Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dini yangu ipo Kilimanjaro mzee.

usifosi.

Vipi Bunge la Duma limekosea au lah?

Hizo ni distraction za kutafuta pakujishikilia, hao mambo yenu ya Mombasa, Pwani hadi Pemba hayatuhusu, kipigo kiko pale pale, mlijaribu kuparamia nchi ya watu imeshindikana mnaanza kujadili wanaume kufumuana, havihusiani na front line, pambaneni.
 
Ofcoz miaka ya mbeleni aidha waarabu au wachina watatawala hii dunia kama tulivotawaliwa na western kwa sasa, then warusi ndo watakua second runner up kama ilivo china au uarabuni kwa sasa. Naombea wawe wachina na sio waarabu coz history itajirudia. Western nawaona ni kama Rumi ya enzi zile. Ikitokea world war 3 tu na western wakapoteza basi ndo utakua mwanzo wa era mpya. Rumi ilikufa kwa kuendekeza uhuru uliopitiliza. Nature kila siku ina tabia ya ku-keep balance, there will never be too much of anything, nature will keep us (painfully) safe.
 
Mara kadhaa nimeandika humu kuwa uwezo wako wa kuchambua Mambo ni wa chini kabisa...kwa fikra zako unadhani kuingilia operation ni pamoja na kutoa misaada ....lakini wenzio makini na wanaojua Mambo haya wanajua kuwa kuingilia operation ni to put boots on the ground...yaani kupeleka Askari, kutumia ndege za kijeshi kupiga majeshi ya huyo unayedhani ni mvamizi, kufunga anga kwa maana ya kuweka no fly zone kwa huyo unayemwita mvamizi.,...Mpaka Sasa NATO na west haijafanya vyote hivyo...Sasa wewe kwa akili yzko ya uwezo mdogo unadhani kupeleka fedha na himars ndiyo tayari kuingilia operation...poor you...nangojea matusi yako kwa comment yangu hii kwani ndicho jnachoweza kufanya kwani huna uwezo wa kujenga hoja....uwezo wako ni msafara wa kilomita 100 uko wapi, pimbi na fashisti Putin, superpowers wa mchongo, kuingilia operation, wazee wa Kherson, na kadhalika...
 
🇨🇳🇺🇲🇺🇦 The United States, at the request of China, persuaded Poland not to send MiG-29 fighters to Ukraine, according to sources in the British magazine The Spectator. According to them, Beijing was afraid of the escalation of the military conflict in Ukraine.
 
Nyie wenyewe mmekiri mara nyingi hapa kwamba urusi anapambana na NATO na sio Ukraine,Sasa nashangaa unaanza kuyakana maneno yako mwenyewe..,kama kweli anapambana na NATO kama mnavyosema,it means tayari operation maalum ya kijeshi imeshaingiliwa,Sasa urusi anasubiri nini kutoa kipigo Cha kihistoria?
Alafu unaposema kutoa silaha hakumaanishi kuingilia hiyo operation, mbona Iran alitaka kuhadhibiwa na west baada ya kuonekana anatoa silaha kwa Putin?
Vip,Jana hukusikia uingereza ametuma helcopta 3 huko Ukraine? Nyie jamaa semeni tu ukweli kwamba mmechoka kumtetea super pawer wenu,,mlivyomdhania sivyo kama mnavyomuona, super pawer wenu kawaangusha sana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tangawizi imezidi
 
🇺🇸🇹🇷 US Senator Frank Pallone: "It's time to reconsider our relationship with Turkey. Its deliberate actions have resulted in civilian casualties and endangered the lives of American personnel"

We are talking, of course, about Turkey's "special operation" in northern Syria and Iraq.
 
eChina Plans Nuclear Moon Base, Threatens NASA Supremacy

Plans are in place for a station on the moon by 2028, with astronauts touching ground shortly after, lunar exploration programme chief Wu Weiran has told state media.

The station - likely fuelled by nuclear energy - will consist of a lander, hopper, orbiter and rover constructed by the Chang’e 6, 7 and 8 missions, and will eventually be expanded into an international research station.

The moon's South Pole, where scientists hope to find water, will host the base and is a designated target of NASA, putting Beijing and Washington in direct competition. (Bloomberg)

Subscribe to RTto RT
 
sRussia “Doing the Right Thing” Protecting Donbass - Putin

Russian President Vladimir Putin outlined the key points of the special military operation in Ukraine after a Security Council meeting Friday:

▪️"Russia is not fighting Ukrainians, but those who use them as cannon fodder."

▪️"The Ukrainian military is shot in front of the ranks if they leave their positions."

▪️He pointed to the bad morale and shootings in the Ukrainian troops, which "confirms that we are dealing with a neo-Nazi regime."

▪️"Russia feels that it is doing the right thing by protecting Donbass."

Subscribe to RTribe to RT
 
Hunter becomes the Hunted? Musk to Reveal Twitter Censorship Info

The tech mogul will unveil information about Twitter's decision to censor stories relating to the US President's laptop and his ties to Ukraine - as it will "restore public trust".

Users were previously blocked from sharing the story - which some called "politically motivated censorship", and Musk dubbed "obviously incredibly inappropriate" - before his acquisition of the platform.

Subscribe to RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…