MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Ana upeo mdogo kuhusu URUSINinamashaka na uwezo wako wa kufikiria hujui urusi ndo bingwa wa kushinda wakati wa vita?angalia sasa hivi Russia wanavyoadvance Kwa mafanikio.
MkuuHapo Kenya mmefanikiwa kukomboa ekari ngapi kutoka kwa Uhuru Elites!?
Wakenya ndio waasisi wa Flying toilets duniani.Makampuni makubwa yanayotengeneza magari Urusi:
AvtoVAZ
GAZ
AZLK
KAMAZ
NAMI
Aurus Motors
UAZ
Hapo Kibera mnafanya nini!?
Ubora WA ndege unapimwa kwa Flight hours,mpaka sasa ndege hizi zipo zaidi ya 800 na ndio successful 5th generation fighter jet project mpaka sasa maana ndio ndege pekee ya kizazi cha tano inayotengenezwa Kwa wingi na kila siku inaendelea kupata wateja. Hivyo si ajabu kuona hizo ajali sababu hizi ndege kila Leo zinafanya mazoezi.@T14 Armata hizi ndege zenu zinashida gani MKUU au ndio kisa na sababu zilitengenezwa kwa wingi ndio maana zinaanguka
Hizi 35f nimradi wahovyo kabisa huko usaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize nini kiliwakuta kwenye winter war waliopigana na FinlandNinamashaka na uwezo wako wa kufikiria hujui urusi ndo bingwa wa kushinda wakati wa vita?angalia sasa hivi Russia wanavyoadvance Kwa mafanikio.
Kumbe bado mnapamezea mate[emoji23][emoji23][emoji23]Mashambulizi ya miundombinu na mobilization imeipa Russia kushika mpini . Jamaa watafuruahwa Kherson town soon
I love OddessaWazee wa " I love Odessa" mna vituko kweli [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Biden hana akili[emoji631][emoji1130]Biden is ready to resort to military intervention as a last resort to prevent Tehran from obtaining nuclear weapons, but this is not required yet, said US Special Representative for Iran Robert Malley.
According to the diplomat, the American leadership still prefers diplomacy as the best way to resolve the issue of a possible nuclear weapon for Iran.
HahahahaHumu ntasoma maoni ya wataalam baada ya kombe la dunia. Kwa sasa nachungulia chungulia tu [emoji2]