Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baadae Russia watapinga watasema ni ajali ya kawaida kama walivyokanusha kule Crimea wakaja kuumbuliwa na satellite photos[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekubali kuwa ndege zilizoharibiwa ni 4

Vifo 3

Majeruhi 6

Ila hawajasema chanzo cha hilo shambulizi.

Kama hiyo base imepigwa, nimeamini Urusi haina Air Defence
 
Zile impregnable air defense zetu S-400 sijui zilikua wapi mpaka base muhimu kama hii inapigwa na Drone

Russian bombers air base Engels under attack, two planes burning.

In Russia, it was reported that an unknown drone attacked an airport in the Saratov region. It is about the airport in Engels, where strategic bombers are based, which launch missile strikes on Ukraine. The video of the alleged explosion was posted by various Russian Telegram channels.

Engels-2 is the main airbase of Russian strategic bombers. The main home is the 121st Guards Heavy Bomber Aviation Sevastopol Red Banner Regiment, which operates precisely with Tu-160M bombers, as well as the 184th Heavy Bomber Aviation Regiment, whose pilots serve the Tu-95M bombers. Since the beginning of the war, Russia has used the base several times as a staging post for bombing Ukraine.
Naionea huruma sevastopol, lazima wahame tu.

Ukraine atakuwa hatari sana baada ya hii vita
 
Wamekubali kuwa ndege zilizoharibiwa ni 4

Vifo 3

Majeruhi 6

Ila hawajasema chanzo cha hilo shambulizi.

Kama hiyo base imepigwa, nimeamini Urusi haina Air Defence
Na ukiona Russia kasema wamekufa watu 4 bhas jua wamekufa mara tano ya hao, Ile kambi ya kule Crimea ilivyopigwa walisema kila kitu kiko Sawa hakuna uharibifu mkubwa baadae satellites images za Maxar na wengine zikawaumbua...ndege tisa zilikua zimelipuliwa na uharibifu mkubwa kambini
 
Base nyingine ya Russia inaitwa Dyagilevo Lori la mafuta limelipuka,watano wamekufa mpaka sasa wengine majeruhi. Warusi wanadai ni sabotage [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee mbona leo ni kazi, inabidi Ukraine na yenyewe iharibu grid za Urusi ili Urusi iache shambulia
 
Naionea huruma sevastopol, lazima wahame tu.

Ukraine atakuwa hatari sana baada ya hii vita
Hapo Sevastopol si walishaanza kuhamisha submarines zao,na UK kawapa Ukraine ant sub helicopter bado wako wanaendelea na mafunzo. Wakimaliza Urusi ajiandae,plus Wana project ya kutengeneza naval drones zaidi ya mia zenye Range zaidi ya 500 miles,kama zile zilizotumika kulipua warships za Russia mwezi uliopita
 
Mwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sana
 
Yaani Iko hivi hiyo bahari nyeusi mrusi lazima afukuzwe huko

Crimea lazima afukuzwe
 
Mwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sana
Kwa zile mbwembwe za Putin na Yale magwaride hata wewe lazima uogope[emoji23][emoji23][emoji23]

Makombora makubwa kama tanki za Kiboko,lazima uogope usifanye mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sana
Hawakuwa wanamuogopa. Hakuwakua wamejiandaa Kwa vita lkn taratibu wamekua wanajiandaa na kupanga mikakati Yao na huko mbele watakuja kuishambulia Russia km upepo wa kisuli suli
 
Ukraine wamefanyia majaribio drones yenye uwezo wa kuruka umbali wa Km 1000 na kubeba kichwa Cha bomu lenye uzito wa kg75. Majaribio haya yamefanikiwa Kwa asilimia zote.

Sasa maghala ya mafuta na Kambi za kijeshi na miundo mbinu ya Russia ya kijeshi yote iko ktk target. Moscow yenyewe iko ktk target mpk ikulu ya Putin iko ktk target.....
Hahahaha vina mhh muda basi
 
Kwa zile mbwembwe za Putin na Yale magwaride hata wewe lazima uogope[emoji23][emoji23][emoji23]

Makombora makubwa kama tanki za Kiboko,lazima uogope usifanye mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani NATO hawakua wakiogopa... Aliekua tayari Kwa vita ni US peke ake lkn washirika wake Wengine hawakua tayari

Lkn tangu muda huo mpk Leo hii mataifa kibao ya NATO yako tayari na yameongeza mpk bajeti za Fedha za majeshi yao
 
Jamani haya mambo yanayoendelea sasaivi yako ktk maandiko. Na kile kilicho ktk maandiko lazima kitimie. Daniel 11 Iko wazi kabisa hawa wakana Mungu yaani Hawa Warusi, China, Iran na North Korea lazima wachapwe Hawa lazima wapigwe au waukubali mfumo Kristo utawale Dunia
 
US ndio baba lao yaani Huyu US ndio baba wa Dunia atakae bisha na abishe tu lkn US ndio baba lao. Huko Kwa Ukraine hapawezi kuyumba maana Ukraine lazima iingie NATO na Russia lazima atoke ktk ardhi za Ukraine na atatoka tu.
Aisee wewe ni kipofu kabisa.Nadhani Wizara ya Afya iko sahihi kuunda kitengo cha Afya ya Akili,Gwajima was damn right.
 
[emoji298]️Against the background of Russian aggression against Ukraine, Germany will allocate 10 billion euros for the purchase of 35 of the latest F35A Lightning II fighters manufactured by Lockheed Martin, USA. Bloomberg writes about this with reference to a German government document.
 
[emoji298]️ Ukrainian forces report shooting down Russian helicopter in eastern Ukraine.

The Eastern Air Command troops shot down the Russian Kamov Ka-50 attack helicopter on Dec. 4, Ukraine’s Air Force reported.

Video posted by Ukraine's Air Force.

Back
Top Bottom