Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian airbase “Engels-2” has been hit. The base is located 400 km Southeast from Moscow. It hosts strategic bombers of Tu-95 and was the launch pad for numerous attacks against Ukraine. #Ukraine #Russia https://t.co/cps5f2Gz9F
Yaani hiyo iliyopigwa Iko ndani ya Russia km 600 kutoka Kharkiv ambako shambulio liliko rushiwa
 
Concept ya ndege ya India ilikua itoke kwa Su-57 ambapo wahindi walikua wanataka mabadiliko kidogo mfano wao walitaka ndege iwe two seater (Pilot & Co-pilot) na baadhi ya sensor ziwekwe za kwao. Lakini baada ya Urusi kutengeneza prototype ya Su-57 na kuwapelekea India wajiridhishe ili watoe fedha kuendelea na project ya pamoja ya Sukhoi/HAL FGTA wahindi walikataa wakasema uwezo hiyo ndege haijawaridhisha,wakaamua kujitoa kabisa Kwenye hiyo project na sasa Wana project Yao wenyewe ya kutengeneza fifth Generation fighter jet inaitwa HAL/AMCA.

Na hicho walichofanya wahindi sio kipya ndio walichofanya kwa Marekani, kabla ya kununua predator drone walitaka wajiridhishe kwanza uwezo wa hiyo drone. General Atomics ikawakodisha India Predator drone waitumie waone uwezo wake,India imeridhishwa na uwezo wa Drone inataka kununua drone 30 kwa $3 BN,bado wananegotiate Bei maana wahindi wanasema Bei kubwa wapunguziwe pia technology transfer. Wakishindwana wahindi wamesema watanunua kwa Israel.

India's $3 billion Predator drone deal with US at advanced stages, certain issues being sorted out: Report
TIMESOFINDIA.COM | Updated: Aug 21, 2022, 20:05

Sources told PTI that talks between India and US are under way for the government-to-government procurement of the drones manufactured by US defence major General Atomics. They rejected reports that the deal is off the table.
India's $3 billion Predator drone deal with US at advanced stages, certain issues being sorted out: Report | India News - Times of India
India haijawahi kufanikiwa kutengeneza japo third generation fighter jet wataweza kweli hiyo fifth gen fighter jet?
Tejas wanahaingaika nayo huu mwaka wa 40 Bado hakijajulikana kitu Iwe hiyo fifth gen?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
India haijawahi kufanikiwa kutengeneza japo third generation fighter jet wataweza kweli hiyo fifth gen fighter jet?
Tejas wanahaingaika nayo huu mwaka wa 40 Bado hakijajulikana kitu Iwe hiyo fifth gen?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kwa sasa nchi nyingi zina project ya 5th Generation fighter jet kuanzia Turkey,India,Japan,nk. Hata Turkey hajawahi tengeneza fighter jet yake lakini amejitutumua kutaka kutengeneza fifth Gen. Nilisikia Lockheed Martin watawasaidia India kwenye hiyo project Yao,sijui wameishia wapi.

Ngoja tuone....
 
Zile impregnable air defense zetu S-400 sijui zilikua wapi mpaka base muhimu kama hii inapigwa na Drone

Russian bombers air base Engels under attack, two planes burning.

In Russia, it was reported that an unknown drone attacked an airport in the Saratov region. It is about the airport in Engels, where strategic bombers are based, which launch missile strikes on Ukraine. The video of the alleged explosion was posted by various Russian Telegram channels.

Engels-2 is the main airbase of Russian strategic bombers. The main home is the 121st Guards Heavy Bomber Aviation Sevastopol Red Banner Regiment, which operates precisely with Tu-160M bombers, as well as the 184th Heavy Bomber Aviation Regiment, whose pilots serve the Tu-95M bombers. Since the beginning of the war, Russia has used the base several times as a staging post for bombing Ukraine.
 
The Russian airbase “Engels-2” has been hit. The base is located 400 km Southeast from Moscow. It hosts strategic bombers of Tu-95 and was the launch pad for numerous attacks against Ukraine. #Ukraine #Russia https://t.co/cps5f2Gz9F
Baadae Russia watapinga watasema ni ajali ya kawaida kama walivyokanusha kule Crimea wakaja kuumbuliwa na satellite photos[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukraine wamefanyia majaribio drones yenye uwezo wa kuruka umbali wa Km 1000 na kubeba kichwa Cha bomu lenye uzito wa kg75. Majaribio haya yamefanikiwa Kwa asilimia zote.

Sasa maghala ya mafuta na Kambi za kijeshi na miundo mbinu ya Russia ya kijeshi yote iko ktk target. Moscow yenyewe iko ktk target mpk ikulu ya Putin iko ktk target.....
Ha ha Russia shikilia hapohapo watasema yote

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
ProRussia nawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ukraine shows off blown-up hangar ‘turned into mass grave’ for Putin’s forces
12/05/2022 by Justin

The Ukrainian military has shared a video of a charred hangar full of destroyed Russian equipment at an undisclosed location, saying the site had effectively become a “mass grave” after it was blown up.

The defence ministry said the incident should serve as a warning to other Russians who come to fight in Ukraine.



Sijui wangapi waliunguzwa humo[emoji23]
 
Hii picha imekubali aisee urusi inasonga mbele
FB_IMG_16701586734653201.jpg
 
Back
Top Bottom