Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sisi tuendelee kula mihogo wenye Vita wanaendelea na kazi.
Screenshot_20221205-143659.jpg
 
Kupiga miundo mbinu ya kijeshi itamsaidia nini wakati haiwezi kudhoofisha warusi?unajua madhara ya kukosa umeme? Ukraine atashindwa kuendesha mitambo,usafirishaji utadhoofika.kama huna akili huwezi kuelewa strategy ya warusi.
Russia analenga kuumiza raia Kwa baridi Kwa kuitengeneza chuki... Lkn miundo mbinu ya kijeshi Wala hawezi kuipiga na mataifa ya magharibi yanaipa Ukraine majenereta ili jeshi liwe active muda wote.


Jiulize tu. Tangu mwezi wa pili mlisema mmekata mifumo ya Mawasiliano. Je mpk muda huu Ukraine anatumia Mawasiliano gani?

Tulieni dawa iwaingie nyie Warusi
 
Kwani Russia yeye hapewi misaada? Huyo Iran hatoi misaada?

BTW NATO hajatoa misaada km unavyofikiria na NATO km wakitoa misaada basi Russia lazima ifutwe kabisa ktk hii vita.

Kumbuka tarehe 24 mwezi wa pili wakati Russia inaanza kuivamia Ukraine.... Putin alitangaza wazi kabisa kua nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine itachapwa.

Mbona mataifa mengi tu yanapeleka misaada na yanatangaza kabisa Kwa uwazi na huyo Putin Wala hayachapi? Mataifa yaliyomo ktk NATO ndio yanatoa misaada mikubwa lkn Putin anaangalia tu. Km sio wewe unaongea ushabiki tu ni kitu gani sasa unaongea?

Putin ni mbwa Koko tu anabweka na hana uwezo wa kuuma
Sasa mbona hueleweki MKUU

Huko juu umesema NATO hatoi msaada halaf hapo chini ukasema anatoa msaada

Tuelewe anatoa ama hatoiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia is preparing a response to the introduction by the EU of a ceiling on prices for Russian oil We will not recognize any [price] ceilings"
"The decision of the Russian side is being prepared"
-Dmitriy Peskov.
 
Russia analenga kuumiza raia Kwa baridi Kwa kuitengeneza chuki... Lkn miundo mbinu ya kijeshi Wala hawezi kuipiga na mataifa ya magharibi yanaipa Ukraine majenereta ili jeshi liwe active muda wote.


Jiulize tu. Tangu mwezi wa pili mlisema mmekata mifumo ya Mawasiliano. Je mpk muda huu Ukraine anatumia Mawasiliano gani?

Tulieni dawa iwaingie nyie Warusi
Unauhakika miundombinu ya kijeshi haishambulii ndo maana nakuambia hujui kitu Kwa taarifa yako Russia anashambulia vitu vya kijeshi,magari ya kijeshi na anayaaangusha mandege mengi ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom