Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
China kapewa Taiwani... Na Taiwan Wala haiko ktk NATO. Iko ktk Indo pacific... Lkn mpk kesho China anashindwa kuivamia Taiwan na Biden anasema wazi kabisa kua China akiivamia Taiwan basi US ataihami Taiwan na kuingia kijeshi na wameshasaini mikataba ya kiulizi na kijeshi why sasa China anakua mdogo si aivamie hiyo Taiwan ambayo kila Mara inaitunishia misuli China?Nato ni maneno mengi tu kwa nchi nyonge sio taifa lenye misuli kama Russia [emoji635] Iran [emoji1130] China [emoji630]
Hiyo Iran ndio hamna kitu kabisa hapo Israel tu inamtosha Huyo Iran pamoja na Saudia Arabia... Seuze NATO? Hebu tuwe tunaacha kujifariji Kwa vitu vya ajabu.
Russia hataki Ukraine ijiunge na ulaya na iingie ktk NATO, kwanini? Kwasbbu anajua hawezi kupigana na hayo mataifa na ndio sbbu akataka kupindua utawala wa Kyiv na matokeo yake sasa ameshindwa....