Kaanzishe thread tatu za utetezi .Sisi tunatazama Ukraine ikiadhibiwa vikaliTatizo umekurupuka, itazame video kwanza ustadh....au kingereza changamoto.
Ukraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============
Cheap propagandaUkraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============
Cheap propaganda
Why waarabu?!?Wewe leta za waarabu zisizo cheap.
Sio bure wewe utakuwa uliwahi kudhulumiwa kingono na waarabu maana unawachukia sana. Nenda kwenye dawati la jinsia watakusaidiaWewe leta za waarabu zisizo cheap.
Why waarabu?!?
Naunga Mkono HojaKaanzishe thread tatu za utetezi .Sisi tunatazama Ukraine ikiadhibiwa vikali
Sio bure wewe utakuwa uliwahi kudhulumiwa kingono na waarabu maana unawachukia sana. Nenda kwenye dawati la jinsia watakusaidia
Usituchafulie uzi. Kaanzishe nyuzi zako hukooo!Waliwaharibu sana hapo Pwani.....
NyuuzSource:bibisii
Usituchafulie uzi. Kaanzishe nyuzi zako hukooo!
====
Hapa ni habari za front line huko Ukraine. Na namna demilitarization and denazification operation inavyoendelea kufanikiwa katika nyanja zote.
Ndugu, inawezekana una matatizo kichwani mwako...siyo bure...Si ndio mnawaamini tangu enzi zileee!!!
Duh.....yaani ni wewe tu unayeona hivyo?!Mnajibiwa kulingana na mnavyokuja, popote kambi.
Sio lazima kila mtu awe na mtizamo wenu, nyie mliamini kwenye demilitarization ya wanajeshi wa Ukraine, kibao kikageuzwa leo Urusi ndio wanapigwa za uso na kuwa demilitarized.
Duh.....yaani ni wewe tu unayeona hivyo?!
Ndugu, inawezekana una matatizo kichwani mwako...siyo bure...
Urusi kaenda kuchinja, matokeo yake kajikuta anachinjwa mwenyewe [emoji848]Mnajibiwa kulingana na mnavyokuja, popote kambi.
Sio lazima kila mtu awe na mtizamo wenu, nyie mliamini kwenye demilitarization ya wanajeshi wa Ukraine, kibao kikageuzwa leo Urusi ndio wanapigwa za uso na kuwa demilitarized.