Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baridi tiari au BADO . Muda wa kugandishana hakuna. Kuzikana kwenye mashimo wala damu kutiririka unapigwa Chuma damu haitoki ama ikitoka inakua jiwe fasta . Zeleeeeeee .Russia kiboko
 
Hata kama Kuna watu Wana mahaba na kusoma, sidhani kama Kuna mtu anapoteza muda wote huo kusoma hii biblia..., jaribu kuleta habari Kwa ufupi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni miezi 4 Sasa urusi anapigana Ili kudhibiti huo mji wa bakhumut.., duh ., kweli vita ni zaidi ya tuijuavyo[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Severodonesk ilikuwa ivyo ivyo ila mwisho wa siku ikaondoka kwa uchungu na Zelensk akatoa ya moyoni kabisa kuwa Wanajeshi wake zaidi ya mia walikuwa wanakufa kwa kila siku kwenye mji wa severodonesk.

kwa iyo hata Bakhmut itaondoka na mwisho wa siku atatangaza kwa siku waliikuwa wanakufa wanajeshi wangapi
 
Hata kama Kuna watu Wana mahaba na kusoma, sidhani kama Kuna mtu anapoteza muda wote huo kusoma hii biblia..., jaribu kuleta habari Kwa ufupi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamtakatisha tamaa watu kusoma,watasoma na wataujua ukweli.Ukraine haitakuwepo katika ramani ya Dunia katika miezi miwili tu ijayo.Stay tuned.
 
Kipindi hicho Ukraine ilikuwa haijapewa HIMARS..., baada ya Ukraine kupewa HIMARS urusi hajasonga mbele popote pale, badala yake amebaki kuchimba handaki na kujenga defense line.., hivyo kama una ndoto kwamba ya severodonetsk yatajirudia huko bakhumut amka haraka sana maana ni adhuhuli ya saa 9

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi akiikamata Bakhmut niite mbwa nimekaa pale[emoji23]. Ni miezi sasa hao Wagner wanataka kuushika huo mji lkn mpaka Leo imekua kibarua kigumu halafu wanatumia mbinu za WWII za kutuma wanajeshi kibao ambao wanauliwa kama nzi na wanajeshi wa Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…