Hushangai kwa Sasa kuna special operation iliyochukua muda mrefu zaidi duniani...huo sio udhaifu wa Supa-pawa ?
dudus T14 Armata
Proved.
Naamini unajua zaidi ya hapo,ila pengine ni ushabiki TU.
Urusi ilishailemaza kijeshi Ukraine siku nyingi sana.
Kilichopo sasa ni USA kujaribu kuifanya Op hii ichukue mda mrefu kwa matumaini kua Urusi itadhoofika,lkn tayari wameshajua Urusi sio ya kudhoofika Leo wala kesho.
Proved hua husomi wala hisikii package mpya za vikwazo Kila siku dhidi ya Urusi?
Hisikii Kila siku USA,UK,German,France,Canada,Poland na nchi nyingine nyingi za NATO wakipeleka silaha Ukraine?
Silaha hizo zinakwenda kwenye maonesho ama vitani?
Vitani na nani?.
Piga hesabu kwa ujumla Ukraine imepokea silaha za thamani kiasi Gani?
Hebu jiulize kama sio michango ya silaha na misaada mingine ya kijeshi,kiintelijensia na fedha Leo hii Ukraine Ingekua wapi,Ina Hali Gani?
Hata kama mnashabilia kishabiki basi kuweni na fact basi.
Urusi inapigana na NATO na west wote.kwa hiyo op hii itaendelea Hadi west watakapoacha kupeleka silaha Ukraine.
Nyie Kila siku humu mnashangilia Himmers,Juvelin na Nasams Sasa mnafikiri Urusi afanyeje kama sio kuendelea kushusha nyundo?