Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nyie ....Wenyewe kina nani
Nyie ....Wenyewe kina nani
Bado nipo palepale kwanini uone kosa Ukraine kushambulia ndani ya Urusi?! Kama Russia anashambulia mpk apartments na mashule ndani ya Ukraine kwanini isiwe halali kwa Ukraine kufanya mashambulizi ndani ya Urusi?!NATO kukaa kimya haimaanishi ameafiki. Position yake ipo very clear haungi mkono Ukraine kupiga ndani ya urusi na ndio maana hatoi silaha zinazoweza kufika urusi Na sababu amezeweka wazi ni kuprevent further escalation.
Hayo maamuzi ya Ukraine sio maamuzi ya busara. Hoja yangu ni kwa nini wewe unayashabikia wakati unajua kbs mashambulizi madogo kama hayo hayana impact yyt kwa urusi zaidi yatasababisha retaliation kwa Ukraine ambayo itakuwa ni mbaya!?
Ni nini faida ya Ukraine kulipua daraja la kerch crimea!? Ilimuongezea nini battfield na ilimdhoofisha vipi urusi battlefield!? Mashambulizi kwenye miundombinu ya kiraia yalianza baada ya hilo shambulio la daraja na leo nchi haina maji, umeme, mtandao na winter iko hapo mbele wakati huo Putin jana ameendesha gari kwenye daraja lililolipuliwa, tyr lishatengemaa. Who is a looser now!? Ni Urusi ambayo imeshalijenga daraja au Ukraine ambayo raia wake wanabidi wakimbie nchi kwa mamilioni kwa sababu winter inakuja na umeme hakuna!?
Bado Ukraine anaendelea kufanya sabotage ndani ya Urusi na wewe unamshabikia akiwa anarudia kosa lilelile. Kujaribu kuna kufeli na kufaulu, siku akifaulu atakuwa ndio amefeli. Siku akafanikiwa kufanya shambulio kubwa ndani ya ardhi ya urusi unafikiri Putin atachukua hatua gani!? Ataliambia jeshi lake lirudi nyumbani ili zelensky asiendelee kushambulia ndani ya urusi au ndio ataongeza depth ya retaliation!? Hebu try thinking from Putins perspective. Atalirudisha jeshi nyuma au atatoa amri decision making centers za Ukraine ziwe target au atatangaza vita rasmi au ataidhinisha matumizi ya strategic nuclear au another heavy conventional weapons au etc!?
Hii ni vita sio mpira wa qorld cup. Tupunguze ushabiki
Kumbe siku hizi Ukraine inanunua silaha Urusi,nilikua sijui! Hiyo itakua hatari AseeeUkraine pia inawaua wanajeshi wa urusi kwa silaha za urusi na kampuni za urusi zinaendelea kupiga pesa. Au hujui hilo!? Ipo wapi hatari hapo!?
SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Makombora ya Urusi 60 kati ya 70 aina ya cruise yenye thamani ya dollar milioni 600 yadondoshwa na vikosi hatari vya ukraine[emoji848]
View attachment 2437478
Wakati hao wanajeshi wa Urusi wanauwawa wanakuwa wako wapi?Mvamizi anastahili kupata anachokipata🤔Ukraine kuendelea kuua wanajeshi wa Urusi kwa silaha za Marekani...kampuni za Marekani zinaendelea kupiga pesa.Yani ni hatariii!!!!
Tangu February wanasubiri Nini kushambulia Moscow!!??Kama Military specialist planners wa Ukraine wameona ni sahihi kupiga hizo targets ndani ya Russia Sisi ni Nani mpaka tuone maamuzi yao ni ya kipuuzi.
Kama Russia anashambulia Ukraine kwanini yeye asishambuliwe kwake?!
Sio Ka-52 pekee hata Mil Mi-28 ambayo vita hii sijaona kwa sana bado nayo haifanyi vizuri usiku. Kwa Apache ya Marekani ile hata ukionyeshwa night footage utakubali kuwa usiku inaona vizuri kwa kutumia various sensors.Hii ndio 'Russian Apache'.....wanadai sio nzuri Sana kwenye mission za usiku.
T14 Armata
Kwahiyo Urusi ni Moscow tu!? Aiseeee!Tangu February wanasubiri Nini kushambulia Moscow!!??
Mazungumzo ya nini uwanja wa Vita.acha boli litembee.Putin kashasema kabisa ukija kwa ajili ya mazungumzo basi kabla ujaingia kwenye chumba cha mazungumzo basi unatakiwa kutambua mikoa aliyoichukua Urusi, ni sehemu ya ardhi ya Urusi.kama uwezi basi haina aja ya kuingia kwenye chumba cha mazungumzoBado nipo palepale kwanini uone kosa Ukraine kushambulia ndani ya Urusi?! Kama Russia anashambulia mpk apartments na mashule ndani ya Ukraine kwanini isiwe halali kwa Ukraine kufanya mashambulizi ndani ya Urusi?!
Kulipuliwa Kwa Daraja la Crimea si sababu ya Urusi kuanza kushambulia miundombinu ndani ya Ukraine sababu Peskovu mwenyewe alikiri kwamba wanashambulia miundombinu ya nishati na mingineyo ili kuifosi Ukraine ikubali mazungumzo,juzi hapa Russia ilisuggest kuwe na short truce Ukraine ilikataa na mpaka sasa sioni Zelenksy akikubali kufanya mazungumzo na Putin kisa eti Putin kabomoa miundombinu ya Umeme.
Kama mnangoja Ukraine ipige magoti kwa Russia kisa kulipuliwa Kwa transfoma za Umeme mtasubiri Sana.
Mazungumzo ya nini uwanja wa Vita.acha boli litembee.Putin kashasema kabisa ukija kwa ajili ya mazungumzo basi kabla ujaingia kwenye chumba cha mazungumzo basi unatakiwa kutambua mikoa aliyoichukua Urusi, ni sehemu ya ardhi ya Urusi.kama uwezi basi haina aja ya kuingia kwenye chumba cha mazungumzo
Una mapenzi mazito sana na USA.sijui kama wenyewe wanajua kuwa unawapenda kupitiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio Ka-52 pekee hata Mil Mi-28 ambayo vita hii sijaona kwa sana bado nayo haifanyi vizuri usiku. Kwa Apache ya Marekani ile hata ukionyeshwa night footage utakubali kuwa usiku inaona vizuri kwa kutumia various sensors.
Tatizo la night vision kwa Russia nishaligusia humu, defense industry ya Russia haiko vizuri kwenye teknolojia ya kuona usiku. Scopes za bunduki somehow sio ngumu ila hawana the best kama wengine. Kwenye vifaru Ukraine walipokamata T-90M pale Kharkiv ambayo ndio latest Russian tank kwenye inventory ilienda kuchunguzwa na NATO na labda watatoa majibu. Previously vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinakamatwa miaka ya nyuma vilikuwa na weakness kwenye aiming systems kama thermal sites, uwezo wake kufanya aiming usiku unapungua maradufu. Naamini Wachina washawapita kwenye hilo
Hoja sio uharamu au uhalali!? Pia, Nothing is fair in this world when it comes to love and War. Sio kwa sababu wewe umefanyiwa basi ni halali na wewe umfanyie aliyekufanyia. NATO wanajua kwamba ardhi ya Ukraine imeshambuliwa vby na urusi lkn hawataki kumuona Ukraine anaishambulia ardhi ya urusi. NATO wanajua haitakikani kupigana vita ambayo hupati chochote hata ukiishinda na ukiishindwa unapoteza kila kitu. Umefanikiwa kushambulia daraja sawa, umepata nini!? Wiki mbili baadae daraja limejengwa upya na wewe raia wako milioni 10 wanaihama nchi kukimbia baridi na wanaobaki wanaunga foleni na ndoo za maji kama wako makongo juu huku umeme hauwaki na hali ya uwanja wa vita haibadiliki. A lot of doing but nothing done!Bado nipo palepale kwanini uone kosa Ukraine kushambulia ndani ya Urusi?! Kama Russia anashambulia mpk apartments na mashule ndani ya Ukraine kwanini isiwe halali kwa Ukraine kufanya mashambulizi ndani ya Urusi?!
Kulipuliwa Kwa Daraja la Crimea si sababu ya Urusi kuanza kushambulia miundombinu ndani ya Ukraine sababu Peskovu mwenyewe alikiri kwamba wanashambulia miundombinu ya nishati na mingineyo ili kuifosi Ukraine ikubali mazungumzo,juzi hapa Russia ilisuggest kuwe na short truce Ukraine ilikataa na mpaka sasa sioni Zelenksy akikubali kufanya mazungumzo na Putin kisa eti Putin kabomoa miundombinu ya Umeme.
Kama mnangoja Ukraine ipige magoti kwa Russia kisa kulipuliwa Kwa transfoma za Umeme mtasubiri Sana.
Wanajifanya hawaoni au niwataje kabisa. Nyie Warusi wa Kakonko mbona airbase yenu inashambuliwa na mnasema mna au defense systems nzuri zaidi duniani huku mnaishangaa Ukraine yenye systems chache za kupewa ikishambuliwa
Na Leo imepigwa nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajifanya hawaoni au niwataje kabisa. Nyie Warusi wa Kakonko mbona airbase yenu inashambuliwa na mnasema mna au defense systems nzuri zaidi duniani huku mnaishangaa Ukraine yenye systems chache za kupewa ikishambuliwa
Kushambuliwa kwa RUSSIA hakuuondoi ukweli wakwamba ana best ADWanajifanya hawaoni au niwataje kabisa. Nyie Warusi wa Kakonko mbona airbase yenu inashambuliwa na mnasema mna au defense systems nzuri zaidi duniani huku mnaishangaa Ukraine yenye systems chache za kupewa ikishambuliwa
Ukraine ina AD systems ngapi alizoanza kupewa mwishoni mwa mwaka huu? Sasa unalinganisha Russia inayotengeneza systems miaka yote hiyo na bado inapigwa kila shambulizi, hakuna shambulizi kubwa Ukraine wamefanya likazuiwa na hizo systems ila kuna mashambulizi Russia imefanya na yanazuiwa kwa kiasi chake.Kushambuliwa kwa RUSSIA hakuuondoi ukweli wakwamba ana best AD
Au best AD hua haziruhusu shambulizi hata kidogo
Katika zile AD kutoka OTAN walizopewa UKRAINE zimeisaidia nn UKRAINE kwamba haijashambuliwa toka ipokee ama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehem nimezifananishaUkraine ina AD systems ngapi alizoanza kupewa mwishoni mwa mwaka huu? Sasa unalinganisha Russia inayotengeneza systems miaka yote hiyo na bado inapigwa kila shambulizi, hakuna shambulizi kubwa Ukraine wamefanya likazuiwa na hizo systems ila kuna mashambulizi Russia imefanya na yanazuiwa kwa kiasi chake.
Years of defence spending, manufacturing, training na stocking ya the so called superpower huyo Russia mbona matokeo hamna
Chizi wewe sio mzima kabisa.mara ngapi mifumo ya Urusi inatungua drone na makombola.au unataka mpaka waje kwenye kiota chako wakwambie.Ukraine ina AD systems ngapi alizoanza kupewa mwishoni mwa mwaka huu? Sasa unalinganisha Russia inayotengeneza systems miaka yote hiyo na bado inapigwa kila shambulizi, hakuna shambulizi kubwa Ukraine wamefanya likazuiwa na hizo systems ila kuna mashambulizi Russia imefanya na yanazuiwa kwa kiasi chake.
Years of defence spending, manufacturing, training na stocking ya the so called superpower huyo Russia mbona matokeo hamna
Huyo bwana wako Marekani pamoja na kutengeneza mifumo kila siku base zake zinapigwa Syria.Ukraine ina AD systems ngapi alizoanza kupewa mwishoni mwa mwaka huu? Sasa unalinganisha Russia inayotengeneza systems miaka yote hiyo na bado inapigwa kila shambulizi, hakuna shambulizi kubwa Ukraine wamefanya likazuiwa na hizo systems ila kuna mashambulizi Russia imefanya na yanazuiwa kwa kiasi chake.
Years of defence spending, manufacturing, training na stocking ya the so called superpower huyo Russia mbona matokeo hamna
Nadhani ulishawahi kusikia kuhusu Sputnik.Sio Ka-52 pekee hata Mil Mi-28 ambayo vita hii sijaona kwa sana bado nayo haifanyi vizuri usiku. Kwa Apache ya Marekani ile hata ukionyeshwa night footage utakubali kuwa usiku inaona vizuri kwa kutumia various sensors.
Tatizo la night vision kwa Russia nishaligusia humu, defense industry ya Russia haiko vizuri kwenye teknolojia ya kuona usiku. Scopes za bunduki somehow sio ngumu ila hawana the best kama wengine. Kwenye vifaru Ukraine walipokamata T-90M pale Kharkiv ambayo ndio latest Russian tank kwenye inventory ilienda kuchunguzwa na NATO na labda watatoa majibu. Previously vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinakamatwa miaka ya nyuma vilikuwa na weakness kwenye aiming systems kama thermal sites, uwezo wake kufanya aiming usiku unapungua maradufu. Naamini Wachina washawapita kwenye hilo