Concept ya ndege ya India ilikua itoke kwa Su-57 ambapo wahindi walikua wanataka mabadiliko kidogo mfano wao walitaka ndege iwe two seater (Pilot & Co-pilot) na baadhi ya sensor ziwekwe za kwao. Lakini baada ya Urusi kutengeneza prototype ya Su-57 na kuwapelekea India wajiridhishe ili watoe fedha kuendelea na project ya pamoja ya Sukhoi/HAL FGTA wahindi walikataa wakasema uwezo hiyo ndege haijawaridhisha,wakaamua kujitoa kabisa Kwenye hiyo project na sasa Wana project Yao wenyewe ya kutengeneza fifth Generation fighter jet inaitwa HAL/AMCA.Ndege ya india na Urusi ipo picha tu ya design ila su 57 ishatengenezwa na inatumika
Wahusika wamesema hawajaridhishwa na ubora wa bidhaa halafu wewe unabisha!!!! Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kujitoa kwenye project kuna sababishwa na ubora tu waproject husika ama!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji627][emoji635][emoji298]️Japanese authorities fear Russian retaliation after G7 countries and Australia agreed to impose a ceiling on Russian oil prices at $60 per barrel - Kyodo news agency
Hv kwa anaejua kabla ya hao G7 kupitisha hili wazo lao pipa moja la wese lilikua lauzwa kiasi gani na UCHINA na INDIA walipata punguza yakuuziwa kiasi gani
Ila kama mpaka wenyewe wanaanza kulia lia nanna hii hakuna litakalokua hapa
Kwawanaojua
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma sababu lakini?![emoji1263][emoji724][emoji921]Venezuela’s largest oil refinery has suspended operations
Togel Sidney Keluaran SDY Pengeluaran Sidney Pools Hari Ini Data SDY Prize
Dapatkan hasil keluaran sdy dan pengeluaran sidney yang resmi di sidney pools dan terdapat pada data sdy prize terlengkap hari ini.azgeopolitics.com
Axel Lloyd unaona habari njema kwa RUSSIA tokea huko VENEZUELA[emoji16]
juzi hapa mlisema US anaenda kuchimba wese huku kufidia gape la RUSSIA
Hii SVO kina PUT IN hawakukurupuka walijipanga sanaaa
Mmeeka bei elekezi na huku wese munakosa mtarudi tena RUSSIA kumpa faida mara dufu [emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
India alijitoa kwenye project ya Su57 au India version ya Su57!? Project ni mbili tofauti zilizokuwa parallel.Kama Su-57 ingekua Bora India asingejitoa kwenye hiyo Project.
India ilisema wazi hairidhishwi na uwezo wa hiyo ndege ukilinganisha na ndege nyingine za kizazi cha tano
Delays were caused by New Delhi and Moscow disagreeing over many fundamental aspects of the joint development project including work and cost share, aircraft technology, as well as the number of aircraft to be ordered. After evaluating the first PAK FA T-50 [Su-57] prototype (the Russian prototype of the PMF), the [ IAF] wanted more than 40 changes addressing, among other things, perceived weaknesses in the plane’s engine, stealth, and weapon-carrying capabilities.
India Pulls out of Joint Stealth Fighter Project With Russia
Hawa ni wahindi wenyewe wala sio Mimi Mjukuu wa Bitozo hapa Tandale kwa mfuga mbwa
According to Indian air force officials, the Su-57 was too expensive, poorly engineered and powered by old and unreliable engines. The Indians' complaints illustrated the yawning gulf between stealth-warplane design and the actual production of radar-evading jets.
Why India Rejected Russia's Advanced Su-57 Fighter Jet
India alijitoa kwenye project ya Su57 au India version ya Su57!? Project ni mbili tofauti zilizokuwa parallel.
The Sukhoi/HAL Fifth Generation Fighter Aircraft (FGFA) was a fifth-generation fighter concept, based on the Russian Sukhoi Su-57, that was being developed jointly by Sukhoi and HAL for the Indian Air Force.
Yaani India walitoa fedha kwa urusi watengenezewe version yao ya Su57. Na ukiacha Hiyo FGFA kuna Su57E ambayo ni export version na Su57M hizo zote ni variants za Su57. Sisi hapa tunaongelea Su57 ya Urusi na sio hiyo Indian version ambayo wahindi waliikataa tena mainly kwa sababu za kisiasa.
Project nzima ilikuwa ni 6bn usd India walitoa 300m upfront tu alaf wakataka wapewe research nzima plus ndege itengenezewe india. Warusi wakasema technology/research + plane prototype + production kufanyika india itawacost 5bn usd not less wahindi wakasema hiyo pesa wanaweza kutengeneza 5th gen yao wenyewe independently from scratch Sukhoi wakawaambia go ahead then.
F35 vs Su57 (russian)
Kila mtu lazima avutie kwake. Hakuna namna unaweza kurule out moja kw moja whichone is the best. Ila mm nachoona kila moja na madhaifu yake. F35 wamezingatia sana kwenye stealth na electronics. Kufanya mambo yake bila kuonekana wakati Su zaidi ni speed, range, payload na maneuverability. Bila kusahau cost ya F35 ni mara 4 au zaidi ya Su57.
Bro check your facts. Kuna mahali hapo naona unadai India wanataka kununu drone 30 kwa bn 30 usd. DahWahindi kwenye masuala ya Ulinzi hawanaga siasa blue ni blue na black ni black.
"was a fifth-generation fighter concept,based on the Russian Sukhoi Su-57".
Wahindi walipelekewa prototype ya Su-57 (T-50) ambapo kutokana na hiyo Su-57 ndipo ingezaliwa ndege Yao hapo. Wahindi waliikataa walisema ni poor designed,inatumia engine za zamani pia ni Bei ghali wakajitoa. Baada ya India kujitoa hatujaona hata mass production ya Su-57 ikifanyika tena wameishia kutengeneza sijui kumi Tu.
Hapo Mwisho nakubaliana na wewe 99%. Ila kwenye cost,cost ya F-35 inashuka kila Leo baada ya kuongezeka kwa uzalishaji ambao unatokana na kuongezeka kwa wateja. Cost ya F-35 Kwa sasa ni $78 million - $80 million (kutoka $100 million-$200 million) ambayo ni chini hata kupita baadhi ya 4th generation fighter kama Rafale ($100 -$120 million), Eurofigher ($120 million), Su-35 ($80-$100 million)
Cost ya Su-57 kuna source zinasema ni zaidi ya $100 baadhi zinasema ni $50 million,naweza kuamini $100 million sababu Su-35 Bei yake ni around $85 million and there's no way Bei ya 4th generation izidi Ile ya fifth gen tena ndege ikiwa haina mass production line ya maana.
Typing error...ni $3 billion.Bro check your facts. Kuna mahali hapo naona unadai India wanataka kununu drone 30 kwa bn 30 usd. Dah
"...(India) inataka kununua drone 30 kwa $30 BN,bado wananegotiate Bei maana wahindi wanasema Bei kubwa wapunguziwe pia technology transfer. Wakishindwana wahindi wamesema watanunua kwa Israel."
Ina maana drone moja kwa bn 1 dollar. Hii imekaaje!?
Pak FA T50/Su57 prototype iliruka mara ya kwanza 2010. Su57 imekuwa introduced kwenye jeshi la urusi 2020. Mkataba baina ya india na Urusi yaani Sukhoi/HAL FGFA uliingiwa mwaka 2007. Numbers dont add up bro. Alaf India walijitoa kwenye huo mchakato 2018 kbl hata prototype ya kwanza ya FGFA haijatengenezwa. Sisi tunayoizungumzia na kuishindanisha na F35 ni Su57 iliyokabidhiwa kwenye jeshi la urusi dec 2020 na sio TU50/Su57 'prototype' iliyokataliwa na wahindi. (Kuna ndege yenyewe imeanza kutumika 2020 na kuna prototype imeruka mara ya kwanza 2010)
Pia, Kilichowaondoa India sio uwezo wa ndege bali ni kunyimwa source code/teknolojia ingeyotumika kuitengeneza na pia kutofautiana kwa orders, India walikuwa wanataka ndege nyingi zaidi ya Urusi ingezoweza kudeliver.
"A senior Indian Air Force (IAF) official recently revealed that since the work-sharing agreement currently under negotiation includes the transfer of sensitive Russian defense technology, Moscow is demanding $7 billion from India as part of its share in the development of the fighter jet."
Kujiondoa kwa India sio sababu ya kutokuwepo SU57 za kutosha kwenye jeshi la urusi.
Sasa kama India ilijitoa kabla ya prototype ya mwanzo haijatengenezwa zile feedback za wahindi kwamba Su-57 ni poor designed zilitoka wapi?!Bro check your facts. Kuna mahali hapo naona unadai India wanataka kununu drone 30 kwa bn 30 usd. Dah
"...(India) inataka kununua drone 30 kwa $30 BN,bado wananegotiate Bei maana wahindi wanasema Bei kubwa wapunguziwe pia technology transfer. Wakishindwana wahindi wamesema watanunua kwa Israel."
Ina maana drone moja kwa bn 1 dollar. Hii imekaaje!?
Pak FA T50/Su57 prototype iliruka mara ya kwanza 2010. Su57 imekuwa introduced kwenye jeshi la urusi 2020. Mkataba baina ya india na Urusi yaani Sukhoi/HAL FGFA uliingiwa mwaka 2007. Numbers dont add up bro. Alaf India walijitoa kwenye huo mchakato 2018 kbl hata prototype ya kwanza ya FGFA haijatengenezwa. Sisi tunayoizungumzia na kuishindanisha na F35 ni Su57 iliyokabidhiwa kwenye jeshi la urusi dec 2020 na sio TU50/Su57 'prototype' iliyokataliwa na wahindi. (Kuna ndege yenyewe imeanza kutumika 2020 na kuna prototype imeruka mara ya kwanza 2010)
Pia, Kilichowaondoa India sio uwezo wa ndege bali ni kunyimwa source code/teknolojia ingeyotumika kuitengeneza na pia kutofautiana kwa orders, India walikuwa wanataka ndege nyingi zaidi ya Urusi ingezoweza kudeliver.
"A senior Indian Air Force (IAF) official recently revealed that since the work-sharing agreement currently under negotiation includes the transfer of sensitive Russian defense technology, Moscow is demanding $7 billion from India as part of its share in the development of the fighter jet."
Kujiondoa kwa India sio sababu ya kutokuwepo SU57 za kutosha kwenye jeshi la urusi.
Duh.... Hii ni shida sasa... Inaoneshwa hadi TBC1?Ubongo kids na upinde
Usichanganye mambo. Kuna prototype ya Su57 na kuna prototype ya FGFA (ambayo haikutoka). Simple meaning ni kwamba Pototype ya FGFA ilitakiwa itoke kwenye prototype ya Su57. Sasa walipopewa prototype ya Su57 ambayo ilitoka 2010 walidai iko poorly designed na wakakubaliana ifanyiwe marekebisho zaidi ya 40. Hizo improvements zingefanyika ndio sasa ingetengenezwa prototype ya FGFA na kutoka kwenye hiyo prototype ndio zingetenezwa FGFAs. Mkataba ukafa kbl hawajafikia huko.Sasa kama India ilijitoa kabla ya prototype ya mwanzo haijatengenezwa zile feedback za wahindi kwamba Su-57 ni poor designed zilitoka wapi?!
Ndio maana nikakwambia wahindi walikataa kuendelea na hiyo project baada ya kuona T-50 ambayo ni prototype ya Su-57. Walidai haijawaridhisha.
Sasa ulikua unanibishia nini maana ulichoelezea ndicho nilisema awali.Usichanganye mambo. Kuna prototype ya Su57 na kuna prototype ya FGFA (ambayo haikutoka). Simple meaning ni kwamba Pototype ya FGFA ilitakiwa itoke kwenye prototype ya Su57. Sasa walipopewa prototype ya Su57 ambayo ilitoka 2010 walidai iko poorly designed na wakakubaliana ifanyiwe marekebisho zaidi ya 40. Hizo improvements zingefanyika ndio sasa ingetengenezwa prototype ya FGFA na kutoka kwenye hiyo prototype ndio zingetenezwa FGFAs. Mkataba ukafa kbl hawajafikia huko.
Upande wa warusi wao waliendelea na production ya Su57 yao kutoka kwenye ile prototype ya Su57 au Tu50. Ndio maana nikakwambia zilikuwa ni project mbili (parallel). Baada ya maboresho na marekebisho ya kutosha kwenye hiyo prototype (Su57/tu50) Mwaka 2020 wakakabidhi Su57 ya kwanza kwa jeshi la Urusi.
Labda nikupe summary.
2002 - Sukhoi wanapata tenda ya kutengeneza 5th gen ya urusi wakiwapiku mig. Wakaanza kazi ya kutengeneza Su57 (1st project)
2007 - mwaka 2007 Urusi wanaingia mkataba na India ili waitengenezee india 5th gen fighter. Kazi hii ilitakiwa ifanyike kwa ushirikiano wa Sukhoi na HAL, ndege ilokuwa waitengeneze ilikuwa kwa jina Sukhoi Hal - FGFA au simply FGFA (2nd project).
2010 - Sukhoi kutoka kwenye 1st project wanafanikiwa kuirusha T50 au kwa jina lingine Su57 kwa mara ya kwanza na hii ilikuwa ni prototype. Hii ndege wakapewa waindi nao waitest ndio wakacomplain inamapungufu mengi. Wakakubaliana wafanye marekebisho zaidi ya 40 ndio itengenezwe FGFA.
2018 - mkataba wa urusi na india ukafa (2nd project) na FGFA haikufanikiwa hata kutengenezwa prototype. Kumbuka FGFA ya kwanza ingetokana na marekebisho zaidi ya 40 kwenye prototype ya Su57/Tu50 ambayo ni prototype ya project ya kwanza.
2020 - Sukhoi wanakabidhi Su57 za kwanza kwenye jeshi la urusi na kuahidiwa kufikia 2028 watapewa ndege nyingine 70. Hii ni project ya kwanza sasa imekamilika baada ya kufanyia maboresho na marekebisho kwenye prototype yake. Hii ndio tunaishindanisha na f35
HapanaSasa ulikua unanibishia nini maana ulichoelezea ndicho nilisema awali.
"Kuna prototype ya Su57 na kuna prototype ya FGFA (ambayo haikutoka). Simple meaning ni kwamba Pototype ya FGFA ilitakiwa itoke kwenye prototype ya Su57. Sasa walipopewa prototype ya Su57 ambayo ilitoka 2010 walidai iko poorly designed na wakakubaliana ifanyiwe marekebisho zaidi ya 40. Hizo improvements zingefanyika ndio sasa ingetengenezwa prototype ya FGFA na kutoka kwenye hiyo prototype ndio zingetenezwa FGFAs. Mkataba ukafa kbl hawajafikia huko".
"2010 - Sukhoi kutoka kwenye 1st project wanafanikiwa kuirusha T50 au kwa jina lingine Su57 kwa mara ya kwanza na hii ilikuwa ni prototype. Hii ndege wakapewa waindi nao waitest ndio wakacomplain inamapungufu mengi. Wakakubaliana wafanye marekebisho zaidi ya 40 ndio itengenezwe FGFA".