mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Unaongea kwa chuki tu ila Urusi ni taifa kubwa sana wala njaa hakuna hata waweke vikwazo miaka 100.We jamaa unaongea nn aisee, Yani Us amvamie Russia anatafuta nini hasa? Kuna maslah yyte ? Ana rasilimali yyte ili akamuibie? Au amvamie ili awafurahshe nyie mashabiki mandazi...
Urusi ndo nchi ya kwanza Duniani kuwa na asilimia 85 ya madini yote duniani.ni madin machache tu ndo ayapo Urusi, ila madin yote unayoyajua wew yanapatikan Urusi.
Taka taka yoyote ile unayoijua wew inatengenezwa Urusi
*magari
*ndege
*treni
*mashine za kweny madini, mashine za miundombinu, mashine za hospital, mashine za viwandani, mashine za kilimo
*wanatengeneza simu, tv, computer, cctv camera na takatak zingine.
Urusi sio taifa dogo kabisa.dawa asilimia 100 wanatengeneza kwao.