Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa kama watu amefikia kula mpaka chakula cha mbwa hatua ambayo hata sisi hatujafikia pamoja na umasikini wetu unataka wanyoshwe kivipi?
Sisi hatujafikia?! Wakt wa ukame na njaa watu wanakula mpk balale nguru si Bora mbwa anakula samaki
 
Kumbe mabeberu siku hizi wana jifanyia propaganda mpaka wao wenyewe?

Utajitoa akili lakini ukweli ume upata pamoja na kwamba unauma,
ya kwamba Marekani na maswahiba wake ndio masuper power wa michongo na ndio maana wamejiunga zaidi ya mataifa 40 kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi lakini kiuchumi wamesha pigwa za uso na kijeshi ni suala la muda tu na penyewe watashindwa tu.
Hakuna aliyejiunga kupigana na Urusi, Urusi inapigana na Ukraine hizo nyingine ni ngonjera tu za kufurahisha genge
 
[emoji298]️ The US Armed Forces study the amount of ammunition used by Russia in the war in Ukraine, reports the the head of the Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley.

“We’re doing research now, analysis, to make sure we’ve done the right math, the right estimates in case of an emergency. We must be sure that we have the appropriate levels of reserves for any case”, he says.
 
Mzigo upo wa kutoshaaaaaa

[emoji298]️ The US has enough weapons to continue to help Ukraine, reports the US Deputy Secretary of State Wendy Sherman.
 
[emoji298]️CNN: Defense secretary says US is not preventing Ukraine from developing long-range strike capabilities.

“We are not working to prevent Ukraine from developing their own capability,” U.S. Defense Secretary Lloyd Austin said on Dec. 6.

Austin's comment followed Ukraine’s new long-range striking ability, which came into focus on Dec. 5 with attacks on air bases located hundreds of kilometers from the nearest Ukrainian territory, demonstrating the ability to evade Russian air defenses and hit with precision.
 
Cruise missiles inatunguliwa hata na Stinger we unashangaa Gepard?!

Cruise missiles mwendo wake Subsonic ni sawa na ndege za abiria zinavyotembea...hata ndege inaweza kutungua cruise missile.

Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
TUESDAY, 11 OCTOBER 2022, 21:34
President Volodymyr Zelenskyy has commended Dmytro Shumskyi, a Ukrainian defender, who shot down two cruise missiles with Stinger MANPADS [man-portable air defence system - ed.] on 10 October.

Source: Zelenskyy’s evening speech

Quote: "At the request of the military command, I want to celebrate soldier Dmytro Shumskyi (anti-aircraft missile platoon of the 57th separate radio engineering battalion, Chernihiv front) for [his accomplishments] yesterday.
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS

Na Ka video Ka-kurumagia haka hapa[emoji23]


Mmmmmmh
SUN
 
Akili ita wakaa sawa.

Yaani watu zaidi ya 40 mnaungana kumpiga mtu mmoja alafu mnajiita mna nguvu kweli hichi ni kichekesho.
Supapawa anapigwa makonzi na dogo halafu anatafuta huruma eti anachangiwa na nchi 40[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukraine amejua kumnyoosha super pawer sawasawa.., super pawer amehangaika na miundombinu lakini bado dogo anamkazia..,mara hii urusi lazima atambue kwamba siafu akingata sehemu za Siri ni lazima busara itumike kumtoa,hata kama hujafundishwa kutumia busara,basi utalazimshwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mabeberu siku hizi wana jifanyia propaganda mpaka wao wenyewe?

Utajitoa akili lakini ukweli ume upata pamoja na kwamba unauma,
ya kwamba Marekani na maswahiba wake ndio masuper power wa michongo na ndio maana wamejiunga zaidi ya mataifa 40 kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi lakini kiuchumi wamesha pigwa za uso na kijeshi ni suala la muda tu na penyewe watashindwa tu.
Endelea kuota..
 
Huu ndio mwarobaini wa drones za Iran zinazotumiwa na Urusi kushambulia Ukraine 🤔
...
Thank you Germany!

Ukrainian troops told Radio Free Europe/Radio Liberty that Gepard mobile antiaircraft systems donated by Germany have proven effective at stopping russian-operated drones made by iran.
 
Kama katibu mkuu wa Nato alisema kuwa Ukraine ikishindwa vita ni NATO nzima itakuwa imeshindwa vita sembuse ww mlala njaa kutoka taifa la kusadikika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo NATO inapigana Ukraine?!

NATO ilishasema haihusiki Katika huo mgogoro hlf ww mkaa kwenye sofa la shemeji hapo kiembe mbuzi unabisha!!!!!![emoji23]
 
Pro Russia mmesikia huko mzee Putin amekaa na baraza lake la usalama wa kitaifa kujadili hali ya usalama wa ndani maana Ukraine anashambulia viwanja vya ndege ndani ya ardhi ya Urusi.

Ukraine wamefanya mashambulizi katika mji wa Saratov nchini Urusi.

Zelensky yupo ziarani Donetsk kuwapa hamasa wanajeshi wake kupambania uhuru wa taifa lao.

Zelensky amesema ukombozi utaelekea hadi Crimea na kuwafukuza magaidi wote wa Kirusi kwenye ardhi takatifu ya Ukraine.

Zelensky kweli kidume yaani haogopi kwenda front line kuwapa hamasa wanajeshi wake na kukagua maendeleo ya vita sio mzee Putin amejificha kusikojulikana.
 
Ukraine amejua kumnyoosha super pawer sawasawa.., super pawer amehangaika na miundombinu lakini bado dogo anamkazia..,mara hii urusi lazima atambue kwamba siafu akingata sehemu za Siri ni lazima busara itumike kumtoa,hata kama hujafundishwa kutumia busara,basi utalazimshwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine wamefanya mashambulizi katika mji wa Saratov nchini Urusi na Rais shupavu Zelensky yupo ziarani Donetsk kuwapa hamasa wanajeshi wake na kukagua maendeleo ya vita sio mzee Putin amejificha kusikojulikana.

Zelensky ni kidume yaani haogopi kwenda front line kuwapa hamasa wanajeshi wake. Urusi hii vita ameingia chaka vibaya sana.

Zelensky amesisitiza kwamba vita lazima viishie Crimea vilipoanzia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo NATO inapigana Ukraine?!

NATO ilishasema haihusiki Katika huo mgogoro hlf ww mkaa kwenye sofa la shemeji hapo kiembe mbuzi unabisha!!!!!![emoji23]
Kwa hiyo kati ya wewe mlala njaa kutoka nchi ya kusadikika na katibu mkuu wa NATO aliye sema hayo maneno tumsikilize nani?
 
Back
Top Bottom