LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Chochote kinachotokea hapa duniani huwa kina chanzo. Ukiangalia chanzo cha mgogoro uliopo kati ya Urusi na Ukrane, ni mmojawapo kuwa tayari kujiunga na NATO, ambapo kwa hali ya usalama kwa Urusi, ungekuwa ni mdogo.

Ni sawa na ujenge nyumba kubwa nzuri , uoe mwanamke mrembo aliyemaliza chuo mwaka jana na ukaishi naye; baada ya mwezi mmoja , ukasikia jirani yako mnaeshea naye ukuta, anataka apangishe nyumba yake kwa mpenzi wa zamani wa mkeo aliyesoma naye chuo.

Hapo lazima, uwe mkali kwa sababu itakuwa ni hatari kwa ndoa yako. Hicho ndio chanzo cha mgogoro unaoendelea kwa sasa.
au tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republic
 
Kwa mtu yoyote akinunua shares za hayo makampuni kama investment ya muda mrefu. Nina uhakika uta gain 50% -100%.
Soma tena hii ipo baada ya miezi michache utanielewa nilichosema vizuri!
Nilitoa ushauri wa bure Jana. Leo hizo kampuni nilizozitaja Jana, leo kwenye soka la hisa London baadhi zimepanda kwa asilimia zaidi ya 40. Hii ni leo tu, Jana pia kabla ya soko kufungwa zilikuwa zimepanda kwa asilimia kadhaa.

My strategies: Huza asubuhi nunua baadae leo au siku chache zijazo!
8A9D309C-EA00-4CAE-8D17-888243C2594C.jpeg
 
au tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republic
Kwani Lini Huo mkoa wa Zanzibar umejiondoa kuwa sehemu ya mikoa ya Tanganyika?
 
mdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?

URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?

tatizo la Tz utapiamlo wa akili.
We muongo, ni nchi gani Russia ameiteka na kuifanya yake? Sema ni nchi gani? Pale Ukraine kapeleka jeshi kulinda masilahi ya waliojitenga na nchi ya Ukraine. Kumbuka wale waliojitenga wana asili na historia ya urusi. Tatizo mashabiki wa USA minyoo ya safura inawatesa... ,"mdogo mdogo tutaelewana ngoja tuoneshane makali" dr shika
 
Rais Vladmir Putin ameufungua mlango wa vita ambayo itakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi katika siku za usoni. Vita hii hatapigana na Ukraine peke yake bali itaingiliwa na kila anaefungamana na serikali ya ukraine.

Vikwazo vya kiuchumi vinavyoendelea kuwekwa dhidi ya serikali ya Putin vitakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi na huu ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia na itasambaa ulaya yote ya mashariki mpaka mashariki ya kati.
Tangu lini vikwazo vikawa vita kuu ya Dunia?
 
ni kheri Urusi iyumbe kwa uchumi kuliko aache Ukraine iwe kambi ya jeshi ya marekani
 
Breaking news:

Several explosions are heard in the Ukrainian capital Kyiv

There are reports of Russian troops advancing on Kyiv

Ukrainian officials say Russia has carried out missile attacks on the city

At least one apartment building in the capital badly damaged - reports say three people injured

Ukrainian President Zelensky addressed the nation and has appealed to Russia for a ceasefire

He says 137 Ukrainian citizens - both soldiers and civilians - died on Thursday

Zelensky spoke to UK PM Boris Johnson and pleaded with other Western allies to do more to stop Russia's assault

Russians seize control of the Chernobyl complex - site of the world's worst nuclear disaster

New sanctions on Russia, including asset freezes on banks, are imposed from Brussels to Canberra

President Vladimir Putin defends the invasion, saying there was no other way to defend Russia

BBC
 
US:, Russia inakwenda vamia Ukraine.

Zero brains:, uwongo, propaganda za US tu Urusi haina mpango wa kuivamia Ukraine.

Leo Ukraine inawaka moto.

Zero BRAINS:, chanzo ni US kasababisha Ukraine kuvamiwa.

😂😂😂
Sa100: Tunachanja , hatuchanji??
Wanachi: -walichojibu wanajua wenyewe
😂😂😂
 
Back
Top Bottom