Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ulaya ni ya pilUnaumwa ww , ni Taifa la pili🙄
Duh source pleaseView attachment 2142606hapa naweza kusema ukraine hana chake tena
Wengine wengi ni kutoka nyanda za milima ya Urals. Nimeshagusia kuwa wamekuwa drafted kwenda jeshini vijana wadogo na experience hawana alafu wanakutana na jeshi la Ukraine linalopigana since 2014. Ni vijana maskini kutoka jamii minorities za Russian Federation, at least Chechens wana uzoefu na kupigana na huwa wanapenda vita na actually kupigana wanaweza sana wale hata ile Chechen war kwenye ile uprising majeshi ya Russia yalipigwa hovyo na vifaru vikaharibiwa hivihivi.Na wengi aliowapeleka inaonekana ni kutoka upande wa Mongolia ( wenye asili ya mongolia
Huyo mchekeshaji kuna njemba zipo njiani zinaenda kumkwiba mzima mzima akalie jambiaHapo Russia anafurahi kazi yake ya kusawazisha jiji la Kiev huku madhara kwa raia yakiwa madogo. Putin anamtayarishia mchekeshaji anachostahili hakika kitamuumiza sana
Njemba zinasubiri raia watoke Kiev wakapite jengo kwa jengo chumba kwa chumba handaki kwa handaki mpaka mwali apatikaneView attachment 2142607
daah hii leo raia wa ukrein wakijiandaa kusepa yaani tukicha propaganda na video fake ukraine kapigika mnoo
Kwenye hiyo kada ya Polonium 210 Russia ndio wanatisha dunianiUrusi atawaua hao waukraine hata kwa kemikali za sumu ,subiri amalize kwanza kukusanya ushahidi anapopita ili mtu akipigwa kipigo cha mbwa mwizi kusiwepo kelele za tunaonewa. Wanaompa jeuri huyo mchekeshaji ndio watakuja kuona Russia ni makatitli sana.
Maana kama Russia imeona silaha hatari hivyo kwa adui hapo hatakuwa na cha msalia Mtume
njemba zinamlaumu putin kusitisha mapigano mala kwa malaNjemba zinasubiri raia watoke Kiev wakapite jengo kwa jengo chumba kwa chumba handaki kwa handaki mpaka mwali apatikaneView attachment 2142642
Rangi ya damu inazidi kutamalakiView attachment 2142606hapa naweza kusema ukraine hana chake tena
kwa %100 unatudanganya leta ushahidiKuna mamburura humu yamekomalia NATO NA US zimeufyata , wanafikri vita ni movie za Rambo na Anord swazeneger.... Vita ni kifo , wazungu wanauzoefu na vita
Mzungu hahitaji kutanua scale of war , nje watatangaza hawataingilia mzozo , ili eneo la vita libaki kuwa Ukraine hapo hapo , ndani watahusika kimya kimya , now wanademand Sana raia watoke ili Ukraine iwe battle zone endapo Urusi hata kubali kusitisha mapigano ...
Raia wote wa Ukraine wanaotoroka wamepewa ofa ya kuishi ulaya na kufanya kazi , huoni tu hapo kuna kitu ....!!!
Propaganda sasa ni kuonyesha uharibifu anaofanya Russia , huku matamko yakitolewa NATO na US kutoingilia , dunia nzima itaihurumia Ukraine ..kumbe watu Wana mission zao ....leo US wamesema tayar uwezo na nguvu zote za kivita za Russia zipo Ukraine Kwa [emoji817], na wakasema Ukraine bado ipo stable kudefend fiercely airstrike..!!
wewe ndio unaumwa MKUU baada ya RUSSIA kwaukubwa europe anakuja UKRAINE halaf wanafata kina france spain nkUnaumwa ww , ni Taifa la pili[emoji849]
Training ni gharama sana. Tunarudi palepale kuwa bila uchumi ni vigumu kuwa na jeshi kubwa. Injini nyingi za ndege za Urusi nakumbuka hazifiki 70% ya lifespan ya injini za kampuni kama Safran ya Ufaransa, RR ya UK na PW au General Dynamics za Marekani. Ukifanya mazoezi sana unaongeza wear and tear hasa kwa engine parts na landing gear. Bado zile drills zinataka ammunition na fuel. Bado logistics na mambo kibao. Jas-39 Gripen niliyotaja hapo juu ina $7,500 cost per flight hour ni lowest kwenye modern fighters. Hapo tunazungumzia milioni 17 hivi zetu kwa lisaa, wakati kwa mwaka marubani wa Russia huruka angani kwa wastani wa masaa 100. Marekani marubani wao huruka masaa 200 kwa kawaida na huruka 350hrs kwa mwaka kama wako deployed kambini.Inawezekana jeshi la anga la Urusi wanyonge sana kwa Israel na NATO countries.
Urusi bado wanaendesha operesheni za kijeshi kama enzi za Soviet.
nalasaba langu pengine umenizidi umri tu MKUUYani wakavamie tu inchi ya watu hovyo hovyo , hii nchi kweli la Saba wengi
nisuala la muda tu kabla ya RUSSIA kushinda hii vit MKUUMkuu utakuwa mwehu Sana ukilinganisha Russia na Ukraine , Russia kuivamia Ukraine ni kama wewe ukapigane na mtoto w darasa la Kwanza , haijalishi utampiga Kias gan Ila Kwa jinsi atakavyokubishia itashangaza wengi ... Hata hvyo hii vita Russia hashindi , mda ndo mwamuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Training ni gharama sana. Tunarudi palepale kuwa bila uchumi ni vigumu kuwa na jeshi kubwa. Injini nyingi za ndege za Urusi nakumbuka hazifiki 70% ya lifespan ya injini za kampuni kama Safran ya Ufaransa, RR ya UK na PW au General Dynamics za Marekani. Ukifanya mazoezi sana unaongeza wear and tear hasa kwa engine parts na landing gear. Bado zile drills zinataka ammunition na fuel. Bado logistics na mambo kibao. Jas-39 Gripen niliyotaja hapo juu ina $7,500 cost per flight hour ni lowest kwenye modern fighters. Hapo tunazungumzia milioni 17 hivi zetu kwa lisaa, wakati kwa mwaka marubani wa Russia huruka angani kwa wastani wa masaa 100. Marekani marubani wao huruka masaa 200 kwa kawaida na huruka 350hrs kwa mwaka kama wako deployed kambini.