Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnaidharau NATO wakati baba yenu Putin anaiogopa na hataki kabisa ata kuisikia hiyo NATO alafu mnakaa kujidanganya nyuma ya keyboard ooooh NATO sijui nini.....

Acheni story za kwenye kahawa.....

Putin hataki kabisa Ukraine iingie ktk umoja wa ulaya na ktk NATO maana anaujua mziki wa NATO...
Yaani wewe wa Kibosho unaijua NATO kuliko Waziri Mkuu wa Finland ayekimbilia huko kuomba ulinzi !!?? Ficha ujinga wako kidogo ....
 
Attachments

  • instagram__1670157397321.mp4
    2.1 MB
Hahahaha eti harusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo hizo maana hata Ukraine wanazitumia sana wanazipachika grenades kitu kikiachiwa unasikia Kaboom
 
Unajitoa Akili MTU anapiga makombora kokote Ukraine huku ameshika ardhi zaidi ya asilimia 20%hapo Ukraine imeshinda?alafu anawapiga kistaarabu Ukraine Kwa sababu ni ndugu zao.wangekuwa ni wengine wangepigwa kikatili.
Asilimia 20% ya mabehewa used au?! Embu kaangalie Ramani ya Ukraine kuanzia Julai ambapo Zelenksy alitangaza Russia imeshikilia 20% ya nchi na ilivyo Leo halafu ndo utajua kama huyo Supapawa ana 20% au la!
 
Unajitoa Akili MTU anapiga makombora kokote Ukraine huku ameshika ardhi zaidi ya asilimia 20%hapo Ukraine imeshinda?alafu anawapiga kistaarabu Ukraine Kwa sababu ni ndugu zao.wangekuwa ni wengine wangepigwa kikatili.
Sasa watu wako vitani ulitaka wapige kokoto?!
 
Hizo hizo maana hata Ukraine wanazitumia sana wanazipachika grenades kitu kikiachiwa unasikia Kaboom
Tatizo zile hazikai Sana hewani na Ukraine anazitumia kwa mission fupifupi kama hivyo kudondosha mabomu na kuelekeza artillery,pia zinakua zimeungwa na Starlink internet.

ISR ya maana uwe na drones kama zile za Israel,Marekani zinazokaa hewani muda mrefu hadi saa24
 
Vita ni mbaya Sana hata Mimi sipendi kinachoendelea ukraine.lakini naona USA wanawadanganya Ukraine kuwa watawashinda Warusi.ukraine watakumbuka shuka huku kumekucha.wakae Tu wazingumze Russia anataka mkataba mpya wa usalama Kati yake na ulaya/NATO na hayupo tayari kupoteza hata Kwa gharama yoyote.
 
Kwanini kwenye kila Jambo mnapenda kuisingizia USA, Marekani ilishasema wazi kwamba wao kazi Yao ni kutoa msaada wa silaha kuhusu mazungumzo huo ni uamuzi wa Ukraine na viongozi wa Ukraine wamesema hawataki mazungumzo wanataka kuendelea kupigana. Sasa hapo USA kosa lake liko wapi?![emoji23]

Na kwanini mnalazimisha Ukraine aombe kuzungumza na Russia wakati Russia ndie aliyeanza kwa kuvamia nchi ya watu?!
 
Tatizo zile hazikai Sana hewani na Ukraine anazitumia kwa mission fupifupi kama hivyo kudondosha mabomu na kuelekeza artillery,pia zinakua zimeungwa na Starlink internet.

ISR ya maana uwe na drones kama zile za Israel,Marekani zinazokaa hewani muda mrefu hadi saa24
Ili ufanikiwe wahitaji air superiority, tofauti na hapo zinadondoshwa
 
Kwanini kwenye kila Jambo mnapenda kuisingizia USA, Marekani ilishasema wazi kwamba wao kazi Yao ni kutoa msaada wa silaha kuhusu mazungumzo huo ni uamuzi wa Ukraine na viongozi wa Ukraine wamesema hawataki mazungumzo wanataka kuendelea kupigana. Sasa hapo USA kosa lake liko wapi?![emoji23]

Na kwanini mnalazimisha Ukraine aombe kuzungumza na Russia wakati Russia ndie aliyeanza kwa kuvamia nchi ya watu?!
Amevamia Kwa Sababu walitaka kuhatarisha usalama wa urusi taka wasitake lazima mkataba uwekwe mezani kuhusu usalama.
 
Urusi alitaka kutumia siku tatu na kuuangusha utawala wa zelensiky. , alafu achomeke kibaraka wake kisha aanze kuoperate serikali ya Ukraine kwa remote control kama anavyofanya huko Belarus..,kwa bahati mbaya sana mipango yote ilibuma..,Sasa amekutana na kibano hambacho hakukitegemea huku sanctions zikizidi kumbana..,huu ni ukweli mchungu hambao mazombi wake hawataki kuusikia [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom