Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe mtu asiyeijua Iran ndio ananibishia hapa. Hii ni American made F-14 Tomcat still flying with Iranian Airforce wakati Marekani iliachana nazo 2006 na hizo zilikuwa na extensive programView attachment 2438015

Hii ni F-4 Phantom bado Iran anazitumia. Marekani alizitumia vita ya VietnamView attachment 2438016

Bado kuna F-4 Tiger nazo kutoka Marekani. Angekuwa hana shida na hizo ndege za Marekani aina tatu si angeachana nazo
Shida MKUU hua unapenda kukurupuka

IRAN hizo ndege wapo nazo tokea lini ama tokea baada ya mapinduzi mwaka 1979 umewahi ona wanaagiza ndege tokea USAF

Nahujui kama IRAN wanavikwazo miaka tele kuhusiana na hizo silaha

Siijui saana IRAN ila naijua kias chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia vizur

Bado IRAN anavikwazo haruhusiwi kununua silaha wala kuuziwa spare parts zake

.US na EU kwampaka sasa hawajafikia uhusino mbaya wakiasi hiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikwazo alivyowekewa chini ya UN vilishaondolewa,vilivyobaki ni vile vya nchi husika tu kama Marekani,Ulaya,nk.


Kabla ya Joe Biden uhusiano wa Ulaya na Marekani haukua mzuri kutokana na Sera za Trump kwenye usalama alikua akilaumu nchi za Ulaya kuitegemea Sana Marekani na kutishia kuiondoa Marekani NATO,tariffs kwenye product za Europe,kujiondoa JCPOA,Ulaya kununua gas ya Urusi na kuacha ya Marekani. Kasikilize interview ya Emmanuel Macron kwenye 60 minutes alizungumzia kidogo uhusiano wa Ulaya na Marekani wakati wa Trump.
 
Mobilization hata UKRAINE walifanya ama ushasahau kama mwanzoni mwa wanayoiita vita walizuia watu wa umri kuanzia 60 kwenda chini kuondoka

Ili wakafe huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine huwezi fananisha na Urusi mobilization ilikua ni lazima.

Jeshi la Ukraine ni kama wanajeshi laki 2-3 wakati Russia ni 1.5m

Population ya Russia ni karibu 150m wakati Ukraine 40m. Ukraine ni Ka nchi kadogo mbele ya Urusi ilikua lazima wamobilize.
 
Sababu RUSSIA anaheshimu maamuzi ya UN ndio maana hamuuzi

IRAN hajawah kua nashida na ndege za US

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona ulichoandika hapa. "Iran hajawahi kuwa na shida na ndege za US". Aliyekurupuka nani? Hajawahi kuwa na shida na ndege za Marekani ila alizinunua na bado anazitumia hadi sasa. Unaelewa unachozungumza au unabisha uonekane
Shida MKUU hua unapenda kukurupuka

IRAN hizo ndege wapo nazo tokea lini ama tokea baada ya mapinduzi mwaka 1979 umewahi ona wanaagiza ndege tokea USAF

Nahujui kama IRAN wanavikwazo miaka tele kuhusiana na hizo silaha

Siijui saana IRAN ila naijua kias chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau hivi mnalikumbuka hili limsafara la Supapawa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2438026
Wataalamu wa mambo wanasema huu ndio msafara mrefu zaidi hambao unashikilia rekodi ya dunia mpaka Sasa.., sidhani kama atatokea yeyote wa kuivunja hii rekodi ya urusi katika miaka ya hivi karibuni [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wana ibeza
iran hapo juu hawajui kuwa bwana wao marekani anaiyogopa iran kuliko hata china

Jamaa walijamu mifumo yote ya ulinzi wa anga ya marekani iliyopo middle east nzima na kushambulia base za usa na nato pale iraq

Juzi kati hapa walifanikiwa kujam na kuzibeba under drone za marekani mbili
 
Super power wa mchongo amewafanya masuper power wa kweli kula mpaka chakula cha wanyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2437802
Wanapulia [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-1107229691.gif
 
Kama Ukraine anaweza kuishambulia Urusi the super power maana yake Urusi hana nguvu ya kuyalinda maeneo yake ipasavyo hadi kupambana kulipiza kisasi kwa kupiga miundombinu ya Ukraine.
Nadhani wengi wanamchukulia poa Ukraine. Toka 2010 mwanzoni Marekani imekuwa ikiipa mafunzo ya kijeshi Ukraine iliyowafanya kuwa na jeshi lenye level ya NATO, wamepewa na wanaendelea kupiwa misaada ya kijeshi ya hadhi ya juu. Unategemea asiwe na uwezo wa kupambana na Urusi.

Bad thing ni kuwa vita hii inapiganwa ndani ya Ardhi yake, hivyo muhanga ni yeye mwenyewe. Kadri NATO wanavyoipa silaha Ukraine na ndivyo nchi hiyo inavyozidi kuharibiwa. Nadhani busara Wafikie makubaliano ya amani yanatakayo ipa hakikisho la Usalama Urusi. Huu ndio ukweli Ukraine haiwezi kuwa pro Nato then tutegemee amani. Ukraine inapswa kuwa Neutral state.
 
Hivi, kitendo cha Urusi kuyatambua maeneo yale mapema, haikuwa move ya kuwafanya majeshi ya Ukraine yajikite zaidi kupambania hayo maeneo na sio kuilenga ardhi ya Urusi moja kwa moja?
 
Kuna watu wana ibeza
iran hapo juu hawajui kuwa bwana wao marekani anaiyogopa iran kuliko hata china

Jamaa walijamu mifumo yote ya ulinzi wa anga ya marekani iliyopo middle east nzima na kushambulia base za usa na nato pale iraq

Juzi kati hapa walifanikiwa kujam na kuzibeba under drone za marekani mbili

Marekani anaiogopa Iran[emoji23] Duh!!!

Iran hajawahi kujam mifumo ya Ulinzi ya USA na hana ubavu huo
 
Nadhani wengi wanamchukulia poa Ukraine. Toka 2010 mwanzoni Marekani imekuwa ikiipa mafunzo ya kijeshi Ukraine iliyowafanya kuwa na jeshi lenye level ya NATO, wamepewa na wanaendelea kupiwa misaada ya kijeshi ya hadhi ya juu. Unategemea asiwe na uwezo wa kupambana na Urusi.

Bad thing ni kuwa vita hii inapiganwa ndani ya Ardhi yake, hivyo muhanga ni yeye mwenyewe. Kadri NATO wanavyoipa silaha Ukraine na ndivyo nchi hiyo inavyozidi kuharibiwa. Nadhani busara Wafikie makubaliano ya amani yanatakayo ipa hakikisho la Usalama Urusi. Huu ndio ukweli Ukraine haiwezi kuwa pro Nato then tutegemee amani. Ukraine inapswa kuwa Neutral state.
Finland na urusi Zinashare mpaka wa km 1300 lakini Finland Iko mbioni kujiunga NATO

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom