LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Watu hawabishani kichovu kama wewe unavyofanya ili kutaka kuona mshindi. Hata aibu huoni mtu kaharibu facilities zaidi ya 2000 na kaua malaki ya askari ndani ya siku 5 tu pekee. Mtu anatumia kombola la million 50 kushusha kambi nzima ya jeshi iliyojengwa kwa trillion of money bado unasema Ukraine ni washindi, hizi akili mnazotumia vibaya hivi mtakuja kudharauliwa na watoto wenu
Kwnza unaijua thamani ya silaha inyoitwa pantsir ijue kwanza thamani yake ndo urudi apa tujadiriane
 
Akili zingekuwa zinachajiwa ningekupa fast charger uchaji zako maana ziko low sana. Hivi unataka kusema Iraq na Libya ni tajiri kuliko Russia? Kwamba Marekani ilizivamia hizo nchi nyingine kwa sababu ni tajiri kuliko Russia?

Hata kama ni ushabiki wa kwako ni utoto. Eti nchi ya pili kwa uzalishaji wa mafuta duniani na ya kwanza kwa uzalishaji was gesi duniani Marekani kaacha kuivamia, kavamia nchi ya 12 huko?
Unarukia tren Kwa mbele , uzalishaji wa mafuta sjui silaha sio kigezo cha kuwa tajiri , Russia ni tajiri ukilinganisha na na nchi gani ? Labda Tanzania
 
Nje na gas pia Russia dominate the global mining industry. Uyo jamaa haijui Russia [emoji28]
 
Elfu 11???...hata BBC hawajasema hii...bila shaka upo ndani ya Kiev kabisa...
Hizi ni source Toka Ukraine, Frontline,tafsiri kiingereza kwa google translate:
There are thousands of posts from the front lines in Ukraine shown from the point of view of the brave Ukrainian defenders.
Here are some links

Киев INFO | Новости 🇺🇦 Украина Война

Ищи своих

Держспецзв’язку
 
Yaani huku kuna watu vilaza sana ,Mtu anabishaaaa mpaka unacheka sasa,kuna mataifa makubwa yalinyamaza kimya yasome power full ya Russia lakini mrusi kawachezea shere,hawkuona vile walivyo tarajia, lakini hicho wanacho haha nacho Ukraine ni kitu kidogo sana ndio maana mchezo hausomeki.Wajuvi Wa vita wanaelewa,.Ukraine inatumia raia kama ngao yake , huo ni mtego Kwa Russia. Kurudi nyuma Kwa jeshi ni kumtoa adui alie jificha aje kweupe sasa mziki utakao amshwa hapo itakua ni balaa kwelkweli Kwa Ukraine.
 
Inaumiza sana ila hakuna haja ya kuangalia kwa muda mrefu ikiwa una machozi ya karibu au hisia za aina yoyote.

Soma makala maelezo haya na hapo chini ili kujua kilichotokea na jinsi kinavyothibitisha ubaya wa vita, si katika usalama bali kwenye eneo husika, vitani hakuna jirani.

Wanajeshi wa Urusi wamewaua kwa makusudi raia wa Ukraine waliokuwa wakijaribu kukimbia, kuvuka mpaka kati ya waliouawa ni Mama na watoto 2 pamoja na baba yao ambaye amejeruhiwa kwa risasi ikiwa ni sehemu ya mamia ya raia wanaotafuta usalama nje ya nchi yao.

View attachment 2141599

[emoji1483]PICHA: Tukio la kusikitisha kutoka nchini Ukraine kwenye uwanja wa vita.

Mpiga picha wa new york times Lynsey Addario alishuhudia mwanzo mwisho wa tukio hilo.

Moderator
Naomba mada hii ibaki ilivyo kuna kitu cha kujifunza hapo.
propaganda hii majeshi ya RUSSIA hawawez kufanya huu unyama wanajitambua nawana huruma mnooooooooo
 
Sipendi mtu anayerukia comment yangu na kujibu kwa jazba,hebu uwe unaskip comment zangu au nikusaidie kwa kukuweka kwa ignore list kabisa.Bye👋
Hapa nani ana jazba kati yangu na wewe? Kwa hiyo unajiona una-comment vitu vya maana mpaka kila mtu aone ubora was unachofanya. Punguza ujuaji usio na faida kama unaandika pumba tutakuambia ili akili ikae sawa
 
Iraq ya sadam Ni borA kabisa kuliko Ukraine ya leo coz kwa kipindi kile air Force yao ilikua y nne kwa ukubwa duniani
ila ubaya wke unakuja pale nikwamba walomuwezesha kua bora ndio walomgeuka
kwahio kimsingi UKRAINE hii nibora kuliko IRAQ ileee
 
Elfu 11???...hata BBC hawajasema hii...bila shaka upo ndani ya Kiev kabisa...
I just received this report:

The defeat of Russian troops near Lebedin, Sumy region: 5 Russian tanks, 152 mm self-propelled guns Msta-S, MLRS BM-27 Uragan captured, 1 tank destroyed

Apparently, these are the results of the battles of March 1-2. FB_IMG_1646685022308.jpg
 
Hata Marekani aliacha Siraha nyingi kule Afghanistan je hazina maana Tena.

Huwezi kuielewa system siraha ya ADUI kwa muda mfupi hivyo.
Zile Humvees na malori yaliyoachwa Afghanistan ndio unaita silaha za adui kuchunguza. Adui akikamata outdated Blackhawk helicopters, ndege mpya za Cesna, Pilatus na Super Tucano anaenda kuzifanyia nini ambacho hana.

Marekani aliacha silaha ambazo ni takataka kwake trust me. Zile zingemtia gharama azibebe asipeleke kwake kwenye boneyards. Marekani kwenye inventory yake hatumii ndege yeyote iliyokuwa Afghanistan, hata Blackhawks zilizokuwa kule alishaacha zamani kuzitumia sahivi anazo modern and very expensive Blackhawks. Marekani ana ndege zaidi ya 4,000 kwenye boneyard zake jangwani uko kwake zinapigwa vumbi anashindwa kuziharibu alafu umwambie atumie gharama nyingine kuongeza takataka kwake. Kitu pekee anacholaumiwa ni kwa nini hakuzigawa kwa Ukraine au washirika. Erik Prince wa Blackwater (Academi) ambao ndio delivative ya Wagner Group ya Russia alishauri hivyo ila serikali haikukubali
 
Tatizo tuna mihemko ya kishabiki na sii hualisia Wa mambo.huwezi amini sasa hivi propaganda zimekuwa nyingi kuliko hualisia Wa mambo, na tena big media zimechukizwa sana kufurushwa Russia
Unarukia tren Kwa mbele , uzalishaji wa mafuta sjui silaha sio kigezo cha kuwa tajiri , Russia ni tajiri ukilinganisha na na nchi gani ? Labda Tanzania
Waambie basi wenzako wakupe hata desa sio unakuja mweupe hivi kichwani.
 
Zile Humvees na malori yaliyoachwa Afghanistan ndio unaita silaha za adui kuchunguza. Adui akikamata outdated Blackhawk helicopters, ndege mpya za Cesna, Pilatus na Super Tucano anaenda kuzifanyia nini ambacho hana.

Marekani aliacha silaha ambazo ni takataka kwake trust me. Zile zingemtia gharama azibebe asipeleke kwake kwenye boneyards. Marekani kwenye inventory yake hatumii ndege yeyote iliyokuwa Afghanistan, hata Blackhawks zilizokuwa kule alishaacha zamani kuzitumia sahivi anazo modern and very expensive Blackhawks. Marekani ana ndege zaidi ya 4,000 kwenye boneyard zake jangwani uko kwake zinapigwa vumbi anashindwa kuziharibu alafu umwambie atumie gharama nyingine kuongeza takataka kwake. Kitu pekee anacholaumiwa ni kwa nini hakuzigawa kwa Ukraine au washirika. Erik Prince wa Blackwater (Academi) ambao ndio delivative ya Wagner Group ya Russia alishauri hivyo ila serikali haikukubali
Ogopa jamii forum.
Mpaka hapo ushajua ni zaidi ya Blackhawk na Humvees.
Bado lights arms ambazo Bado zinatumika katika jeshi la Marekani.
Una swali jingine
Screenshot_20220307-234930.jpg
Screenshot_20220307-235128.jpg
Screenshot_20220307-235115.jpg
Screenshot_20220307-234506.jpg
Screenshot_20220307-234431.jpg
Screenshot_20220307-234839.jpg
 
Not really! Russia needs to invade USA first. For now ni vita ya maneno tu kati ya USA na Russia.. vita halisi ni kati ya Russia na Ukraine.. hata Biden hajaruhusu ground forces za US military zipigane vs Russia.

Kwa hio ili muone jazba ya Mmarekani... ni pale Russia atakapovamia USA territory.. kama ambavyo Japan alivamia Pearl Harbor ya Hawaii USA in WW2
nakinyume chake pia nisahihi
 
Yaani huku kuna watu vilaza sana ,Mtu anabishaaaa mpaka unacheka sasa,kuna mataifa makubwa yalinyamaza kimya yasome power full ya Russia lakini mrusi kawachezea shere,hawkuona vile walivyo tarajia, lakini hicho wanacho haha nacho Ukraine ni kitu kidogo sana ndio maana mchezo hausomeki.Wajuvi Wa vita wanaelewa,.Ukraine inatumia raia kama ngao yake , huo ni mtego Kwa Russia. Kurudi nyuma Kwa jeshi ni kumtoa adui alie jificha aje kweupe sasa mziki utakao amshwa hapo itakua ni balaa kwelkweli Kwa Ukraine.
Urusi atawaua hao waukraine hata kwa kemikali za sumu ,subiri amalize kwanza kukusanya ushahidi anapopita ili mtu akipigwa kipigo cha mbwa mwizi kusiwepo kelele za tunaonewa. Wanaompa jeuri huyo mchekeshaji ndio watakuja kuona Russia ni makatitli sana.

Maana kama Russia imeona silaha hatari hivyo kwa adui hapo hatakuwa na cha msalia Mtume
 
Back
Top Bottom