Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

OFFENSIVE WAPI MBONA HATUSIKII SIKU HIZI.
Vipi HIMARS ??

ILE YA KHERSON IMEISHIA MTONI, JAMAA KUSOGELEA MTO WANAOGOPA.

BATTLEFIELD KINAWAKA MBAYA HASA LPR NA DPR . HATUONI RIPOTI ZA HUKO KABISA WANA WANAVYOGOMEWA NA KUCHEZEA .
Wakumbushe Askari wa partial mobilization bado hawajaingia Ukraine Kwa hiyo wakae Kwa kutulia mambo bado 😄😄😄😄😄
 

Urusi hajahitaji msaada kutoka kwao sababu bado anajiweza. Akihitaji atanunua
 
India gawawrzi kuacha kufanya biashara na Russia. Mondi mwenyewe anajua kuwa wese likipanda tu bei hamalizi wiki ikulu😂
 
Haya Mambo ya madegevita kuanguka huwa Ni Jambo la kawaida sema Nini.. wamagharibi na mashabiki wao wa huku mwadui Geita huamini TU kwamba ndege za Kirusi zikidondoka Ni kwasababu ya poor maintenance na poor technologies. Na itakua Ni stori kubwa hats humu. Na wengine Hadi uzi wataanzisha..
But kiukweli nchi zenye madege Vita mengi Kama Russia na Us ndege zao kudondokewa huwa Ni Jambo la kawaida TU..isipokuwa TU ndegevita Kama F 35 tokA uingiaji wake rasmi katika service 2015 imekuwa na project hii ililalamikiwa Kwamba Ni isiyofaa na yenye mrengo was kibiashara zaidi



Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa Kwamba TU 95 na TU 160 zipo humo kwa idadi 31. But wao wamagharibi ndo wamekuwa wakijiuliza na kujibu wenyewe. Eti mbona zimejazana nyingi hivyo. Mwingine anajibu hazina shida Ni ongezeko la kawaida. Military Watch wanaamini Ni ongezeko la kawaida but kwa Ukraine Ni kitisho coz Jumatatu hi pengine hawatakunywa kahawa vyema but wataamka na makombora

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hapa ramani ya UFINI ilibakia kama ilivyokua kabla ya vita ama ilibadilika

Matokeo yeyote ya vita yanaangaliwa huko beto field baada ya hio vita UFINI walitii matakwa ya RUSSIA na ardhi yao ikamegwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweleze vizuri mkuu Kwamba asilimia 11 ya ufini ilienda na itabaki kuwa eneo la Russian Federation kwa dahari na dahari

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mig 21 toleo la mwanzo 1956 miaka kadhaa TU baada ya ww2 ..imeacha kuzalishwa mwaka 1980s.
F 35 toleo la mwanzo 2015 .
Currently On production.
Zilizopoteza uhai zaidi ya 35

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

Hivi kwani Mrusi hawezi kuziwekea nchi nyingine vikwazo??

Na kama hawezi, Je tafsiri yake nini??
 
Kuna mtu anaachia jimbo jingine.
Mwisho atabaki Crimea pekee
 
Hakuna ndege ya 5th gen bora zaidi ya f35!?? In which angle!? Kupata order nyingi za kifaa haimaanishi kifaa hiko ni bora. Au haimaanishi kifaa hiko ni bora zaidi kuliko vyote vilivyowahi kutengenezwa. Nikuulize kwa nini US anauza F35 lkn hauzi F22 Raptors!?

F35 mx speed ni 1199 mph while su 57 mx speed is 1616 mph . Range su57 is 3107 miles range compared to f35's 1379 miles range. More than double. Su has powerful engine, greater payload, real multirole and crazier manoeuvrability.

The only place f35 imempiku su ni kwenye electronic. More than 8.6 milion lines of software code. Ina Massive computing, sensor data fusion, processing and linking capabilities. Plus F 35 is pure stealth.

Alaf pia reviews nyingi za mitandaoni ziko biased. Huwezi kukuta pure objective review. Kila mtu anavutia kwake. Na ubora wa ndegevita huchagizwa sana na ubora wa mapailot.

Urusi amewekeza sana kwenye makombora na ADs. Kama una makombora yenye accuracy na ubora wa kutosha huhitaji matumizi makubwa sana ya mandege. Mandege mengi yanahitaji uwe na miaircraft carriers, military base, mapilot, nk. Zote hizo ni gharama.
 
The Russian military destroyed the major of the Ukrainian State Bureau of Investigation (SBI)

Artem Prisyazhnyuk was destroyed in the Donbas during an artillery and air strike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…