Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha kubwabwaja leta military technology NATO vs Russia. Nani ana Technology ya juu.
Himers tu zinawasumbua Leo unataka kuleta comparison za ajabu?

Ivi mbali ya hayo ma nuclears ya Russia ana kitu Gani kingine Cha kujuvunia?

Km Juvenile tu zinamtesa, Himers na ata drones mpk apewe na Iran Leo hii huyu ndio uje useme Ako Kwa juu Kwa tekelinalokuijia?
 
Nimekwambia leta statistics hapa kama umeshindwa sema mimi nilete.
Hayo maneno ya mipasho peleka Facebook. Hapa tunaenda na facts.
 
Nimekwambia leta statistics hapa kama umeshindwa sema mimi nilete.
Hayo maneno ya mipasho peleka Facebook. Hapa tunaenda na facts.
Stats hazina msaada wowote. Km Mdudu HIMARS tu anafanya yake stats za kazi gani? Mnajaza makorokocho kibao lkn ktk battle ground mna fail mbaya. Juvenile tu zimeharibu tanks zenu na other equipments kibao tu...
 
Hana huo uwezo Huyo China. Maana kuna Indo pacific ambayo kuna US, Australia, Japan na South Korea na India.... Hapa China hawezi kupigana na haya mataifa. Kumbuka US pia Yuko NATO nchi za NATO zinaweza kuingia kwsbbu ya mshirika wao US
Basi inabidi viwanda viwe busy kuzalisha artillery, maana ikitokea Taiwan kaingia vitani kwa Ukraine patayumba sana.

Nimeamini hata EU bila US hawawezi vita
 
Tayari msumari wa nchi 8 umekuingia kesho utakua na akili
Maneno kama yote ya taarabu huku nnje, ila kwenye uwanja wa Vita mwanaume yupo chumbani kwako kaweka kambi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(15).jpg
 
Russia hana namna ingine ktk hii vita zaidi ya kutumia nuclear tu. Maana ktk battle ground amefeli vibaya sn na hana uwezo wa kijeshi Kwa silaha za kawaida. Morden wars zimebadilika sn na Russia kaonyesha kushindwa sn. Hivo salama yake ni hayo madude ma nuclears tu. Na US walimwambia Russia kua km wakitumia nuclears basi Russia ndio itakayo athirika zaidi...

Yaani ktk hizi drones za Ukraine, Crimea kz wanayo maana sasaivi Ukraine anaweza kabisa kushambulia nyuma kabisa ya defenses lines
Ikitokea test flight imefanikiwa supply lines kutokea belgorod zitaumia sana.

Hata black sea fleet nayo itapata pata shida maana nimeona kuna Sea drones under development zikikamilika kuna mtu atatumia nukes tu
 
Back
Top Bottom