Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi alitaka kutumia siku tatu na kuuangusha utawala wa zelensiky. , alafu achomeke kibaraka wake kisha aanze kuoperate serikali ya Ukraine kwa remote control kama anavyofanya huko Belarus..,kwa bahati mbaya sana mipango yote ilibuma..,Sasa amekutana na kibano hambacho hakukitegemea huku sanctions zikizidi kumbana..,huu ni ukweli mchungu hambao mazombi wake hawataki kuusikia [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnajifariji tu ila ukweli mnaujua kabisa

(1) Ukraine kurudi kama mwanzo msahau

(2) Ulaya bila Mafuta na gesi ya Urusi haiwezekani labda dunia iwe mpya

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Wanadai ni main supply route ya majeshi ya Ukraine.

Me naona baada ya kuipoteza Kherson warusi wanataka wadake kamji ambako watakaonyesha kwa umma wa Russia ili kuficha aibu waliyoipata Kherson maana wanajeshi wao wanaokufa hapo Kherson ni kama utitiri lakini hawachoki wanazidi kuja Tu,japo na Ukraine nao wanapoteza.
Sio wana dai bali huo mji ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine walioko Donesk.
Kwenye ukweli muwe mnaongea ukweli na sio kuendekeza ushabiki.

Alafu ulisha tuambia kuwa huo mji ukitekwa tukuite mbwa utadhani uko front sasa hivi unaanza kubadilisha maneno.
 
Comment na like zenu fupi fupi kwa picha ya leo kwenye mkoa wa Nikolaev[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
OdessA1.jpg
 
Sio wana dai bali huo mji ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine walioko Donesk.
Kwenye ukweli muwe mnaongea ukweli na sio kuendekeza ushabiki.

Alafu ulisha tuambia kuwa huo mji ukitekwa tukuite mbwa utadhani uko front sasa hivi unaanza kubadilisha maneno.
Nabadilishaje maneno sasa,Russia wakichukua tutasema ni tactical withdrawal we uite mbwa,paka,bweha,mamba haitobadilisha kitu tactical withdrawal ni tactical withdrawal tu.
 
Nimeona drone army ya Ukraine inapiga kazi sana.
Tamzania tuwekeze kwenye drones hasa hasa ISR
RASMI; Russia wamekubali kwamba Ukraine ndio ilifanya mashambulizi kwenye base zake kwa kutumia drones.

Wizara ya Ulinzi imetoa statement muda mchache uliopita.
 
[emoji1258][emoji635] The Biden administration said the latest strikes on Ukraine are "a reminder of President Putin's brutality." Apparently, Washington does not really trust cool tales about "almost all downed missiles" and continues to point out that the strikes of the Russian Armed Forces on the energy structure of Ukraine are destructive, but this is not the same as applied to the strikes of the US Armed Forces in various wars of recent decades .
 
Russia analenga kuumiza raia Kwa baridi Kwa kuitengeneza chuki... Lkn miundo mbinu ya kijeshi Wala hawezi kuipiga na mataifa ya magharibi yanaipa Ukraine majenereta ili jeshi liwe active muda wote.

Jiulize tu. Tangu mwezi wa pili mlisema mmekata mifumo ya Mawasiliano. Je mpk muda huu Ukraine anatumia Mawasiliano gani?

Tulieni dawa iwaingie nyie Warusi
Wawape na mishumaa

RUSSIA hana shida na RAIA yeye anaua MAGAIDI tuuu ukiona RAIA kafa basi ujue huyo sio RAIA ni GAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo kazi nzuri za Air defence bora kabisa kutoka ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Wenzako Leo Air defenses zao zimeshindwa kudaka drones mpaka zikaenda kupiga kambi muhimu na kuharibu Tu-95 bombers
 
Back
Top Bottom