Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Vita ya ardhini Putin ameshindwa 100% sasa unapopigana kwa kurusha makombora ili litue tu popote tu pale yeye akiwa mbali huko sijui black sea ama kutoka urusi ni wazi jamaa hajui pigana na ameshindwa kuliko kushindwa kwa sababu impact yake ameua raia 10, hii sasa it is good for northingZaidi ya watu 10 wa Kherson Oblast wamekufa baada ya makombora kudondoka kwenye mji uliotajwa kukombolewa na Ukraine wiki 2 zilizopita.
Urusi iliwataka watu wote waondoke upande wa kulia wa mto Dnipro na hatimae na majeshi yake yakaondoka upande huo ambapo majeshi ya Ukraine yaliingia kwa furaha na kutangaza kuukomboa mji huo.
Dalili za kukosekana kwa usalama mjini humo zilianza mapema wiki hii wakati Serikali ya Ukraine nayo ilipowataka wananchi waliobaki waondoke na kwamba iko tayari kuwalipia gharama zote za kuhama,
Mashambulizi ya Kherson yamekuja siku 3 tu tangu mvua nyengine ya makombora yalipopiga miji yote mikubwa ya Ukraine na kusababisha umeme na maji kukatika katika maeneo hayo.
Mashambulizi hayo vile vile yamekuja siku chache tu tangu waiengereza waliposema Urusi imebakiwa na makombora yanayotosha kupiga Ukraine kwa mfululizo yasiyozidi siku tatu.
Katika hatua nyengine Rais wa Ukraine amesema Urusi hawajui kupigana. Wanachojua ni kupiga watoto na kulipua vinu vya umeme na maji.
Kwa iyo kwa sasa Warusi wapo wapi.Urusi au UkraineVita ya ardhini Putin ameshindwa 100% sasa unapopigana kwa kurusha makombora ili litue tu popote tu pale yeye akiwa mbali huko sijui black sea ama kutoka urusi ni wazi jamaa hajui pigana na ameshindwa kuliko kushindwa kwa sababu impact yake ameua raia 10, hii sasa it is good for northing
Wenzake wako ardhini wanapambana na wanajeshi wenzao kugomboa maeneo ya ardhi yeye anaua raia siju anakata umeme na upumbav kama huo
Mtaendelea kujifariji hivyo hivyo lakini mwisho wa yote kichapo Kiko palepale!Fashisti Putin haamini anachokiona mbele ya macho yake..,kanchi kadoogo Tena jirani yake kamekuwa mbogo[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hii imetokana sana na kudunguliwa kwa mizinga yao, wamefyatua hadi wameishiwa....
An intelligence update on Saturday said the use of nuclear warheads from the 1980s highlighted the Kremlin’s depletion in long-range missiles, adding it was “unlikely to achieve reliable effects against intended targets”.
It said in a tweet that open source imagery showed wreckage of an air-launched cruise missile fired at Ukraine which seems to have been designed in the 1980s as a nuclear delivery system.
The MoD said the nuclear warheads had probably been substituted for ballast in the hope the missiles would distract Ukrainian air defences.
“Although such an inert system will still produce some damage through the missile’s kinetic energy and any unspent fuel, it is unlikely to achieve reliable effects against intended targets,” it said.
“Whatever Russia’s intent, this improvisation highlights the level of depletion in Russia’s stock of long-range missiles.”
Ila wejamaa Nikiazi kweliNa hii imetokana sana na kudunguliwa kwa mizinga yao, wamefyatua hadi wameishiwa....
An intelligence update on Saturday said the use of nuclear warheads from the 1980s highlighted the Kremlin’s depletion in long-range missiles, adding it was “unlikely to achieve reliable effects against intended targets”.
It said in a tweet that open source imagery showed wreckage of an air-launched cruise missile fired at Ukraine which seems to have been designed in the 1980s as a nuclear delivery system.
The MoD said the nuclear warheads had probably been substituted for ballast in the hope the missiles would distract Ukrainian air defences.
“Although such an inert system will still produce some damage through the missile’s kinetic energy and any unspent fuel, it is unlikely to achieve reliable effects against intended targets,” it said.
“Whatever Russia’s intent, this improvisation highlights the level of depletion in Russia’s stock of long-range missiles.”
Na Usikute Jamaa mtoa mada Ni jitu zima tu !!Source:
Waziri wa Ulinzi wa Mwrekani
yaani muda huu tu Naona Taarifa Miji inawaka Moto huko yeye anakuambia wameishiwa !!Hizi story za Russia kuishiwa silaha hamjazichoka tu?