Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maisha ya viumbe hai hapa dunia yamejaa maajabu.
Wengine wanawaza kupata chakula,
Wengine wanawaza kumiliki gari, nyumba, mwanamke mrembo.


Emmanuel macron yeye muda wote anaiwazia simu ya vladimir putin.
Na wahuni wanasema vladimiri hajapanga kabisa ratiba ya kuzungumza na emmanuel macron.

Huenda lile tukio la kusikilizwa mawasiliano yao ya simu na third party limemkera vladimir putin.
 
[emoji1263][emoji724][emoji921]Venezuela’s largest oil refinery has suspended operations


Axel Lloyd unaona habari njema kwa RUSSIA tokea huko VENEZUELA[emoji16]

juzi hapa mlisema US anaenda kuchimba wese huku kufidia gape la RUSSIA

Hii SVO kina PUT IN hawakukurupuka walijipanga sanaaa

Mmeeka bei elekezi na huku wese munakosa mtarudi tena RUSSIA kumpa faida mara dufu [emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
OPEC+ nao wamesema watakaa kikao soon khs uwezekano wa kupunguza mafuta yanayozalishwa.

Wanajua kinachowapata Russia khs Price ceiling kuna siku nao kitawapata, lazima wamlinde mwenzao.
 
Hii Airforce ya Supapawa ni ya mchongo[emoji23][emoji23]

[emoji298]️Border guards shot down a Russian fighter SU-34 in the vicinity of Bakhmut.

This was reported in the State Border Service of Ukraine.

The cost of the destroyed aircraft is estimated at $50 million.
@Flash_news_ua
Mkuu ulisema bakhmut ikitekwa tukuite mbwa umekaa pale.
Siku za ww kuitwa mbwa umekaa pale zinakaribia.
Screenshot_20221203-184413.jpg
 
Kwani razima uzijue ww au uzitumie ndo ujue kuwa zipo?

Ww hauzitumii lakini kuna mabilion ya watu duniani wanazitumia na nimesha kutajia nchi ambazo zina tumika sana.

Hata hizo FB, Instagram,sijui Tweet kuna mabilion ya watu duniani hawazitumii na wengine hawazijui kabisa lakini haimaanishi kuwa hazipo.

Mfano fb, Instagram,na tweet, inatumiwa na watu billion 2tu wakati duniani kuna watu zaidi ya bilion 8 ina maana kuwa billion 6 hawatumii wengine wenda wanaijua lakini hawataki kuitumia ila wengine hawaijui kabisa.

Kwa hiyo ww suala la kutojua au kutotumia bidhaa kutoka nchi fulani haimaanishi kuwa nchi hiyo haitengenezi hiyo bidhaa.

Mfano ww nikikuambia unitajie brand yeyote ya kutengeneza magari kutoka Iran sidhani kama unaijua na unaweza kunishangaa, ukajiuliza Iran na magari wapi na wapi.
Lakini unacho takiwa kukijua ni kuwa Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambayo soko lake kubwa ni Mashariki ya kati na Asia magharibi.

Kwa hiyo ww kutojua ni kampuni gani kutoka Urusi inayo tengeneza magari , Sahani ,Brander,simu,sijui mambo gani haku maanishi kuwa hawa vitengenezi.


Yaani Urusi inayo tengeneza mameli makubwa ,mandege ya kivita, mastalaiti, mavifaru ije ishindwe kutengeza IST,brender,sijui sahani ,sijui uchafu gani? Hivi mbona watz tunaendekeza ujuaji wa kipumbavu?

unapotelea kwenye mifano. hujajibu swali.
 
Acha makasiriko

Kwani zile Referendums zimeishia wapi si tuliambiwa Kherson is Russian forever [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asilima 70% ya Kherson ipo mikinoni mwa Russia. Asilimia 30% Russia iliondoka baada ya kuwaondoa raia wenye asili ya Russia kuwavusha upande wa pili wa mto.

Upande walioondoka Russia ulikuwa na mpambano mkali. Kulichotokea miundombinu mingi kuharibiwa kama miundombinu ya umeme, maji n.k mbali na hilo Russia iliharibu daraja linalounganisha kuelekea Crimea. Logistic hapa imeshavunjwa.

Kupeleka askari wakae huko ni hatari kwa sababu: Mji umeshaharibiwa miundombinu muhimu haipo. Logistic imeharibiwa hivyo askari watakuwa kwenye mazingira magumu. Winter ipo njiani kuishikilia upande huo ni hatari kwani umekuwa magofu.

Walichokifanya Russia ni kuwaondoa raia; kwa muda uliyobaki mpaka winter na logistic kuwa mbovu raia watakufa na njaa na baridi ni kuhatarisha usalama wa raia na wanajeshi. Njia bora ni kuuacha huo mji.

Ukraine ndiyo wametambua hilo sasa hivi kuwa sehemu ya Kherson waliyoachiwa ni majanga. Mbaya zaidi raia wameruhusiwa kukaa. Snow sasa imeshaanza kuanguka na sehemu hiyo haina umeme, wala maji winter ipo karibu watafanyaje? Utawaua raia. Na ndiyo maana wakatangaza takribani raia millioni 10 wa Ukraine hawana nishati ya aina yoyote ya kupambana na winter iliyo mbeleni mwao. Njia rahisi ni wameshauriwa raia waihame nchi.
 
Huyu ni Waziri Mkuu wa Finland ..ambaye wameomba kujiunga na NATO Ili wajilinde na anasema ULAYA HAINA NGUVU KWA SASA.... China ndio ana uwezo wa kuamua vita iishe au laa... Ila sasa maNATO ya Bunyokwa yanashupaza shingo ... Narudia kusema hakuna wa kupigana na Urusi ULAYA yote na NATO yote. Ukibisha kunya nanasi. Waziri Mkuu aliyekimbilia ulinzi wa NATO anasema wewe Mula mihogo UNAGOMA. Hii nchi Ina wagonjwa wa akili wengi sana hasa PRONATO LGBTQ s
 

Attachments

  • instagram__1670157397321.mp4
    2.1 MB
Huyu ni Waziri Mkuu wa Finland ..ambaye wameomba kujiunga na NATO Ili wajilinde na anasema ULAYA HAINA NGUVU KWA SASA.... China ndio ana uwezo wa kuamua vita iishe au laa... Ila sasa maNATO ya Bunyokwa yanashupaza shingo ... Narudia kusema hakuna wa kupigana na Urusi ULAYA yote na NATO yote. Ukibisha kunya nanasi. Waziri Mkuu aliyekimbilia ulinzi wa NATO anasema wewe Mula mihogo UNAGOMA. Hii nchi Ina wagonjwa wa akili wengi sana hasa PRONATO LGBTQ s
Nato ni maneno mengi tu kwa nchi nyonge sio taifa lenye misuli kama Russia [emoji635] Iran [emoji1130] China [emoji630]
 
Back
Top Bottom