Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kumekuchaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CIA Mockingbird Media!
Kumekuchaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CIA Mockingbird Media!
MmmmmmhWatu wamepiga ndege hawajapiga runways [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo unabishana na mtu hambaye alishawahi kulipoti hapa kwamba majeshi ya urusi wameshateka Kyiv,na zelensiky kakambilia Poland [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa unabisha wakati tukio limeshatokea na imewezekana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi huu hapa
HahahahaTatizo unabishana na mtu hambaye alishawahi kulipoti hapa kwamba majeshi ya urusi wameshateka Kyiv,na zelensiky kakambilia Poland [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilikuuliza swali la kuhusu maoni yako binafsi kuhusu ushoga naona unalikwepa. Mengine unayajibu kulikoni mwenzetu mbona hivyo!? Au mambo poa!?Tatizo unabishana na mtu hambaye alishawahi kulipoti hapa kwamba majeshi ya urusi wameshateka Kyiv,na zelensiky kakambilia Poland [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vipi Ruto amefanikiwa kurejesha ekari ngapi kutoka kwa Kenyatta Elites!?Akbar Akbar
Ka-52 "Alligator" helicopter shot down by Ukrainian forces near Bahmut.
SpeculationIla kuna uwezekano mkubwa wa China kuivamia Taiwan 2024 kwenye Uchaguzi
Hahah[emoji3], jamaa ana ujinga sanaTatizo unabishana na mtu hambaye alishawahi kulipoti hapa kwamba majeshi ya urusi wameshateka Kyiv,na zelensiky kakambilia Poland [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Base za urussi zipo chini ya ardhi hizo shambulizi zinapiga juu tuUsikose kutuletea pia habari za zile base za Russia zilizokaangwa Leo[emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app