Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1670321770990.png

The United States has secretly modified HIMARS missile launchers handed over to Ukraine so that the Ukrainian Armed Forces could not strike at the territory of the Russian Federation, the Wall Street Journal reports, citing US officials. Since June, Washington has donated 20 HIMARS launchers to Ukraine, as well as a large number of satellite-guided missiles with a range of about 50 miles (about 80 km).
 
Years of defence spending, manufacturing, training na stocking ya the so called superpower huyo Russia mbona matokeo hamna
Hivi uoni aibu, NATO nzima na EU yote zaidi ya nchi 30 za Ulaya, wakoloni waliotawala karibu dunia nzima, wanashindwa kumzuia Russia kufanya anachokitaka? Ona aibu aisee. Yaani US na ubabe wake...kweli hauoni aibu?
 
Hakuna sehem nimezifananisha

Ila yamezuia nini UKRAINE mwisho jana imepigwa na wanalalama lalama

[emoji96] In the aftermath of yesterday's strikes on Ukraine, Kiev officials say it will take 2 days for the system to stabilize in order to at least partially return to the previous system of "predicted rolling blackouts", as now a wave of emergency power outages is rolling across Ukraine, accompanied by massive accidents in the power grids.

@NewResistance

Huko RUSSIA mashambulizi mangapi wanasema wanazuia toka UKRONAZI jamaa wanapambana nayo sanaaa

Ama hufatilii na hayo mashambulio makubwa walofanya UKRAINE huko RUSSIA kama yapi yakafanikiwa !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine haitakiwi kushambulia Russian territory kwa silaha za kupewa. Inventory ya Ukraine ni ndogo sana kuoverstretch kupiga mashambulizi kwa Warusi waliopo kwake na kupiga ndani ya Urusi. Mara chache ikifanya hivyo inapiga military targets zinazotumika kushambulia kwake. So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi kama Russia inavyofanya.

Mashambulizi yaliyofanikishwa na Ukraine wakati systems zote za Russia zipo ni kama sinking of Moskva cruiser, Snake island, Kerch bridge, HQ za Black Sea fleet, naval base pale Sevastopol na mengine
 
View attachment 2437601
The United States has secretly modified HIMARS missile launchers handed over to Ukraine so that the Ukrainian Armed Forces could not strike at the territory of the Russian Federation, the Wall Street Journal reports, citing US officials. Since June, Washington has donated 20 HIMARS launchers to Ukraine, as well as a large number of satellite-guided missiles with a range of about 50 miles (about 80 km).
Alaf kuna mtu hapa kawe ukwamani anasema Ukraine inabidi ashambulie ndani ya Russia kwa sababu Russia anashambulia ndani ya Ukraine!

US wenyewe wanajua mashambulizi ndani ya Urusi ni majanga sio kwa Ukraine tu bali kwa mustakabali wa amani ya dunia
 
So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi
Kweli upo 'umefuliwa akili' na wamagharibi!
===
Hiki ni nini ilifanya Ukraine?

Hivi uoni aibu, NATO nzima na EU yote zaidi ya nchi 30 za Ulaya, wakoloni waliotawala karibu dunia nzima, wanashindwa kumzuia Russia anachokitaka? Ona aibu aisee. Yaani US na ubabe wake...kweli hauoni aibu?
Marekani imetoa 5% tu ya bajeti yake ya mwaka kwa Ukraine ila vilio vinavyotolewa utadhani ni mwisho wa dunia unakaribia. Hizo 95% za mwaka huu pekee zikikutana na Russia itakuaje? Na hapo kuna spending ya miaka iliyopita tuanzie hata 1990. Bado hatujaongeza spending ya UK, France, Germany, Spain, Italy, Canada hao wengine tuwaache. Unatoa wapi ujasiri wa kuitaja NATO dhidi ya Russia. Urusi si iombe msaada kwa China kama ilivyoomba kwa Ayatollah. Imejaribu hata kupitia Belarus kufika Kyiv lakini wapi ikaishia kuchafua mazingira kwa vyuma chakavu
20220322_233718.jpg

Hapo Russia inapigana na jirani inashindwa wakati hata wakitaka kuvuka kwa miguu wanaweza. Je ukiwatoa wakapigane na Brazil watawezaje
 
Kweli upo 'umefuliwa akili' na wamagharibi!
===
Hiki ni nini ilifanya Ukraine?

Wakati wenzako wanafundishwa darasani ulikuwa busy kujisugua mkono ili unuke. Ona sasa ndio maana unashabikia ujinga kwa maana uwezo wa kuchanganua mambo ni hafifu. Tafuta darasa la tatu yeyote akueleze maana ya "apparently by Russian backed groups" iliyotumika kwenye source yako hiyo. Unanipa pointi za kukupinga, nimekwambia Ukraine haishambulii civilians kama Russia wafanyavyo, unanipinga kisha unaleta ushahidi wa hivi. Hiyo "Ukraine: " iliyotumika hapo inaonyesha habari imetokea wapi. Elimu!
IMG_20221206_133503.jpg
 
Marekani imetoa 5% tu ya bajeti yake ya mwaka kwa Ukraine ila vilio vinavyotolewa utadhani ni mwisho wa dunia unakaribia. Hizo 95% za mwaka huu pekee zikikutana na Russia itakuaje? Na hapo kuna spending ya miaka iliyopita tuanzie hata 1990. Bado hatujaongeza spending ya UK, France, Germany, Spain, Italy, Canada hao wengine tuwaache. Unatoa wapi ujasiri wa kuitaja NATO dhidi ya Russia. Urusi si iombe msaada kwa China kama ilivyoomba kwa Ayatollah. Imejaribu hata kupitia Belarus kufika Kyiv lakini wapi ikaishia kuchafua mazingira kwa vyuma chakavuView attachment 2437624

Hapo Russia inapigana na jirani inashindwa wakati hata wakitaka kuvuka kwa miguu wanaweza. Je ukiwatoa wakapigane na Brazil watawezaje
Tuambie toka kuanzishwa kwa Dunia, huyo bwana wako kashinda vita gani.Taliban katumia kila aina ya silaha ila mwisho wa siku kabakwa yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani ulishawahi kusikia kuhusu Sputnik.
Siku moja october 1957 asubuhi USA wanaamka na habari kwamba Soviet wamerusha satellite ipo kwenye orbit inazunguka, lakini habari hii ilikuwa imepokelewa tofauti na majenerali wa jeshi la USA , kwamba Soviets wanaweza rusha kombra la nuke sehemu yeyote ile ndani ya USA provided kwamba wana weza rusha satellite kwenye orbit.
Hiko kiliwashtua sana USA, kwa sababu bado walikuwa hawajafikia huo uwezo.

Rocket science ambayo huwa inachukuliwa ni ngumu wenzako wamefanya 1957, soviets wapo mbali sana muda mrefu. Endelea kurefer Mi-28 na vifaru kwamba ndio silaha ambazo zinaonyesha udhaifu wa Russia, Russia hailindwi kwa Mi-28 na vifaru vya T-90M mkuu, helicopter ya Mi-28 na kifaru cha T-90M sio kielelezo kuelezea uwezo, morali, teknolojia na nguvu waliyonayo Russia unless uwe ushabiki.

Tukianza kuelezea weakness ya silaha za NATO kwenye vita ya Ukraine hatutomaliza.

Nimekuambatanishia gazeti la New York Times 1957 october USA wakishangazwa na satellite hio.
810LiftQN7L._AC_UF894,1000_QL80_.jpg
Basi sawa. Hizo satellite unazoringia Elon Musk Mmarekani ashatuma zaidi ya 3000 kwa miaka yake michache ya SpaceX wakati ni kampuni binafsi. Sasa nauliza hivi

1. Mtengenezaji wa TV set ya kwanza duniani ni nchi gani
2. Mtengenezaji wa simu ya kwanza nchi gani
3. Mtengenezaji wa ndege ya kwanza duniani ni nchi gani
4. Nchi gani ilitengeneza internet
5. Nchi gani ilitengeneza kompyuta
6. Nchi gani ilitengeneza video technology

Tukianza kutaja hapa hatutamaliza. Haya nijibu kwa teknolojia ya Mmarekani
 
View attachment 2437601
The United States has secretly modified HIMARS missile launchers handed over to Ukraine so that the Ukrainian Armed Forces could not strike at the territory of the Russian Federation, the Wall Street Journal reports, citing US officials. Since June, Washington has donated 20 HIMARS launchers to Ukraine, as well as a large number of satellite-guided missiles with a range of about 50 miles (about 80 km).
@Axel Lloyd haya maneno huko juu uliambiwa sana na triga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine haitakiwi kushambulia Russian territory kwa silaha za kupewa. Inventory ya Ukraine ni ndogo sana kuoverstretch kupiga mashambulizi kwa Warusi waliopo kwake na kupiga ndani ya Urusi. Mara chache ikifanya hivyo inapiga military targets zinazotumika kushambulia kwake. So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi kama Russia inavyofanya.

Mashambulizi yaliyofanikishwa na Ukraine wakati systems zote za Russia zipo ni kama sinking of Moskva cruiser, Snake island, Kerch bridge, HQ za Black Sea fleet, naval base pale Sevastopol na mengine
MKUU umekuaje !!?

Shambulizi la kerch na 11/09/ lina tofauti gani sasa !!?

Kwahio kupitia mashambulizi ya 11/09/ yalofanyika US tunaongeleaje mifumo yao yakujilinda

Sasa kama hawawezi kupiga RUSSIA kwasilaha za kupewa wao wanaweza piga kwasilaha za kwao kuna utofauti upi hapa hem tujuze

Haya yakupiga mashule nk yalishaletewa mpaka picha na videos tokea mwezi may yaani mukaweke silaha mashuleni mtegemee zitaachwa kwa hili sahauni kabisa zitapigwa huko huko zilipo MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaf kuna mtu hapa kawe ukwamani anasema Ukraine inabidi ashambulie ndani ya Russia kwa sababu Russia anashambulia ndani ya Ukraine!

US wenyewe wanajua mashambulizi ndani ya Urusi ni majanga sio kwa Ukraine tu bali kwa mustakabali wa amani ya dunia
Kwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?

Maana moto unaowashwa na Ukraine kwenye maeneo hayo sio wa kitoto mzee hadi wanajeshi wa Urusi wanayatelekeza maeneo yao.

Urusi ilishayatangaza maeneo hayo kama ni ardhi ya Urusi na yeyote atakayeshambulia maeneo hayo atakuwa ameishambulia Urusi.

Lakini bado Ukraine anazidi kuyashambulia kila uchwao. Je, hayo maeneo Urusi ameshayakana kwamba sio maeneo yake tena?
 
Lini umeona RUSSIA kayakana hayo maeneo yake MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini umeona RUSSIA kayakana hayo maeneo yake MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema ameyakana bali nimeuliza mkuu.

Maana tunaona maeneo hayo yakishambuliwa kila mara na Ukraine sasa ndo nimemuuliza mdau kwamba mbona maeneo hayo ambayo Urusi ameyatangaza kuwa ardhi yake yanashambuliwa vibaya?

Na hapo hapo Urusi alishasema atakayeshambulia maeneo hayo ni sawa nakuishambulia Urusi.
 
Nandio maana RUSSIA anapambana kuyahami maeneo yake

Pia akafika mbali anapiga sehem ambazo kabla hakua anapiga hayo maeneo nimali yahalali ya RUSSIAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?

Maana moto unaowashwa na Ukraine kwenye maeneo hayo sio wa kitoto mzee hadi wanajeshi wa Urusi wanayatelekeza maeneo yao.

Urusi ilishayatangaza maeneo hayo kama ni ardhi ya Urusi na yeyote atakayeshambulia maeneo hayo atakuwa ameishambulia Urusi.

Lakini bado Ukraine anazidi kuyashambulia kila uchwao. Je, hayo maeneo Urusi ameshayakana kwamba sio maeneo yake tena?
Wanajeshi wa urusi wametelekeza maeneo yepi donbass na zaporozhie!? Sehemu ambayo Urusi ilijiondoa kwa muda ni kherson tena ni eneo dogo tu ng'ambo ya mto lkn eneo la kherson kubwa limebakia chini ya urusi. Crimea sio moto uliwashwa bali ni shambulio la kigaidi na majibu yake yalipatikana.

Kwa mujibu wa Urusi hayo maeneo ni ya Russia na watayalinda kwa namna yyt ile. Hiyo haimaanishi kwamba hakutakuwepo na mapigano. Nachoona ni kwamba Urusi bado anaona anaweza kurepel majeshi ya Ukraine kutoka kwenye maeneo hayo bila matumizi ya nguvu ya ziada. Nguvu ya ziada namaanisha Vita na matumizi ya silaha za maangamizi. Silaha hizo ni last resort na bado zipo hatua nyingi tu ambazo zitapitiwa kwanza kbl hawajafika huko.
 
Back
Top Bottom