LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
We jamaa unaongea nn aisee, Yani Us amvamie Russia anatafuta nini hasa? Kuna maslah yyte ? Ana rasilimali yyte ili akamuibie? Au amvamie ili awafurahshe nyie mashabiki mandazi...
Unaongea kwa chuki tu ila Urusi ni taifa kubwa sana wala njaa hakuna hata waweke vikwazo miaka 100.

Urusi ndo nchi ya kwanza Duniani kuwa na asilimia 85 ya madini yote duniani.ni madin machache tu ndo ayapo Urusi, ila madin yote unayoyajua wew yanapatikan Urusi.

Taka taka yoyote ile unayoijua wew inatengenezwa Urusi

*magari
*ndege
*treni
*mashine za kweny madini, mashine za miundombinu, mashine za hospital, mashine za viwandani, mashine za kilimo
*wanatengeneza simu, tv, computer, cctv camera na takatak zingine.

Urusi sio taifa dogo kabisa.dawa asilimia 100 wanatengeneza kwao.
 
View attachment 2142904

Ukraine Sio Syria huyu ni Major General wa kikosi Cha Russia, kulingana na Taarifa za kiintelejensia za Ukraine ameisha liwa kichwa.


Leo pia nitaendelea kupost mizoga ya Askari wa Russia
Propaganda izo ila kwenye uwanja wa vita warusi wanasonga mbele.Urusi ndo taifa la kwanza kutuakikishia kuwa kwake Drone ni takataka wala hakuna sijui Drone game change
 
Nianze kujibu lipi kwanza?

Okay Hata hizo pantisir kwa uelewa wako unafikiri Zina toleo Moja...
Ni kosa kubwa sana kuiita Iskander kuwa ni short range air defence system hakuna mtu anaweza kukuelewa katika hilo. At least unaweza kuchanganya kama mimi ukaiita Patsir ni short range badala ya medium range.

Iskander tactical ballistic missile ni la kupiga military installations kama airbases na linaweza wekewa nuclear warhead. Pantsir ni ya kulinda anga dhidi ya ndege, drones na missiles. Hii ni tofauti kubwa mno
 
kupata energy kama oil na gas kwa bei poa kwasasa ulaya
kama mbadala wa energy kutoka urusi haiwezekani kutokana na demand kuwa kubwa...maisha yawanasiasa wanaoongoza nchi za ulaya hasa zenye uchumi mdogo kulinganisha na france italy na german yatakuwa pabaya sana ndani ya miezi 3 ijayo kutokana namfumuko wa bei kwa bidhaa nyingi utakao athiri wananchi wao,ndio maana baadhi ya nchi za ulaya zimeanza kukataana kwenye vikwazo alivyowekewa urusi...mimi yangu macho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…