Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana

Wewe umesema waindi walijitoa kwenye mkataba wa su57 kwa sababu walidai zina mapungufu mengi.

1. Waindi hawakujitoa kwa sababu ya mapungufu ya Su57. Maana walikubaliana mapungufu yafanyiwe marekebisho. Zipo sababu nyingine ndio ziliwafanya wajitoe. Prototype imetoka 2010 wao wamejitoa 2018.

2. Mapungufu waliyoyasema waindi hayakuwa mapungufu ya su57 bali mapungufu kwenye prototype ya su57. Ni vitu viwili tofauti. Na actually huwezi kusema ni mapungufu wao walitaka mambo namna yao.

Hoja yetu ilikuwa su57 iliyokabidhiwa 2020 na sio prtotype ya Su57 vs f35

Walijitoa sababu silaha nyingi si ndege hata silaha nyingine hazitofautiani Sana Kati ya prototype na silaha kamili ambayo itakuja kuzalishwa,ukiangalia hata design ya T-50 prototype na Su-57 ni ileile.

Masuala ya electronics na stealth profile/design wanajua wahindi wenyewe waliopewa wafanye majaribio.

Hata serikali hukataa prototype Kwanza kabla haijaenda kwenye uzalishaji kamili,Tukichukua mfano wa Marekani kampuni zinatengeneza prototype Kwanza zinawapa jeshi wafanye testing zao,zikifaulu test zote project inaendelea ikifeli wanaachana nayo au wanachukua prototype ya kampuni pinzani kuzalisha product kamili. F-35 hii tunayoiona Leo ilichaguliwa prototype ya Lockheed kwenda kuzalishwa ndo wakapata hii F-35 lightning ii badala Ile ya Boeing.

Swali; Kama hii Su-57 ni stealth kama wanavyodai kwanini hawaipeleki ndani ya anga la Ukraine ikafanye deep strike?!
 
Russia hatuna shida na Ukraine.
Screenshot_20221203-192135.jpg
 
Karne ya 21 taifa linalojiita super pawer linawamwagia maji ya baraka mobilized soldiers..,bado Wana mawazo ya kinjekile ngwale[emoji848][emoji848]🥱..,halafu Kuna mazombi yanamwamini
1670087137779.jpg
1670087125040.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer anamobilize Mpaka bibi vizee na kuwapeleka front line.., wanajeshi wote wenye uzoefu wamelambishwa mchanga [emoji848][emoji848]..,Sasa Hawa bibi vizee watawezaje kumudu mikikimikiki ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji848]🥱
1670087453542.jpg
1670087449083.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo huelewi unarukaruka kama maharage. Hata kwenye hiyo paragraph ya Wikipedia wamekuandikia "concept based on Russian Su-57".

Kabla wahindi kuanza kufund hiyo project Urusi iliwapelekea prototype ya Su-57,wakati ule T50 ili wahindi waifanye evaluation ndo pesa itoke. Wahindi kuichunguza prototype wakasema ni poor designed,ina engine mbaya na hata stealth profile yake hairidhishi ndipo wakaamua kujitoa. Sasa ww hapo unachobisha ni kipi?! Wakati wataalam wa India wenyewe ndio waliotoa hizo feedback.

Unadhani watu hua wanatoa ela Tu kununua au kufund project fulani lazima assesment ifanyike wakiona project haina maslahi wanajitoa,mbona India haikujitoa kwenye project ya pamoja (na Russia) ya kutengeneza Brahmos missiles?!. Si sababu ilikidhi mahitaji Yao.

Kwanini haikujitoa kwenye project ya pamoja na Israel kutengeneza Barak air defense systems based on Israel's Barak system.

Hata Australi ilijitoa kwenye deal la kununua diesel submarine toka Ufaransa wakakimbilia Nuclear submarine ambazo itazipata toka kwa Marekani & Uingereza chini ya AUKUS.
We kweli chizi.napoteza muda wangu
 
Karne ya 21 taifa linalojiita super pawer linawamwagia maji ya baraka mobilized soldiers..,bado Wana mawazo ya kinjekile ngwale[emoji848][emoji848]🥱..,halafu Kuna mazombi yanamwaminiView attachment 2434749View attachment 2434750

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kauli yako ni dhihaka, kejeli na dharau kubwa kwa wakristo wote wakiwemo wakatoliki na pia Russian orhodox wanaoamini nguvu kubwa ya maji ya baraka...umeingilia imani ya mamilioni ya wakristo kote duniani...
Sisi wengine kazi yetu ni kukuonya tu..yatakayokupata kwa dhihaka hiyo kwa dini za watu hakuna anayejua...
 
We kweli chizi.napoteza muda wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chizi was just chilling then boom [emoji95][emoji1787][emoji1787]

Tatizo unapanik sanaaaa....huu mchezo hauhitaji hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli yako ni dhihaka, kejeli na dharau kubwa kwa wakristo wote wakiwemo wakatoliki na pia Russian orhodox wanaoamini nguvu kubwa ya maji ya baraka...umeingilia imani ya mamilioni ya wakristo kote duniani...
Sisi wengine kazi yetu ni kukuonya tu..yatakayokupata kwa dhihaka hiyo kwa dini za watu hakuna anayejua...
Wewe unaaamini maji ya baraka yanaweza kubadili matokeo kwenye uwanja wa vita?
Hizi ni dalili za kutapatapa na kuishiwa mbinu
Mbona mwezi February wale askari wazoefu hawakufanyiwa haya?
Hawa wanapewa morali tu Ili wapelekwe vizuri machinjioni,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaaamini maji ya baraka yanaweza kubadili matokeo kwenye uwanja wa vita?
Hizi ni dalili za kutapatapa na kuishiwa mbinu
Mbona mwezi February wale askari wazoefu hawakufanyiwa haya?
Hawa wanapewa morali tu Ili wapelekwe vizuri machinjioni,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Me binafsi ni mkristo na siamini huo upupu.

Wakati anavamia Ile February mbona hawakumwagiwa hiyo mimaji[emoji23][emoji23][emoji23]
 
RIP

Lieutenant Омаров Рамазан Сейфетдинович (Omarov Ramazan Seyfetdinovich) from Dagestan was killed in Ukraine on 30 November. Served in Kaliningrad in the 7th Separate Guards Motor Rifle Regiment.
vk.com/wall301245494_…

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Comment na like zenu fupi fupi [emoji120]

Vita mbaya kuja kurudi kwa hali ya KAWAIDA itachukua mda sana
 
Hii Airforce ya Supapawa ni ya mchongo[emoji23][emoji23]

[emoji298]️Border guards shot down a Russian fighter SU-34 in the vicinity of Bakhmut.

This was reported in the State Border Service of Ukraine.

The cost of the destroyed aircraft is estimated at $50 million.
@Flash_news_ua
 
Kwan kuna mtu alisema Su-34 ni stealth?
 
Back
Top Bottom