Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Comment na like zenu ziwe fupi fupi[emoji120][emoji120]
Screenshot_20221202-213241_Chrome.jpg
 
Ukraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============

Cheap propaganda
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Comment na like zenu fupi fupi [emoji120]

Usituchafulie uzi. Kaanzishe nyuzi zako hukooo!
====
Hapa ni habari za front line huko Ukraine. Na namna demilitarization and denazification operation inavyoendelea kufanikiwa katika nyanja zote.

Mnajibiwa kulingana na mnavyokuja, popote kambi.
Sio lazima kila mtu awe na mtizamo wenu, nyie mliamini kwenye demilitarization ya wanajeshi wa Ukraine, kibao kikageuzwa leo Urusi ndio wanapigwa za uso na kuwa demilitarized.
 
Urusi kaenda kuchinja, matokeo yake kajikuta anachinjwa mwenyewe [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom