Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Hata coment zake sisomi naona anatujazia pages Bure hapaKuna majitu mengine unaachana nayo tu. Huyo jamaa kichwa chake hakiko sawa.
Hata coment zake sisomi naona anatujazia pages Bure hapaKuna majitu mengine unaachana nayo tu. Huyo jamaa kichwa chake hakiko sawa.
Yaani hizo hbr zako ni za uongo Wengine sisi vyanzo vetu ni balaa. Akijamba tu Putin Mimi nafahamuAcha uongo Kiev Tu kuna milipuko zaidi ya 6 zimetoka wapi?au miundombinu ndo mifumo ya anga.
Hizo milipuko zaidi ya 6 mnazijua nyie warusi wa bonyokwa.., mpaka Sasa hakuna chombo chochote kilichoripoti mlipuko Kyiv.., makombora yote kwenye mji mkuu yamedakwaAcha uongo Kiev Tu kuna milipuko zaidi ya 6 zimetoka wapi?au miundombinu ndo mifumo ya anga.
Misumari ya nchi 8 hiyo imewaingia na usiku wa kuamkia Leo mtapelekewa drones kibao ktk maeneo yenuHata coment zake sisomi naona anatujazia pages Bure hapa
Ukisusa wenzio tunakula,.., maumivu yakizidi muone daktari[emoji23][emoji23]Hata coment zake sisomi naona anatujazia pages Bure hapa
Hao jamaa kamba sn. Walipotea hapa baada ya kuona kabi zao mbili zimepigwaHizo milipuko zaidi ya 6 mnazijua nyie warusi wa bonyokwa.., mpaka Sasa hakuna chombo chochote kilichoripoti mlipuko Kyiv.., makombora yote kwenye mji mkuu yamedakwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chombo gani kimeripoti kwamba makombora yote yamedakwa?Hizo milipuko zaidi ya 6 mnazijua nyie warusi wa bonyokwa.., mpaka Sasa hakuna chombo chochote kilichoripoti mlipuko Kyiv.., makombora yote kwenye mji mkuu yamedakwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unataka nikuletee Ili uanze kuimba wimbo wenu wa propaganda.., tulieni hapo hapo[emoji23][emoji23]Chombo gani kimeripoti kwamba makombora yote yamedakwa?
Kumbe unaropoka Tu hakuna air defence zenu zinazoweza kuzuia makombora ya kirusi.Unataka nikuletee Ili uanze kuimba wimbo wenu wa propaganda.., tulieni hapo hapo[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna wa kuzuia makombora ya kirusi.air defence za NATO ni takataka Tu.More than 100 Russian missile have been launched against Ukrainian cities over the last hour.
Missile strikes reported from Kyiv, Lviv, Zaporizhzhia, Poltava, Cherkasy, Odesa and other cities.