mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani missile uwe unaitungua ivyo kama unatungua nazi.iyo missile ilikuwa imeganda au?[emoji298]️ Video shows how Ukrainian soldiers shoot down a Russian missile by the Flakpanzer Gepard. Video from social media.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Acheni propaganda za mdomoni.Urusi ndo baba wa ulaya.wengine wote kenge maji [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Ndio maana ya 85% interception rate....maana yake 15% yamepenya ndo hvyo vipicha unavyoleta SS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cruise missiles inatunguliwa hata na Stinger we unashangaa Gepard?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani missile uwe unaitungua ivyo kama unatungua nazi.iyo missile ilikuwa imeganda au?
hakuna manpad inayoweza kuichapa supersonic cruiser misseli kijana usidanganyikeCruise missiles inatunguliwa hata na Stinger we unashangaa Gepard?!
Cruise missiles mwendo wake Subsonic ni sawa na ndege za abiria zinavyotembea...hata ndege inaweza kutungua cruise missile.
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
TUESDAY, 11 OCTOBER 2022, 21:34
President Volodymyr Zelenskyy has commended Dmytro Shumskyi, a Ukrainian defender, who shot down two cruise missiles with Stinger MANPADS [man-portable air defence system - ed.] on 10 October.
Source: Zelenskyy’s evening speech
Quote: "At the request of the military command, I want to celebrate soldier Dmytro Shumskyi (anti-aircraft missile platoon of the 57th separate radio engineering battalion, Chernihiv front) for [his accomplishments] yesterday.
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
Na Ka video Ka-kurumagia haka hapa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Cruise missile anazorusha Russia huko Ukraine ni Kh-101, X-55 na Kalibr. Kaangalie speed zake...Cruise missile inaruka chini chini ili kukwepa zisionekane na Rada. Cruise missile zinakua propelled na jet engines kama ndege.hakuna manpad inayoweza kuichapa supersonic cruiser misseli kijana usidanganyike
ha ha ha ha sasa umeniamin kuwa drone zimetunguliwa na huo uharibifu kwenye picha ni mabaki ya vipande vya drone kama drone ingepiga hizo ndege zingeungua ungua zote kama asubuh ulivyosema ha ha hahaAcheni Supapawa avurumishe mikombora [emoji23][emoji23]
[emoji298]️Photos of the consequences of the explosion at the Dyagilevo airfield in the Ryazan region have appeared on social networks.
[emoji117] @Flash_news_ua
Can Stinger missiles be used against cruise missiles?hakuna manpad inayoweza kuichapa supersonic cruiser misseli kijana usidanganyike
Wapi nimesema drone ina kg 75?![emoji23]ha ha ha ha sasa umeniamin kuwa drone zimetunguliwa na huo uharibifu kwenye picha ni mabaki ya vipande vya drone kama drone ingepiga hizo ndege zingeungua ungua zote kama asubuh ulivyosema ha ha haha
kumbuka ulisema drone ina kilo 75kg
Wakati unafanya maandali ya kuipiga yenye inakuwa ishaipa alafu manpad ni ngumu ku lock target za vitu vyenye umbo kama moja inachukua dakika nying kwenye maandiliz ya kutungua[emoji23][emoji23][emoji23] Cruise missile anazorusha Russia huko Ukraine ni Kh-101, X-55 na Kalibr. Kaangalie speed zake...Cruise missile inaruka chini chini ili kukwepa zisionekane na Rada. Cruise missile zinakua propelled na jet engines kama ndege.
Speed ya Stinger ni supersonic Vs Cruise missile Subsonic.
Hizo ndo facts.
Na zile video za ule mlipuko unaweza sema ndege zimeungua zote ha ha ha ha ha kumbe ndege zimepata mikwaruzoWapi nimesema drone ina kg 75?![emoji23]
Kwahiyo interception imekuja kufanyikia ndani ya base[emoji23] ni kichaa Tu ndio ataamin hizo fix.
Mikwaruzo hujaskia huko kuna Il-78 tanker imeunguzwa[emoji23].Na zile video za ule mlipuko unaweza sema ndege zimeungua zote ha ha ha ha ha kumbe ndege zimepata mikwaruzo
SS pale mbona hatukuona hizo air defenses zako pendwa[emoji23]Na zile video za ule mlipuko unaweza sema ndege zimeungua zote ha ha ha ha ha kumbe ndege zimepata mikwaruzo
Sasa unabisha wakati tukio limeshatokea na imewezekana[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati unafanya maandali ya kuipiga yenye inakuwa ishaipa alafu manpad ni ngumu ku lock target za vitu vyenye umbo kama moja inachukua dakika nying kwenye maandiliz ya kutungua
Wataalam wanakwambia inawezekana halafu ww Mrusi mweusi toka Tozonia unakataa[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati unafanya maandali ya kuipiga yenye inakuwa ishaipa alafu manpad ni ngumu ku lock target za vitu vyenye umbo kama moja inachukua dakika nying kwenye maandiliz ya kutungua
100% correct.
CIAs' Mockingbird Media!Sasa unabisha wakati tukio limeshatokea na imewezekana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi huu hapa