kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Mbona libya huru ilivamiwa? Tulieni tu.wewe unashabikia UKRAINE ivamiwe, ? nchi iliyo huru na ivamiwe tu?
au tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republicChochote kinachotokea hapa duniani huwa kina chanzo. Ukiangalia chanzo cha mgogoro uliopo kati ya Urusi na Ukrane, ni mmojawapo kuwa tayari kujiunga na NATO, ambapo kwa hali ya usalama kwa Urusi, ungekuwa ni mdogo.
Ni sawa na ujenge nyumba kubwa nzuri , uoe mwanamke mrembo aliyemaliza chuo mwaka jana na ukaishi naye; baada ya mwezi mmoja , ukasikia jirani yako mnaeshea naye ukuta, anataka apangishe nyumba yake kwa mpenzi wa zamani wa mkeo aliyesoma naye chuo.
Hapo lazima, uwe mkali kwa sababu itakuwa ni hatari kwa ndoa yako. Hicho ndio chanzo cha mgogoro unaoendelea kwa sasa.
Na ya dhahabu piaBei ya mafuta ishaanza kupanda
Dhahab kwa mtanzania wa hadhi kama yangu hainiumiz kichwa wala.Ipande tuuNa ya dhahabu pia
Nilitoa ushauri wa bure Jana. Leo hizo kampuni nilizozitaja Jana, leo kwenye soka la hisa London baadhi zimepanda kwa asilimia zaidi ya 40. Hii ni leo tu, Jana pia kabla ya soko kufungwa zilikuwa zimepanda kwa asilimia kadhaa.Kwa mtu yoyote akinunua shares za hayo makampuni kama investment ya muda mrefu. Nina uhakika uta gain 50% -100%.
Soma tena hii ipo baada ya miezi michache utanielewa nilichosema vizuri!
Kwani Lini Huo mkoa wa Zanzibar umejiondoa kuwa sehemu ya mikoa ya Tanganyika?au tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republic
Huu mfano ni mzuri sana kwa mbongo ambae haelewi elewi mzozo wa Russia na Ukraineau tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republic
We muongo, ni nchi gani Russia ameiteka na kuifanya yake? Sema ni nchi gani? Pale Ukraine kapeleka jeshi kulinda masilahi ya waliojitenga na nchi ya Ukraine. Kumbuka wale waliojitenga wana asili na historia ya urusi. Tatizo mashabiki wa USA minyoo ya safura inawatesa... ,"mdogo mdogo tutaelewana ngoja tuoneshane makali" dr shikamdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?
URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?
tatizo la Tz utapiamlo wa akili.
ha ha ha ha, weusi tumebaki kuwa wachambuzi tu, huku ya kwetu yakiwa ni pasua kichwa.Tusipangie watu namna ya kuishi
Vita sio ya waeusi ni ya putin
Wenzetu wanalinda maslai yaoHuyo Mmarekani leo akisikia tu Tanzania tumetembelewa na Mchina, lazima atume mafatishi wake wapeleleze kulikoni hasa! Imagine Mrusi akaweke kambi yake Canada ama Meksiko!
Tangu lini vikwazo vikawa vita kuu ya Dunia?Rais Vladmir Putin ameufungua mlango wa vita ambayo itakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi katika siku za usoni. Vita hii hatapigana na Ukraine peke yake bali itaingiliwa na kila anaefungamana na serikali ya ukraine.
Vikwazo vya kiuchumi vinavyoendelea kuwekwa dhidi ya serikali ya Putin vitakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi na huu ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia na itasambaa ulaya yote ya mashariki mpaka mashariki ya kati.
sasa hivi zanzibar ni nchi huru inaweza kujiamulia inachotaka si denokrasia!? unakumbuka mzozo wa OIC!?!Kwani Lini Huo mkoa wa Zanzibar umejiondoa kuwa sehemu ya mikoa ya Tanganyika?
ni kheri Urusi iyumbe kwa uchumi kuliko aache Ukraine iwe kambi ya jeshi ya marekaniRais Vladmir Putin ameufungua mlango wa vita ambayo itakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi katika siku za usoni. Vita hii hatapigana na Ukraine peke yake bali itaingiliwa na kila anaefungamana na serikali ya ukraine.
Vikwazo vya kiuchumi vinavyoendelea kuwekwa dhidi ya serikali ya Putin vitakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi na huu ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia na itasambaa ulaya yote ya mashariki mpaka mashariki ya kati.
Sa100: Tunachanja , hatuchanji??US:, Russia inakwenda vamia Ukraine.
Zero brains:, uwongo, propaganda za US tu Urusi haina mpango wa kuivamia Ukraine.
Leo Ukraine inawaka moto.
Zero BRAINS:, chanzo ni US kasababisha Ukraine kuvamiwa.
πππ