ilivyopangwa [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wana hali mbaya ujue.. mbaya mno,, kiufupi hawa advance tena kukomboa miji yao,, mji kama kherson,, mrusi aliuachia tu kwa kutaka, hawakuukomboa,, na kuna sehemu Russia wana advance kuna sehemu wana defend
 
Warusi wameshindwa kuichukua Bakhmut wanapigana hapo tangu August wakati huo Ukraine kuanzia late August imechukua Kharkiv, Kupiansk, Izyum, Snake Island, Lyman na Kherson. Russia Vita vya ardhini akubali tu haviwezi anachoweza ni kulipua transfoma za Kiev[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walifanya referendum Leo, kesho yake Lyman ikaangukia mikononi mwa ukraine..,Hawa jamaa wa vituko kweli [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mke wa rais wa ukraine amesema kwamba waukraine wako tayari kukosa umeme hata miaka miwili, lakini wapambane ushindi upatikane,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin &ProRussians waliUnderestimate Ukraine.Walichukua Crimea wakaona hata Kyiv inaweza kuchukulika.Sasa wanavuna walichopanda.Na sasa kichapo kitaendelea mpaka Crimea irudi Ukraine.Na Warusi walivyo waoga mpaka wanachimba mifereji eti kuzuia Ukraine advancement.Hii inanikumbusha cartoon Tommy&Jerry.Paka(Tommy) anatishiwa na Panya(Jerry) 😀
 
Putin &ProRussians waliUnderestimate Ukraine.Walichukua Crimea wakaona hata Kyiv inaweza kuchukulika.Sasa wanavuna walichopanda.Na sasa kichapo kitaendelea mpaka Crimea irudi Ukraine.Na Warusi walivyo waoga mpaka wanachimba mifereji eti kuzuia Ukraine advancement.

kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
 
Ukraine wana hali mbaya ujue.. mbaya mno,, kiufupi hawa advance tena kukomboa miji yao,, mji kama kherson,, mrusi aliuachia tu kwa kutaka, hawakuukomboa,, na kuna sehemu Russia wana advance kuna sehemu wana defend
Kherson Russia aliondoka kwa kutaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

For weeks, Ukrainian forces have been advancing on Kherson — the only Ukrainian regional capital that Russia managed to take over since its invasion in February.

Hii ndio sababu kuu iliyowafanya wakimbie Kherson[emoji116]waliogopa kufa kama kuku hizo nyingine ni hadithi tu za kufurahisha genge.

Russian defense chiefs said Wednesday they were pulling back their troops to the east bank of the Dnipro River, to save the lives of soldiers and civilians.

kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
Wacha tu wauwawe mkuu, ubaya waliuanza wao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom