NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
MKIAMKA MKAPIGE KURA KWANZA UZI HUO WA POLL, TUJUE NANI ATAPATA WAFWASI ZAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uongo wa mchana kweupe.Wengine wengi ni kutoka nyanda za milima ya Urals. Nimeshagusia kuwa wamekuwa drafted kwenda jeshini vijana wadogo na experience hawana alafu wanakutana na jeshi la Ukraine linalopigana since 2014. Ni vijana maskini kutoka jamii minorities za Russian Federation, at least Chechens wana uzoefu na kupigana na huwa wanapenda vita na actually kupigana wanaweza sana wale hata ile Chechen war kwenye ile uprising majeshi ya Russia yalipigwa hovyo na vifaru vikaharibiwa hivihivi.
Hao troops walioenda hutowaona Caucasians wengi wale wa Western na miji kama St. Petersburg, utakuta mostly ni from Siberia uko. Labda maofisa na wataalamu. Binafsi Putin huwa naona ana dalili za kuwa na asili ya Eastern part kule kwa kina Mongols
Ulitaka nitaje Humvee hizi ambazo na South Africa anatengeneza, nitaje bunduki za M4 Carbines, nitaje Hercules na ndege version zake zilitumika Vietnam. Wewe ndio unitajie silaha zote hapo, ipi China au Russia wakaichukue ili waisome. Mbona hujashangaa Russia aliacha Marekani iwe na access na hizo Mil helicopters na mechanics wa Kimarekani wakawa wanazitengeneza.Ogopa jamii forum.
Mpaka hapo ushajua ni zaidi ya Blackhawk na Humvees.
Bado lights arms ambazo Bado zinatumika katika jeshi la Marekani.
Una swali jingineView attachment 2142600View attachment 2142601View attachment 2142602View attachment 2142603View attachment 2142604View attachment 2142605
huyo jama ni mbishi na mjuajia balaaHuu ni uongo wa mchana kweupe.
Putin Hana kabisa asili ya huko unapsema.
Sio mtuva, mburyat yaani Hana kabisa mongoloid race
Usije na intention ya kuniattack wala kushindana na mimi, hakuna tuzo wanatoa humu. Nimesema "Binafsi naona Putin ana dalili za kuwa..." hapo uongo uko wapi? Hujui tofauti ya opinions na facts? Aya tuambie ana race gani na imekuwa proved wapi ili tusiseme ni uongoHuu ni uongo wa mchana kweupe.
Putin Hana kabisa asili ya huko unapsema.
Sio mtuva, mburyat yaani Hana kabisa mongoloid race
Ushahidi wa kuondoka nazo hunao?Ulitaka nitaje Humvee hizi ambazo na South Africa anatengeneza, nitaje bunduki za M4 Carbines, nitaje Hercules na ndege version zake zilitumika Vietnam. Wewe ndio unitajie silaha zote hapo, ipi China au Russia wakaichukue ili waisome. Mbona hujashangaa Russia aliacha Marekani iwe na access na hizo Mil helicopters na mechanics wa Kimarekani wakawa wanazitengeneza.
Na ujue hizo silaha nyingi essential parts wameondoa. Unabaki na gari lenye matairi, injini ila communication systems wameondoa wakasaga. Umeniquote niliposema Russia kuacha new version Pantsir ikiwa intact ni uzembe. Imeachwa ikiwa intact na ulitakiwa ujue Pantsir ina umuhimu gani kwa Russia. Pantsir na Tor ndio mifumo ya short range air defence system kwa Russia. Bila hizo airbases na military installations ziko vulnerable dhidi ya attack. Pantsir ni muhimu sana tena sana kuwa secured bora wapoteze vifaru uko kuliko system yao kuwa compromised
Nakubaliana nawe ila ni muhimu kukumbuka wakazi wa Dombass na Lugansk ni wa asili ya kirusi kama wa Crimea na walikuwa wanabezwa na kuonewa na waUkraine tokea zamani na kuanza kupigwa mabomu zaidi baada ya 2014. Pia ni muhimu kutambua kwamba mrusi alitafuta sana makubaliano ya amani hadi kuingia ule mkataba wa MINSK lakini Ukraine na wachochezi wake wa magharibi wakauruka baadae. Ni muhimu kutambua hawa wa NATIONALIST wa Ukraine ni kweli wana itikadi za kiHitler na uwepo na ushamiri wao umeruhusiwa na serikali ya Ukraine na wachochezi wake. Hawa wanationalist ndio sasa sauti kuu ya Ukraine upinzani (?) na wametumiwa kumbeza mrusi, kuchochea kuvunja ishara za kirusi nchini Ukraine (nyingi za kumbukumbu za wanajeshi warusi walivokomboa Ukraine kutoka kwa Hitler), kuendeleza uvamizi wa Dombass na Lugansk... kama vile walitumwa kumchokoza na kumkasirisha mrusi.NINI CHANZO CHA MGOGORO HASA?
Mnamo mwaka 2014, Urusi iliyafadhili kijeshi makundi ya vuguvugu Mashariki mwa Ukraine katika majimbo ya CRIMEA,DONBASS,DONETSK na LUHANSK ambayo wakazi wengi wa majimbo hayo wana asili ya Urusi na wanazungumza Kirusi kwa ufasaha.
Katika mapambano hayo,Majeshi ya waasi kwa msaada wa Urusi walifanikiwa kuyateka majimbo hayo kutoka kwenye mikono ya Serikali ya Kyiv. Jimbo la CRIMEA liliamua kuitisha kura ya maoni (Referendum) ya kujitenga na Ukraine na kujiunga na Urusi.
Majimbo mawili (Donestk na LUHANSK) yaliendeleza mapambano makali dhidi ya Majeshi ya Ukraine na kuchukua udhibiti KAMILI wa majimbo hayo. Katika Jimbo la DONBASS Majeshi ya Ukraine yalipambana Sana na hivyo waasi kushindwa kuliteka Jimbo Hilo kikamilifu.
MGOGORO KAMILI?
Tangu mwaka 2014,Ukraine ilianza kupokea msaada wa vifaa vya kijeshi kutoka kwa washirika wa NATO. Ikumbukwe kuwa,Ukraine sio mwanachama wa NATO wala Umoja wa Mataifa. Vifaa vingi vya kijeshi vilitoka nchi za Marekani,Uturuki na Uingereza. Jeshi la Ukraine liliimarika zaidi baada ya kununua DRONES za kisasa kutoka Uturuki.
DRONES hizi zinajulikana Sana hasa zilipofanya vizuri kwenye mgogoro wa kijeshi Kati ya Armenia na Azerbaijan. Mwishoni mwa mwaka 2021 mwezi Desemba, Majeshi ya Ukraine yalianza kuyateka upya maeneo ya DONBASS kwa kutumia mashambulizi ya Anga kutoka kwenye DRONES. Majeshi ya Ardhini ya Ukraine yakashinda Nguvu Majeshi ya waasi na kuliteka Jimbo lote la DONBASS. Baada ya ushindi huo wa Majeshi ya Ukraine katika Jimbo la DONBASS,ndipo Ukraine ikaanza mashambulizi ya Anga kwenye Jimbo la LUHANSK.
Baada ya Ushindi huo wa Majeshi ya Ukraine,ndipo Majeshi ya Ukraine yakaingia Frontline ili kuwasaidia waasi. Pia,kikundi Cha Majeshi ya kukodiwa kutoka Urusi maarufu Kama WAGNERS kiliamua kuanzisha mashambulizi dhidi ya Majeshi ya Ukraine. Hata hivyo,Majeshi ya Urusi,Waasi na WAGNERS kwa pamoja yalishindwa kudhibiti mashambulizi ya DRONES za Ukraine.
Tarehe 24 Desemba 2021, Majeshi ya Urusi yalianza kuingiza mifumo ya Ulinzi wa Anga-ANT AIRCRAFT MISSILES (S-300 na S-400). Ujio wa Mifumo hiyo ya Ulinzi wa Anga ulisababisha DRONES za Ukraine kushindwa kufanya mashambulizi ya Anga. Hali hiyo ilitoa upenyo wa Majeshi ya Urusi na waasi kuchukua udhibiti upya wa majimbo ya DONBASS na LUHANSK.
Siko hapa kumshambulia mtu yoyote, ilakurekebisha penye uwongo au ikiwa mtu amekosea.Usije na intention ya kuniattack wala kushindana na mimi, hakuna tuzo wanatoa humu. Nimesema "Binafsi naona Putin ana dalili za kuwa..." hapo uongo uko wapi? Hujui tofauti ya opinions na facts? Aya tuambie ana race gani na imekuwa proved wapi ili tusiseme ni uongo
B-52 Stratofortress zinakuwa modernized na kuongezewa lifespan. Zishabadilishiwa injini na systems zote mara kibao. Kuna variants zaidi ya 10 ya B-52 hizo, wewe unaona kasha lile airframe ndio inaita ndege. Unajua Land Cruiser zimeanza lini? Officially zimeitwa hivyo mwaka 1954 ila zipo kwa jina lingine since early 1940s, je mtu akija na Land Cruiser ya 1954 na ya 2022 utasema vyote sawa kisa jina moja?Ushahidi wa kuondoka nazo hunao?
Halafu pantisir sio short range kama ulivyosema ni medium range.
Short range zao ni Iskander.
Bado hii haiwafanyi kwa kipindi kifupi kuweza kufanya decoding na kutumika kwenye vita hii.
Kwani Wamarekani wameacha kutumia Blackhawks na B 52 bomber.
Walivyoacha Afghanistan ni siraha nyingi na za hatari.
Acha uongo siku nyingine
Sasa hapa uongo wangu unaosema uko wapi? Macho yangu yanasema ana asili ya Eastern, macho yako yanasema ana asili ya Western. Hakuna mwenye evidence na sina mpango wa kueleza kwa nini ninaamini ana asili ya Southern Eastern mpaka tupate proof kipi ni sahihi. Sergei Shoigu ndie tuna uhakika ana asili ya wapiSiko hapa kumshambulia mtu yoyote, ilakurekebisha penye uwongo au ikiwa mtu amekosea.
Nami pia Niko tayari kukosolewa.
VLADIMIR VLADIMIRIROVICH PUTIN
Hana asili ya kimongoli Wala Siberia ila ni pure Slav kama walivyo waukraine, Poland, Croatia na Mataifa mengine ya Ulaya Mashariki.
Hebu niambie hapo Kuna tofauti yoyote ya Putin na modric ambaye ni mkroatia.
Haya Mongoloid people , kule unapo sema ametokea angalia watu wake.
View attachment 2142669View attachment 2142670View attachment 2142671View attachment 2142672View attachment 2142673View attachment 2142675View attachment 2142676View attachment 2142677View attachment 2142678View attachment 2142679
Nianze kujibu lipi kwanza?B-52 Stratofortress zinakuwa modernized na kuongezewa lifespan. Zishabadilishiwa injini na systems zote mara kibao. Kuna variants zaidi ya 10 ya B-52 hizo, wewe unaona kasha lile airframe ndio inaita ndege. Unajua Land Cruiser zimeanza lini? Officially zimeitwa hivyo mwaka 1954 ila zipo kwa jina lingine since early 1940s, je mtu akija na Land Cruiser ya 1954 na ya 2022 utasema vyote sawa kisa jina moja?
Alafu kumbe niko nabishana na mtu anayeiita Iskandee tactical ballistic missile kwamba ni short range air defence system? Sasa kuna haja gani ya kuendelea kubisha na mtu huyu.
Hata hao wa st Petersburg Bado ni maslav kama Putin,Sasa hapa uongo wangu unaosema uko wapi? Macho yangu yanasema ana asili ya Eastern, macho yako yanasema ana asili ya Western. Hakuna mwenye evidence na sina mpango wa kueleza kwa nini ninaamini ana asili ya Southern Eastern mpaka tupate proof kipi ni sahihi. Sergei Shoigu ndie tuna uhakika ana asili ya wapi
Hata Sergei kuzhugetovich shoigu ana mchanganyiko wa Mtuva ambao ni mongoloid na Mslav hivyo wengi huuchukulia na mtuvaSasa hapa uongo wangu unaosema uko wapi? Macho yangu yanasema ana asili ya Eastern, macho yako yanasema ana asili ya Western. Hakuna mwenye evidence na sina mpango wa kueleza kwa nini ninaamini ana asili ya Southern Eastern mpaka tupate proof kipi ni sahihi. Sergei Shoigu ndie tuna uhakika ana asili ya wapi
nisuala la muda tu kabla ya RUSSIA kushinda hii vit MKUU
Huyo jamaa anajifanya anajua kila kitu kumbe hana hajualo, anakalia ubishi was kindezi utafikiri tupo za kale wakati tupo zama za teknolojia kila taarifa ipo mkononi.Nianze kujibu lipi kwanza?
Okay Hata hizo pantisir kwa uelewa wako unafikiri Zina toleo Moja?
Unafikiri nimekosea kuziita ni Short range?
Kama ulivyotaka kutupiga za uso kuhusu pantisir kuwa ni Short range kumbe ni medium range.
Kitu kikifanyiwa marekebisho ndio kunakuwa kipya na new invention.
View attachment 2142680
Miundombinu mbalimbali ya miji ya Marekani imejengwa kwa fedha na muda mwingi sana wanao uwezo wa kumpiga Russia vizuri sana je athari atakazozipata kwake ni zipi?wakapigane na RUSSIA kwake kama wanaweza