Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hizo mig za mwaka gani na hizo 35f nazo zamuda gani!!?Ubora WA ndege unapimwa kwa Flight hours,mpaka sasa ndege hizi zipo zaidi ya 800 na ndio successful 5th generation fighter jet project mpaka sasa maana ndio ndege pekee ya kizazi cha tano inayotengenezwa Kwa wingi na kila siku inaendelea kupata wateja. Hivyo si ajabu kuona hizo ajali sababu hizi ndege kila Leo zinafanya mazoezi.
Tukiangalia SU-57 ya Urusi,hata 20 hazifiki lakini hiyo ndege ilishapata ajali,sasa piga hesabu Kwa crashes za F-35 ambazo zipo zaidi ya 800 na hizi Su-57 ambazo hata ishirini hazifiki utajua upande upi ni dhaifu.
ADDITION;
Kwenye masuala ya usalama wa ndege nadhani hakuna ndege zenye rekodi mbaya kama za Urusi mfano mzuri ni mig-21 mpaka zimepewa jina jeneza linalopaa (flying coffin).
Kama hizo 35f zingekua naidadi sawa yauwingi wa hizo za RUSSIA sihasha zingekua zishaisha muda sanaa
F35 mradi wahovyo sana hata kama zingekua ziko millioni na wanapata sana wateja sababu hawapendi ushindani
Kama TURKEY kununua s400 aliekewa vikwazo unadhani hao wengine ingekuaje
Kama MOROCCO cjui ALGERIA anatishiwa kuekewa vikwazo sababu ya kuekeana dili nono la silaha seuze hao wengne
Bila vikwazo mnaowatishia navyo wapinzani wenu waununuzi wa silaha leo hii RUSSIA ingekua mbali mnoooo
Sent using Jamii Forums mobile app