Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wangekua wanamjua wangeisha mlipia mahariUna mapenzi mazito sana na USA.sijui kama wenyewe wanajua kuwa unawapenda kupitiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili ruka kutoka wapi chief?[emoji23][emoji23][emoji23]Supapawa kazi anayo. Embu fikiria drone imeruka mamia ya km bila kua detected mpk kwenda kupiga air base muhimu Ile,zile S400 & S500 zetu sijui zilikua wapi[emoji23]
Hivi uoni aibu, NATO nzima na EU yote zaidi ya nchi 30 za Ulaya, wakoloni waliotawala karibu dunia nzima, wanashindwa kumzuia Russia kufanya anachokitaka? Ona aibu aisee. Yaani US na ubabe wake...kweli hauoni aibu?Years of defence spending, manufacturing, training na stocking ya the so called superpower huyo Russia mbona matokeo hamna
Ukraine haitakiwi kushambulia Russian territory kwa silaha za kupewa. Inventory ya Ukraine ni ndogo sana kuoverstretch kupiga mashambulizi kwa Warusi waliopo kwake na kupiga ndani ya Urusi. Mara chache ikifanya hivyo inapiga military targets zinazotumika kushambulia kwake. So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi kama Russia inavyofanya.Hakuna sehem nimezifananisha
Ila yamezuia nini UKRAINE mwisho jana imepigwa na wanalalama lalama
[emoji96] In the aftermath of yesterday's strikes on Ukraine, Kiev officials say it will take 2 days for the system to stabilize in order to at least partially return to the previous system of "predicted rolling blackouts", as now a wave of emergency power outages is rolling across Ukraine, accompanied by massive accidents in the power grids.
@NewResistance
Huko RUSSIA mashambulizi mangapi wanasema wanazuia toka UKRONAZI jamaa wanapambana nayo sanaaa
Ama hufatilii na hayo mashambulio makubwa walofanya UKRAINE huko RUSSIA kama yapi yakafanikiwa !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf kuna mtu hapa kawe ukwamani anasema Ukraine inabidi ashambulie ndani ya Russia kwa sababu Russia anashambulia ndani ya Ukraine!View attachment 2437601
The United States has secretly modified HIMARS missile launchers handed over to Ukraine so that the Ukrainian Armed Forces could not strike at the territory of the Russian Federation, the Wall Street Journal reports, citing US officials. Since June, Washington has donated 20 HIMARS launchers to Ukraine, as well as a large number of satellite-guided missiles with a range of about 50 miles (about 80 km).
Kweli upo 'umefuliwa akili' na wamagharibi!So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi
Marekani imetoa 5% tu ya bajeti yake ya mwaka kwa Ukraine ila vilio vinavyotolewa utadhani ni mwisho wa dunia unakaribia. Hizo 95% za mwaka huu pekee zikikutana na Russia itakuaje? Na hapo kuna spending ya miaka iliyopita tuanzie hata 1990. Bado hatujaongeza spending ya UK, France, Germany, Spain, Italy, Canada hao wengine tuwaache. Unatoa wapi ujasiri wa kuitaja NATO dhidi ya Russia. Urusi si iombe msaada kwa China kama ilivyoomba kwa Ayatollah. Imejaribu hata kupitia Belarus kufika Kyiv lakini wapi ikaishia kuchafua mazingira kwa vyuma chakavuHivi uoni aibu, NATO nzima na EU yote zaidi ya nchi 30 za Ulaya, wakoloni waliotawala karibu dunia nzima, wanashindwa kumzuia Russia anachokitaka? Ona aibu aisee. Yaani US na ubabe wake...kweli hauoni aibu?
Wakati wenzako wanafundishwa darasani ulikuwa busy kujisugua mkono ili unuke. Ona sasa ndio maana unashabikia ujinga kwa maana uwezo wa kuchanganua mambo ni hafifu. Tafuta darasa la tatu yeyote akueleze maana ya "apparently by Russian backed groups" iliyotumika kwenye source yako hiyo. Unanipa pointi za kukupinga, nimekwambia Ukraine haishambulii civilians kama Russia wafanyavyo, unanipinga kisha unaleta ushahidi wa hivi. Hiyo "Ukraine: " iliyotumika hapo inaonyesha habari imetokea wapi. Elimu!Kweli upo 'umefuliwa akili' na wamagharibi!
===
Hiki ni nini ilifanya Ukraine?
AFU shells school, hospital and sports complex in Donetsk
A school building in the Kuibyshev district of Donetsk, the building of the Dolphin sports complex and hospital No. 21 were damaged by shelling by the AFU, the city’s mayor, Oleksiy Kulemzin, said “In school No 71 the glazing was damaged. In Municipal Clinical Hospital No. 21, the roof and...en.news-front.info
Ukraine: Shelling Residential Areas Puts Civilians at Risk
The shelling of a school, a kindergarten, and residential areas along the line of contact in eastern Ukraine on February 17, 2022, apparently by Russia-backed armed groups, injured civilians and damaged civilian infrastructure. The attacks, which injured at least four civilians, severely damaged...www.hrw.org
Western media and politicians prefer to ignore the truth about civilians killed in Donetsk shelling
There has been little condemnation of the deadly shelling of Donetsk civilian areas, including a maternity hospitalswentr.site Ukraine: Hospitals shelled and civilians cut off as fighting intensifies | MSF
As fighting escalates, the situation for civilians caught in the conflict zone is now dire.www.msf.org
Tuambie toka kuanzishwa kwa Dunia, huyo bwana wako kashinda vita gani.Taliban katumia kila aina ya silaha ila mwisho wa siku kabakwa yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marekani imetoa 5% tu ya bajeti yake ya mwaka kwa Ukraine ila vilio vinavyotolewa utadhani ni mwisho wa dunia unakaribia. Hizo 95% za mwaka huu pekee zikikutana na Russia itakuaje? Na hapo kuna spending ya miaka iliyopita tuanzie hata 1990. Bado hatujaongeza spending ya UK, France, Germany, Spain, Italy, Canada hao wengine tuwaache. Unatoa wapi ujasiri wa kuitaja NATO dhidi ya Russia. Urusi si iombe msaada kwa China kama ilivyoomba kwa Ayatollah. Imejaribu hata kupitia Belarus kufika Kyiv lakini wapi ikaishia kuchafua mazingira kwa vyuma chakavuView attachment 2437624
Hapo Russia inapigana na jirani inashindwa wakati hata wakitaka kuvuka kwa miguu wanaweza. Je ukiwatoa wakapigane na Brazil watawezaje
Basi sawa. Hizo satellite unazoringia Elon Musk Mmarekani ashatuma zaidi ya 3000 kwa miaka yake michache ya SpaceX wakati ni kampuni binafsi. Sasa nauliza hiviNadhani ulishawahi kusikia kuhusu Sputnik.
Siku moja october 1957 asubuhi USA wanaamka na habari kwamba Soviet wamerusha satellite ipo kwenye orbit inazunguka, lakini habari hii ilikuwa imepokelewa tofauti na majenerali wa jeshi la USA , kwamba Soviets wanaweza rusha kombra la nuke sehemu yeyote ile ndani ya USA provided kwamba wana weza rusha satellite kwenye orbit.
Hiko kiliwashtua sana USA, kwa sababu bado walikuwa hawajafikia huo uwezo.
Rocket science ambayo huwa inachukuliwa ni ngumu wenzako wamefanya 1957, soviets wapo mbali sana muda mrefu. Endelea kurefer Mi-28 na vifaru kwamba ndio silaha ambazo zinaonyesha udhaifu wa Russia, Russia hailindwi kwa Mi-28 na vifaru vya T-90M mkuu, helicopter ya Mi-28 na kifaru cha T-90M sio kielelezo kuelezea uwezo, morali, teknolojia na nguvu waliyonayo Russia unless uwe ushabiki.
Tukianza kuelezea weakness ya silaha za NATO kwenye vita ya Ukraine hatutomaliza.
Nimekuambatanishia gazeti la New York Times 1957 october USA wakishangazwa na satellite hio.
@Axel Lloyd haya maneno huko juu uliambiwa sana na trigaView attachment 2437601
The United States has secretly modified HIMARS missile launchers handed over to Ukraine so that the Ukrainian Armed Forces could not strike at the territory of the Russian Federation, the Wall Street Journal reports, citing US officials. Since June, Washington has donated 20 HIMARS launchers to Ukraine, as well as a large number of satellite-guided missiles with a range of about 50 miles (about 80 km).
MKUU umekuaje !!?Ukraine haitakiwi kushambulia Russian territory kwa silaha za kupewa. Inventory ya Ukraine ni ndogo sana kuoverstretch kupiga mashambulizi kwa Warusi waliopo kwake na kupiga ndani ya Urusi. Mara chache ikifanya hivyo inapiga military targets zinazotumika kushambulia kwake. So usitarajie kuona Ukraine inalipua vituo vya kucheza watoto, mashule na makazi kama Russia inavyofanya.
Mashambulizi yaliyofanikishwa na Ukraine wakati systems zote za Russia zipo ni kama sinking of Moskva cruiser, Snake island, Kerch bridge, HQ za Black Sea fleet, naval base pale Sevastopol na mengine
Kwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?Alaf kuna mtu hapa kawe ukwamani anasema Ukraine inabidi ashambulie ndani ya Russia kwa sababu Russia anashambulia ndani ya Ukraine!
US wenyewe wanajua mashambulizi ndani ya Urusi ni majanga sio kwa Ukraine tu bali kwa mustakabali wa amani ya dunia
Lini umeona RUSSIA kayakana hayo maeneo yake MKUUKwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?
Maana moto unaowashwa na Ukraine kwenye maeneo hayo sio wa kitoto mzee hadi wanajeshi wa Urusi wanayatelekeza maeneo yao.
Urusi ilishayatangaza maeneo hayo kama ni ardhi ya Urusi na yeyote atakayeshambulia maeneo hayo atakuwa ameishambulia Urusi.
Lakini bado Ukraine anazidi kuyashambulia kila uchwao. Je, hayo maeneo Urusi ameshayakana kwamba sio maeneo yake tena?
Sijasema ameyakana bali nimeuliza mkuu.
Nandio maana RUSSIA anapambana kuyahami maeneo yakeSijasema ameyakana bali nimeuliza mkuu.
Maana tunaona maeneo hayo yakishambuliwa kila mara na Ukraine sasa ndo nimemuuliza mdau kwamba mbona maeneo hayo ambayo Urusi ameyatangaza kuwa ardhi yake yanashambuliwa vibaya?
Na hapo hapo Urusi alishasema atakayeshambulia maeneo hayo ni sawa nakuishambulia Urusi.
Wanajeshi wa urusi wametelekeza maeneo yepi donbass na zaporozhie!? Sehemu ambayo Urusi ilijiondoa kwa muda ni kherson tena ni eneo dogo tu ng'ambo ya mto lkn eneo la kherson kubwa limebakia chini ya urusi. Crimea sio moto uliwashwa bali ni shambulio la kigaidi na majibu yake yalipatikana.Kwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?
Maana moto unaowashwa na Ukraine kwenye maeneo hayo sio wa kitoto mzee hadi wanajeshi wa Urusi wanayatelekeza maeneo yao.
Urusi ilishayatangaza maeneo hayo kama ni ardhi ya Urusi na yeyote atakayeshambulia maeneo hayo atakuwa ameishambulia Urusi.
Lakini bado Ukraine anazidi kuyashambulia kila uchwao. Je, hayo maeneo Urusi ameshayakana kwamba sio maeneo yake tena?
Kwahiyo sasahivi tukubaliane kwamba Ukraine anaishambulia Urusi?Nandio maana RUSSIA anapambana kuyahami maeneo yake
Pia akafika mbali anapiga sehem ambazo kabla hakua anapiga hayo maeneo nimali yahalali ya RUSSIAAA
Sent using Jamii Forums mobile app