Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MOTO UNAPELEKWA EYA DIFENSI YA MAREKANI UMESHINDWA KUFUA DAFU.

[emoji95][emoji95][emoji95]More explosions in Odessa... Western air defense is useless[emoji95][emoji95][emoji95]
Acha kamba wewe... Yaani hizo taarifa zote ninazo. Akijamba tu Putin Mimi nafahamu Leo Putin kajamba... Sasa ni hivi mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine Leo umefanya kz vzr sn kuliko unavyofikiria... Ktk mji wa Kyiv tu missiles zilizorushwa ni 8 na zote zimetunguliwa

Na Kwa taarifa yako hizo ndege TU 95 zilippruka tu angani Ukraine waliziona na jeshi la anga likawa tayari kitungua makombora yanayorushwa
 
Kiboko ya Russia na China hiyo inakuja

B-21 yaani hiyo ni Long range bombers..... Km zaidi ya 1000View attachment 2436710
1670244055103.png
 
Acha kamba wewe... Yaani hizo taarifa zote ninazo. Akijamba tu Putin Mimi nafahamu Leo Putin kajamba... Sasa ni hivi mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine Leo umefanya kz vzr sn kuliko unavyofikiria... Ktk mji wa Kyiv tu missiles zilizorushwa ni 8 na zote zimetunguliwa

Na Kwa taarifa yako hizo ndege TU 95 zilippruka tu angani Ukraine waliziona na jeshi la anga likawa tayari kitungua makombora yanayorushwa
Sasa hiyo milipuko inatoka wapi kama makombora yamezuiwa?
 
Kwa jinsi warusi wanavyozidi kulambishwa mchanga, mpaka kufikia x-mas idadi ya warusi wanaopikutika huko Ukraine itakuwa imegonga laki Moja na nusu [emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa ulinzi wa anga huko Ukraine umeonyesha ufanis wa Hali ya juu.., urusi Leo ni kama hawaajambulia kitu Baada ya base zao kukaangwa [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani mfumo wa anga Leo umefanya kz vzr sn. Wameziona hizo ndege 12 tangu zimeruka na wakaziona meli 4

Sasa wanapambana kuyadungua makombora. Kidogo wameanza kukaa sawa. Bado Patriots hazijafika hapo. Hizo ni NASAMS na mifumo mingine
 
Acha uongo Kiev Tu kuna milipuko zaidi ya 6 zimetoka wapi?au miundombinu ndo mifumo ya anga.
 
Back
Top Bottom