Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zile air defenses zetu pendwa S500,S10000 sijui zilikua wapi!? Najiuliza sipati jibu!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Ila hawa watu wanakufa vibaya Daaah[emoji23][emoji23][emoji23]

SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]

 
Sababu RUSSIA anaheshimu maamuzi ya UN ndio maana hamuuzi

IRAN hajawah kua nashida na ndege za US

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mtu asiyeijua Iran ndio ananibishia hapa. Hii ni American made F-14 Tomcat still flying with Iranian Airforce wakati Marekani iliachana nazo 2006 na hizo zilikuwa na extensive program

Hii ni F-4 Phantom bado Iran anazitumia. Marekani alizitumia vita ya Vietnam

Bado kuna F-4 Tiger nazo kutoka Marekani. Angekuwa hana shida na hizo ndege za Marekani aina tatu si angeachana nazo
 
Anataka au alishachukua!!
Kwa kibali Cha wananchi wa maeneo hayo!
Kibali anakitambua yeye na machizi wenzake huko Kremlin,Kwanza mpaka sasa Hana eneo tena ambalo amelikamata kwa 100% ni Kherson pekee ndo alikua ameikamata yote.

Donbass 50% ipo Ukraine
Zaporizhzhia 50% ipo Ukraine
Kherson 30% imerudi
 

In one of the elementary schools in Virginia, a "Satanic Club" was opened for students remaining on after-school
 

The Germans are unshakable in the issue of refusing to transfer Patriot air defense systems to Ukraine. This information was confirmed by the head of the Ministry of Defense of Poland, Mariusz Blashak.
Now the Poles will come up with something themselves, for example, transfer freshly received Patriot air defense systems on their own
 
Fuatilia vizur

Bado IRAN anavikwazo haruhusiwi kununua silaha wala kuuziwa spare parts zake

.US na EU kwampaka sasa hawajafikia uhusino mbaya wakiasi hiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko ambako watu wanakimbia mobilization ndo kuna motisha mpk wanaamua kusaka wafungwa na kuwaswaga vitani
Mobilization hata UKRAINE walifanya ama ushasahau kama mwanzoni mwa wanayoiita vita walizuia watu wa umri kuanzia 60 kwenda chini kuondoka

Ili wakafe huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…