Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sasa mbona miji hawaikomboi Kama mrusi kakimbia kaacha mitambo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa Mrusi ndiye yupo kwenye offensive, maana kwamba yeye ndiye anashambulia, Ukraine wao wanaendelea kupambana kuhimili mashambulizi yake.
Kihistoria Urusi wakifanya mashambulizi wao hupigana kizalendo na wapo radhi hata kufa mamilioni lakini wafanikishe lengo, ndicho walikifanya kwenye vita vya pili vya dunia, waliuawa mamilioni lakini walisonga mbele kwa mbele mpaka wakaingia Berlin kwa Hittler.
Lakini kwanza huwa mwanzo uwaaminishe kwanini wapigane, kwanini wajitolee kufa, uwachochee na kuwapa mzuka, ila kwenye huu ugomvi Putin kawakanganya kwa kukurupuka, amewatumbukiza kwenye ugomvi ambao hawauhitaji na hawautaki, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kama Quora utaona namna gani Warusi wanapinga hivi vita.
Pia kwao kule wanakamatwa wengi wanaothubutu kufanya maandamano ya kupinga hivi vita vya Putin.
Yap!....bila Uchumi imara huwezi kuwa na nguvu kubwa za kijeshi.Training ni gharama sana. Tunarudi palepale kuwa bila uchumi ni vigumu kuwa na jeshi kubwa. Injini nyingi za ndege za Urusi nakumbuka hazifiki 70% ya lifespan ya injini za kampuni kama Safran ya Ufaransa, RR ya UK na PW au General Dynamics za Marekani. Ukifanya mazoezi sana unaongeza wear and tear hasa kwa engine parts na landing gear. Bado zile drills zinataka ammunition na fuel. Bado logistics na mambo kibao. Jas-39 Gripen niliyotaja hapo juu ina $7,500 cost per flight hour ni lowest kwenye modern fighters. Hapo tunazungumzia milioni 17 hivi zetu kwa lisaa, wakati kwa mwaka marubani wa Russia huruka angani kwa wastani wa masaa 100. Marekani marubani wao huruka masaa 200 kwa kawaida na huruka 350hrs kwa mwaka kama wako deployed kambini.
Twajua dini yenu ina chuki na USAMrusi kaamua kuutokomeza ubabe wa Kimagharibi. Alichofanya Putin binafsi naoa yupo sawa kwani Magaharibi, hususan USA, wanajifanya wao ndio polisi na wababe wa dunia na wanachotaka wao lazima kiwe. Imefikia mahala, wanakuwa kama wapo Hollywood wanacheza filamu, wanawaonea mataifa madogo, lakini hata hayo mataifa mengine madogo yanawahenyesha sana lakini hawajifunzi wakatia adabu.
USA hawana ujanja wala ari ya kupigana wao wenyewe, wanawasukumizia wengine mizozo yao. Sasa hivi wamemuingiza mkenge Ukraine. Ghuba huko wamemuingiza Mkenge Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu kuwa ndio "frontline" yao kwa Wa Iran na nchi zingine huko zenye watawala wasikubaliana nao.
Vietnam, waliwahenyesha, Taliban wamewahenyesha mpaka sasa hivi wanaugulia majeraha. Somalia ndio hawana hamu kabisa, wameifanya Kenya kuwa ndio frontline yao, ni heri Tanzania walistuka mapema.
Ukraine haitabaki salama mpaka isalimu amri, Na USA hataki hii vita iishe haraka kwaani ikiisha, front line yao waliokuwa wanaiunda ndio itakuwa imeshasambaratishwa na Warusi wanakuwa karibu zaidi na nchi za NATO, itazimeza moja moja, sio kwa kuzivamia bali kwa zenyewe kutii amri yao wataponyanyuliwa sauti.
Jino kwa jino...Japan protested after Russia put it on the list of unfriendly countries.View attachment 2142880
Waasi wa Allepo walikuwa hawana air defense yoyote, hivyo sio kipimo kizuri kupima ubora.Kama ulibahatika kutazama Allepo.....
Hii kauli isingekutoka.
Hapo ndipo ulipoonesha ujinga wako dhahiri shahiri. "Dini yenu" unamaanisha nini? Ina maana "dini yenu" inachuki na Mrusi? hueleweki, usiwe poyoyo.
Post bora niliyoamka nayo leo.Mrusi kaamua kuutokomeza ubabe wa Kimagharibi. Alichofanya Putin binafsi naoa yupo sawa kwani Magaharibi, hususan USA, wanajifanya wao ndio polisi na wababe wa dunia na wanachotaka wao lazima kiwe. Imefikia mahala, wanakuwa kama wapo Hollywood wanacheza filamu, wanawaonea mataifa madogo, lakini hata hayo mataifa mengine madogo yanawahenyesha sana lakini hawajifunzi wakatia adabu.
USA hawana ujanja wala ari ya kupigana wao wenyewe, wanawasukumizia wengine mizozo yao. Sasa hivi wamemuingiza mkenge Ukraine. Ghuba huko wamemuingiza Mkenge Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu kuwa ndio "frontline" yao kwa Wa Iran na nchi zingine huko zenye watawala wasikubaliana nao.
Vietnam, waliwahenyesha, Taliban wamewahenyesha mpaka sasa hivi wanaugulia majeraha. Somalia ndio hawana hamu kabisa, wameifanya Kenya kuwa ndio frontline yao, ni heri Tanzania walistuka mapema.
Ukraine haitabaki salama mpaka isalimu amri, Na USA hataki hii vita iishe haraka kwaani ikiisha, front line yao waliokuwa wanaiunda ndio itakuwa imeshasambaratishwa na Warusi wanakuwa karibu zaidi na nchi za NATO, itazimeza moja moja, sio kwa kuzivamia bali kwa zenyewe kutii amri yao wataponyanyuliwa sauti.
Ndio huyu mmoja toka vita vianze!!?View attachment 2142904
Ukraine Sio Syria huyu ni Major General wa kikosi Cha Russia, kulingana na Taarifa za kiintelejensia za Ukraine ameisha liwa kichwa.
Leo pia nitaendelea kupost mizoga ya Askari wa Russia
Dah!....usituwekee picha za maiti bhana...View attachment 2142904
Ukraine Sio Syria huyu ni Major General wa kikosi Cha Russia, kulingana na Taarifa za kiintelejensia za Ukraine ameisha liwa kichwa.
Leo pia nitaendelea kupost mizoga ya Askari wa Russia
ππππππππHapo ndipo ulipoonesha ujinga wako dhahiri shahiri. "Dini yenu" unamaanisha nini? Ina maana "dini yenu" inachuki na Mrusi? hueleweki, usiwe poyoyo...a mashoga na wabakaji watoto wadgo? Wamekuacha salama kweli? Au ndio mwenzao? Maana unavyojielezea ni kigasho gasho.