mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 519
- 664
Halitosaidia kituSasa ni Rasmi, Umoja wa ulaya EU waitambua Urusi kama nchi inayofadhili ugaidi duniani.
Brussels, Belgium – The European Parliament has declared Russia as a “state sponsor of terrorism”, saying Russian atrocities against Ukrainians and the destruction of civilian infrastructure violate international and humanitarian laws.
The Parliament’s move on Wednesday was welcomed by Ukrainian officials, who have been pushing the European Union and NATO countries to label Russia a terrorist state.
“Russia is a terrorist state: confirmed by the European Parliament. Russia has a history of acts of terror against sovereign states, support for terrorist regimes and organisations including Wagner, war of terror on Ukraine,” Ukraine’s foreign minister Dmytro Kuleba tweeted as he thanked the European Parliament for its “clear stance” towards Russia.
KiufupiFipisha habari hii kwa maneno 250
la sivyo hakuna atakae isoma
Katika kitu ambacho Marekani amefanikiwa Sana 100% kwenye hii vita ya Putin ni kufanikisha kwa haraka decoupling Kati ya Russia na EU,Jambo ambalo alikua analitaka kwa muda mrefu Sana.
Waumane tu,sisi kwetu kicheko.
Ona Ulivyo Mpuuzi Umehamia Kwenye DiniHehehe hili lipumbavu bado liko hai.....
Watu wa dini yako wote wamehamia kumuabudu Putin, ndio mtume mpya, ulichelewa wapi, ila anapokea mapigo ya kiwaki waki, sijui mtahamia kwa Kim wa Korea.
ACHA UWONGO: ACHA UWONGO MKUU..Minsk agreement ilivunjwa pale Russia alipochukua Crimea kimabavu
Huyo Nimjinga Achana NayeComments za aina hii za kukashifu dini nyingine ni hatari kwa uhai wa JF
Umesoma interview hiyo ukiwa na mindset fulan hivyo unaitafsiri kwa kimakosa ili kukidhi imani yako. Elewa kuwa special status haikuwa na maana ya independence from Kiev.Wapi kaitaja Russia, tumia facts! siyo mawazo yako!...
Soma:
“It did not come as a surprise,” Merkel told the outlet. By then, “the Minsk Agreements were eroded,” the former chancellor stated, referring to the 2014 ceasefire deal brokered by Germany and France, which were designed to give the eastern regions special status within Ukraine.
-Umeelewa red line?...
Zele hakutaka kutoa hiyo special status na alikuwa akiwatembezea kichapo
Ila ndo wakina Zele waligoma kutoa hio special status kama walivyokubaliana.....ikabidi mrusi ashushe kipondo tuUmesoma interview hiyo ukiwa na mindset fulan hivyo unaitafsiri kwa kimakosa ili kukidhi imani yako. Elewa kuwa special status haikuwa na maana ya independence from Kiev.
walipovamiwa ulitaka afanyaj ?Huyu mama yupo Ufaransa amerelax : Au yeye siyo Myukreni??
Kuna siku tulikuwa Nairobi na jamaa zangu wawili wa chuo cha USA kina branch Kenya ilikuwa jpili nikaonyeshwa kijana wa Rais wa Sudan kusini ni full bata na wapambe wamepack gari za kifahari 3 nikajiuliza hawa kumbe huwa hawashiriki shida za wananchi?
Ko huyo mke huyo comedian yupo sawa tu!
Wewe ndiye unayeonekana mpumbavu kwa kushindwa hoja badala yake unakimbilia matusiHuyo Nimjinga Achana Naye
wanazungumzia Vita Yeye yupo na Udini
Unajua hao ndio Asili yao Udini na Ukabila kwahiyo Anataka Leta Huo Upuuzi JF
U
Ukraine wamezoea dhiki tangia February 24.., hivyo kukatika umeme it's not a big issue!!Hujaelew.. Hizo kauli inaonesha hali ni mbaya.
Fuatilia latest evelopment , ukipunguza mahaba lakin
Yaani siasa mbaya sansBaridi kali na uhaba wa umeme "sio jambo baya zaidi," aliiambia BBC
Raia wa Ukraine wako tayari kustahimili hali ya joto na kukatika kwa umeme kwa miaka kadhaa ikiwa nchi hiyo hatimaye itaruhusiwa kujiunga na EU, Mke wa Rais Elena Zelenskaya amedai. Alihojiwa na BBC siku ya Ijumaa.
Akizungumza na shirika la utangazaji la Uingereza baada ya wiki kadhaa za mashambulizi ya Urusi dhidi ya vituo vya nishati vya Ukraine, Zelenskaya alisema kwamba raia wa Ukraine walikuwa "tayari kustahimili" majira ya baridi kali ikiwa ombi la nchi hiyo la kuwa mwanachama wa EU litafaulu.
Mke wa Rais Vladimir Zelensky alitoa mfano wa kura ya maoni ya hivi majuzi ambayo iliripotiwa kugundua kuwa 90% ya Waukraine wangevumilia uhaba wa nishati na joto kwa miaka miwili au mitatu ikiwa nchi hiyo inaweza kuwa mwanachama wa umoja wa Ulaya baadaye.
"Tumekuwa na changamoto nyingi za kutisha, tumeona waathirika wengi, uharibifu mwingi, kwamba kukatika kwa umeme sio jambo baya zaidi kutupata," aliiambia BBC.
Kwa kutiwa moyo na Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen, Ukraini ilituma maombi ya uanachama wa Umoja wa Ulaya mwezi Februari, na ikakubaliwa kuwa mgombeaji wa nafasi hiyo mwezi Juni. Hata hivyo, Kyiv hawezi kujiunga na umoja huo akiwa katika vita vya silaha na jirani zake, na baadhi ya nchi wanachama zimeeleza kuwa taifa hilo litalazimika kuondoa rushwa, kusafisha rekodi yake ya haki za binadamu na kuimarisha utawala wa sheria kabla halijaanza. kuchukuliwa kwa uanachama.
Hali ya joto inapopungua nchini Ukraine, Urusi inaendelea kugonga maeneo umuhimu ya kijeshi kote nchini, ikiwa ni pamoja na mitambo ya nishati na vifaa vya gesi. Wimbi la mashambulio makubwa ya makombora kwenye miundombinu yaliripotiwa katika Kyiv, Kharkov, Odessa, Lviv na miji mingine siku ya Jumatano.
Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko alisema Alhamisi kwamba asilimia 70 ya mji mkuu wa Ukraine uliachwa bila umeme kufuatia mgomo huo, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa shirika kubwa la kibinafsi la umeme la Ukraine alitoa wito wiki iliyopita kwa raia kufikiria kuondoka nchini kwa msimu wa baridi ili kupunguza mzigo kwa walioharibiwa. gridi ya taifa.
Huyu mama yupo Ufaransa amerelax : Au yeye siyo Myukreni??
-Mbaya ni kwamba EU hawezi toa nafasi hiyo mpaka vita iishe, na Russia atahold hii vita hata miaka kadhaa huku akiendelea kupiga kwenye mishono na kuirudisha Ukrainia mwaka 1724 A.D
Ficha Upumbavu wakoWewe ndiye unayeonekana mpumbavu kwa kushindwa hoja badala yake unakimbilia matusi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo ni misk agreement ya tandaleACHA UWONGO: ACHA UWONGO MKUU..
Kwa faida yako na wengineo Crimea ilikuwa annexed kabla ya Minsk agreement zote mbili(Minsk 1 & Minsk 2)
Timeline iko hivi:
CRIMEA AANNEXATION - March 2014
MINSK AGREEMNT I - September 2014
MINSK AGREEMENT Ii - February 2015
Soma pia:
Russian President Vladimir Putin signs the treaty of accession (annexation) with Crimean leaders in Moscow, 18 March 2014. Russian masked troops invaded and occupied key Crimean locations, including airports and military bases, following Putin's orders.
What are the Minsk agreements?
Minsk I
Ukraine and the Russia-backed separatists agreed on a 12-point ceasefire deal in September 2014.
Its provisions included prisoner exchanges, deliveries of humanitarian aid and the withdrawal of heavy weapons. However, the agreement quickly broke down, with violations by both sides.
Minsk II
Representatives of Russia, Ukraine, the Organisation for Security and Cooperation in Europe (OSCE) and the leaders of separatist-held regions Donetsk and Luhansk signed a 13-point agreement in February 2015.
The leaders of France, Germany, Russia and Ukraine gathered in Minsk to mark the occasion and issued a declaration of support.
The deal’s 13 points were:
- Immediate, comprehensive ceasefire.
- Withdrawal of heavy weapons by both sides.
- OSCE monitoring.
- Dialogue on interim self-government for Donetsk and Luhansk, in accordance with Ukrainian law, and acknowledgement of special status by parliament.
- Pardon, amnesty for fighters.
- Exchange of hostages, prisoners.
- Humanitarian assistance.
- Resumption of socioeconomic ties, including pensions.
- Ukraine to restore control of state border.
- Withdrawal of foreign armed formations, military equipment, mercenaries.
- Constitutional reform in Ukraine including decentralisation, with specific mention of Donetsk and Luhansk.
- Elections in Donetsk and Luhansk.
- Intensify Trilateral Contact Group’s work including representatives of Russia, Ukraine and OSCE.
Hajafanikiwa, bado EU wanategemea sana Russian energy, waliweka vikwazo ila bado wananunua kwa siri, Russia akaweka condition walipe kwa Ruble na wakafungua akaunti kulipia energy kwa Ruble.Katika kitu ambacho Marekani amefanikiwa Sana 100% kwenye hii vita ya Putin ni kufanikisha kwa haraka decoupling Kati ya Russia na EU,Jambo ambalo alikua analitaka kwa muda mrefu Sana.
[emoji1258] AKILI KUBWA.
Minsk agreement ilivunjwa pale Russia alipochukua Crimea kimabavu