Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro Russia mmesikia huko mzee Putin amekaa na baraza lake la usalama wa kitaifa kujadili hali ya usalama wa ndani maana Ukraine anashambulia viwanja vya ndege ndani ya ardhi ya Urusi.

Ukraine wamefanya mashambulizi katika mji wa Saratov nchini Urusi.

Zelensky yupo ziarani Donetsk kuwapa hamasa wanajeshi wake kupambania uhuru wa taifa lao.

Zelensky amesema ukombozi utaelekea hadi Crimea na kuwafukuza magaidi wote wa Kirusi kwenye ardhi takatifu ya Ukraine.

Zelensky kweli kidume yaani haogopi kwenda front line kuwapa hamasa wanajeshi wake na kukagua maendeleo ya vita sio mzee Putin amejificha kusikojulikana.
Tumesikia ila Mimi binafsi nawahurumia Ukraine kwani kwenye kikao hicho yanaweza yakatoka maazimio makali zaidi dhidi ya Ukraine...
 
Hiyo ni kweli, lakini pia hata Ukraine anashambulia huko urusi Ili kumuonesha urusi kwamba bado Yuko imara na hayuko tayari kukaaa kwenye meza ya mazungumzo kwa namna yoyote ile

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwenye meza ya mazungumzo huyo Ukraine atakuja tu ....there is no way out...Hana la kufanya...Ukraine hawezi kushinda Vita hivi...nchi itaharibiwa Sana Kama inavyofanyika Sasa...
 
Tumesikia ila Mimi binafsi nawahurumia Ukraine kwani kwenye kikao hicho yanaweza yakatoka maazimio makali zaidi dhidi ya Ukraine...
Mtu hadi kaamua kushambulia ardhi ya Urusi amejipanga mkuu hawakufanya kwa bahati mbaya.

Kwamba mwenye haki ya kushambulia ardhi ya Ukraine ni Urusi ila yeye mwiko ardhi yake kushambuliwa?

Sasa ndo Urusi atajua hajui hakuna cha kushambulia ardhi ya mwenzako tu hata ya kwake pia itashambuliwa.
 
Kwenye meza ya mazungumzo huyo Ukraine atakuja tu ....there is no way out...Hana la kufanya...Ukraine hawezi kushinda Vita hivi...nchi itaharibiwa Sana Kama inavyofanyika Sasa...
Sasahivi Ukraine naye ataanza kuharibu miundombinu ya Urusi kama hivi alivyoanza kulipua viwanja vya ndege.

Halafu mwanaume Zelensky baada ya kufanya mashambulizi chini Urusi ameenda Frontline kutembelea vikosi vyake kwenye uwanja wa mapambano hulo Donetsk.
 
Mtu hadi kaamua kushambulia ardhi ya Urusi amejipanga mkuu hawakufanya kwa bahati mbaya.

Kwamba mwenye haki ya kushambulia ardhi ya Ukraine ni Urusi ila yeyehuo mwiko ardhi yake kushambuliwa?

Sasa ndo Urusi atajua hajui hakuna cha kushambulia ardhi ya mwenzako tu hata ya kwake pia itashambuliwa.
Huo ni mtazamo wako ...na Mimi Nina mtazamo wangu baada ya kuiangalia Hali halisi...atajua hajui, huo ni msemo wa kujimwambafai...kiuhalisia Russia inaweza kuifuta Ukraine in less than 2 minutes..
 
1670409140357.png

Underwater uninhabited vehicles of large displacement available in different countries
 
Ukraine amejua kumnyoosha super pawer sawasawa.., super pawer amehangaika na miundombinu lakini bado dogo anamkazia..,mara hii urusi lazima atambue kwamba siafu akingata sehemu za Siri ni lazima busara itumike kumtoa,hata kama hujafundishwa kutumia busara,basi utalazimshwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Swali la kuhusu ushoga unalikwepa sana. Kulikoni!?
 
Back
Top Bottom